Edwin F.M (@EdwinMjeru) header
Edwin F.M (@EdwinMjeru) profile picture

MSCA Research Fellow | EM Alumni 🇹🇿🇫🇷| Author| Business & Data Storytelling Coach| Learning & sharing lessons on Mind-Philosophy-Success & Failures.

Tanzania
Joined September 2020
Habari ndugu Mwanamafanikio, Naitwa Edwin Francis Memirieki (EFM).Naandika kuhusu vitu ninavyojifunza na kufanya kila siku: • Business storytelling • Subconscious mind • Habits & systems for success • Wealth building strategies • Scholarship opportunities • Communication skills • Life philosophy • Research & business tips Kama unapenda kujifunza, kufikiri tofauti na kukua kila siku, karibu! Follow @EdwinMjeru tuendelee kujinoa na kuwa bora katika maisha yetu. Unlock and live your dream!
7
15
73
11,499
Edwin F.M retweeted
Replying to @EdwinMjeru
We need strength, courage, and wisdom!
1
1
1
12
Edwin F.M retweeted
Replying to @EdwinMjeru
Doubt has killed more dreams than failure.
1
1
17
Edwin F.M retweeted
Natamani ifike sehemu tujifunze kuheshimu mtazamo wa kila mtu. As long as unakunufaisha na una function kwa upande wako Unachokielewa wewe haimaanishi nawengine wanakielewa na kukiona kama unavyokiona wewe.
Huu mjadala wa Uwekezaji Vs Biashara ilikuwa wa moto sana. Vijana kidogo wamkasirishe Broo hapa🙌.
2
4
10
684
Serikali inajitajidi sana kufikisha umeme vijijini lakini, mwamko wa watu kutumia bado ni mdogo. “SOLAR” ndiyo kimbilio la wengi vijijini. Gharama ya umeme ni moja ya kikwazo cha watu kutumia umeme, ukilinganisha pia mahitaji ya umeme ni kidogo. Mainly ni Mwanga usiku tu na kuchaji, kitu ambacho Sola inakidhi nowdays. Kwa hiyo, kuna utofauti umeme kufika au kupitia vijijini na kutumika vijijini.
1
2
10
298
Usipokuwa makini, kujiona una akili sana au unajua sana inaweza kuwa adui mkubwa wa kutochukua hatua. Utajikuta mchambuzi wa kila fursa badala mchukua hatua. Kuna vitu vinahitaji udhubutu tu wa kuchukua hatua ndogo ndogo na siyo ukubwa wa akili. Ukifuatilia wanaoshinda mara nyingi siyo the most smartest in the room, bali first to actions.
2
11
30
755
Replying to @EdwinMjeru
Vijana wana hoja
1
1
1
229
Huu mjadala wa Uwekezaji Vs Biashara ilikuwa wa moto sana. Vijana kidogo wamkasirishe Broo hapa🙌.
4
10
2
69
6,279
Mwanangu uelekeo ni huu—kufanya greatness tupu bila kujali mood ama namna gani vipi.
1
2
3
41
Edwin F.M retweeted
Mpaka sasa Nimepitia zote 1.Nasuka jambo naliandaa ila sifanyi 2.Naanza naishia kati naganda 3.Naanza chapu kwa haraka nakosea nalamba Glucose narudi tena ulingoni mpaka matokeo yanatokea Ndo maana napenda msemo ANZA SASA Mnalakusema @EdwinMjeru @miracleboytz @MkulimaKante
2
5
8
168
Hauwezi kushinda HOFU kwa kufikiria au kuwaza tu. Fanya kitu hata kama ni kidogo.
1
5
37
760
Katika kila jambo mtangulize Mungu🙏.
5
226
Replying to @EdwinMjeru
Hii chuma isipite kwetu Buguruni Tafadhali
1
1
1
138
Kama hii ingekuwa ni huduma rasmi, ni ‘Route’ zipi zingefaa sana kupitisha watalii na kuhakikisha wanaona vivutio , na kujifunza historia ya jiji la DSM na Tanzania kwa ujumla? Chuma ianzie wapi na kuishia wapi?
1
1
4
307
Haitoshi KUJUA. Nani ANAJUA kuwa UNAJUA imata pia. Hasa, kama akijua kama SULUHISHO la uhitaji wake. Ndipo THAMANI ya unachojua ilipolala.
8
25
499
Edwin F.M retweeted
Replying to @EdwinMjeru
Hii haipingiki kabisa nimeshawahi kuishuhudia.
1
1
44
Mojawapo ya dalili kwamba utapata mabadiliko au matokeo tofauti baadaye ni TABIA mpya chanya ambayo unaijenga sasa hivi juu ya hicho kitu.
2
12
57
793
Edwin F.M retweeted
Shule inakujengea msingi. Kunyanyua kuta na kufanya finishing ni juu yako.
Shule inakupa maarifa na ufahamu juu ya mambo. Industry inataka uwezo na ujuzi wa kutumia maarifa ili kuleta matokeo.
1
1
6
239
Replying to @EdwinMjeru
Nadharia + Vetendo/Uhalisia
1
1
34
Shule inakupa maarifa na ufahamu juu ya mambo. Industry inataka uwezo na ujuzi wa kutumia maarifa ili kuleta matokeo.
4
8
1
34
899
Kuwa unique sio lazima uvumbue kitu kipya. Wakati mwingine ni kuangalia tatizo la zamani kwa mtazamo mpya. Here’s my POV: 🧶👇🏾
1
5
16
459