Kwa wasio mfahamu huyu ni Solomon Mahlangu moja ya vijana wapigania uhuru wa SA.
Very strong guy aliishi na kupata mafunzo Morogoro Tz na kurudi kwao kuendeleza mapambano then alinyongwa kwa kuwapinga makaburu hadharani.
In Tanzania a person with ideas gets SHOT. Not once, not twice but 16 times with an AK47 and for good measure his car is sprayed 38 times with bullets. I wonder how many Africans with ideas suffer this inhumanity and choose instead to be refugees? 😢
Maandamano ya ccm huko Mafindi yaliyoongozwa na waziri mkuu wa zamani Mh Pinda.
Ikumbukwe kwamba kuna katazo la watu wasiokuwa wabunge/diwani kufanya mikutano ya kisiasa kwenye maeneo yasiyo yao.
Hii fursa wanaipata ccm pekee.