Jon Mrema (@JonMrema) profile picture

CHAUMMA Director for Communications and Publicity .

Dar es Salaam, Tanzania
Joined August 2014
Photo by Jon Mrema (@JonMrema)Photo by Jon Mrema (@JonMrema)Photo by Jon Mrema (@JonMrema)Photo by Jon Mrema (@JonMrema)Photo by Jon Mrema (@JonMrema)Photo by Jon Mrema (@JonMrema)Photo by Jon Mrema (@JonMrema)Photo by Jon Mrema (@JonMrema)Photo by Jon Mrema (@JonMrema)Photo by Jon Mrema (@JonMrema)
CHAUMMA,yamwandikia barua waziri wa Mambonya ndani kuhusu wananchi wa Liwale kunyanganywa mifugo yao na kutakiwa kulipa faini kwa Polisi. instagram.com/reel/DcLjy5GOD…
38
4
2
19
4,560
Mkutano na waandishi wa habari !
60
2
5
30
11,718
Jon Mrema retweeted
Sehemu ya vijana wa JUVICHA - CHAUMMA wakifurahia na kusherehekea kwa burudani ya muziki wakati wa maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani jijini Dar es Salaam (Agosti 11, 2026). Maadhimisho ya mwaka huu yamebeba kaulimbiu ya “Vijana, Demokrasia na Dijitali” yakilenga kuwawezesha vijana kutumia mifumo ya kisasa kwa maendeleo.
13
1
1
23
5,187
Jon Mrema retweeted
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), John Mrema amepongeza hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan kukutana na viongozi wa Kanisa Katoliki nchini kupitia Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), akisema mazungumzo hayo ni njia sahihi ya kuimarisha umoja na mshikamano wa taifa. Rais Samia alikutana na viongozi wa TEC Agosti 10, 2026, katika Ikulu ya Chamwino, Dodoma, ambapo walijadili masuala mbalimbali ya kitaifa, yakiwemo amani, maendeleo, mshikamano na mustakabali wa Taifa. Mrema, kupitia ukurasa wake wa X usiku wa Agosti 10, 2026, aliwapongeza viongozi hao wa kiroho kwa kuchagua njia ya mazungumzo na ushirikiano. “Asanteni Viongozi wa kiroho kwa kuamua kuchagua fungu lililojema, hii ndio njia sahihi ya kuliponya na kuliunganisha taifa letu." aliandika Mrema. Aidha, Mrema amewataka viongozi wengine wa kiroho nchini kufuata mfano huo kwa kushiriki katika juhudi za kujenga umoja wa Watanzania. “Viongozi wengine wa kiroho nao wafuate njia hiyo ili kwa pamoja tujenge Taifa letu. Tujenge pamoja! #TanzaniaNiSisi." alisema. Kauli hiyo inaendana na msimamo wa Mrema wa kusisitiza umuhimu wa mazungumzo, maridhiano na mshikamano katika kushughulikia masuala yanayoligusa Taifa. Msimamo huo umekuwa ukimtenganisha kisiasa na baadhi ya mitazamo inayotolewa na viongozi na wafuasi wa chama alichotoka, CHADEMA. Mrema, ambaye awali alikuwa mmoja wa viongozi waandamizi wa CHADEMA akihusika na masuala ya Mawasiliano, Itikadi na Uenezi, amekuwa akitoa kauli zinazokosoa baadhi ya misimamo ya chama hicho tangu alipohamia CHAUMMA. Kauli zake zimekuwa zikijibiwa na baadhi ya viongozi na wafuasi wa CHADEMA, ambao wamekuwa wakimkosoa kwa msimamo wake mpya na namna anavyokieleza chama hicho baada ya kuondoka. Kwa mtazamo wa Mrema, hata hivyo, siasa zinapaswa kwenda sambamba na juhudi za kulinda maslahi mapana ya Taifa, huku viongozi wa dini, Serikali na vyama vya siasa wakitumia mazungumzo kama njia ya kupunguza tofauti na kujenga maridhiano. Kauli yake ya sasa kuhusu mkutano wa Rais Samia na viongozi wa TEC inaonekana kuendeleza msimamo huo, huku akisisitiza kwamba “Tanzania ni sisi” na kwamba ujenzi wa Taifa unahitaji ushirikiano wa pande mbalimbali.
3
2
23
4,161
Vijana wa Chaumma wanaadhimisha siku ya Vijana Duniani ,leo tarehe 11 Agosti,2026 Vijana wako huku ........ Tujenge Pamoja #TanzaniaNiSisi #KatibaMpya
49
4
8
25
7,749
Asanteni Viongozi wa kiroho kwa kuamua kuchagua fungu lililojema,hii ndio njia sahihi ya kuliponya na kuliunganisha taifa letu. Viongozi wengine wa kiroho nao wafuate njia hiyo ili kwa pamoja tujenge Taifa letu . Tujenge pamoja ! #TanzaniaNiSisi
81
8
9
46
13,534
Albin Saragu, wewe sitakujibu kwa sababu unatafita kiki kupitia kwangu .....Endelea kulelewa hapo mji wa Liverpool Ukitaka niseme,nitasema na unajua nakufahamu vizuri tangu UDSM ........ Mimi niliijenga Chadema kwa kiwango cha kutoroka Chuo ili nikaimarishe chama, wewe ulifanya nini zaidi ya kujipendekeza kwa management ili ubakishwe chuo ?
Replying to @JonMrema
Usaliti ni mbaya sana hadi unakosa kuona hoja na kuanza vita kumtetea msaliti mwenzenu aliyeijaribu kuisambaratisha chama lakini akasambaratika yeye na timu yake yote aliyoikimbiza kwenda cha ubwabwa. Hoja hii imekuja kama taarifa ya awali ya kuwafungua masikio na macho wanatanzania na watu wote wenye mapenzi mema na nchi yao. Mbowe ametajwa kama moja wa hao washirika. Iwe kweli au la, kwa sasa kazi kubwa ni kuusaka huo ukweli au uongo. Huwezi kuikataa au kuikubali taarifa bila data. Taarifa za awali zinasema sate-light ya Gen-Z imewaona baadhi ya hao wadau wakiwa nyumbani kwa kiongozi moja, na Abdul Samia akiwa miongoni mwao hapo maeneo ya Michael’s Chain Dsm.
19
2
2
16
7,513
Huna evidence na umeanza kwa kusema hutataja majina ,ila ukaona ili script ikamilike lazima umtaje Mbowe ! Unasema kuna viongozi wa Chadema ,huwataji ila ukaamua kumtaja mwanachama wa Chadema , wataje hao viongozi wa Chadema ili tuawafahamu mapema .....
unavailable
60
7
5
27
18,128
🔥🔥🔥🔥 Tuendelee Kuchangia Watanzania! Operation TUJENGE PAMOJA, Kila mchango ni hatua ya kujenga nguvu ya wananchi. CRDB: 10016695128 M-PESA: 0746533312 *CHAUMMA HQ* *#Tujenge_Pamoja* *#TanzaniaNiSisi*
11
2
2
10
2,165
🔥🔥🔥🔥 Tuendelee Kuchangia Watanzania! Operation TUJENGE PAMOJA, Kila mchango ni hatua ya kujenga nguvu ya wananchi. CRDB: 10016695128 M-PESA: 0746533312 *CHAUMMA HQ* *#Tujenge_Pamoja* *#TanzaniaNiSisi*
4
1
1,118
Tume ya Jaji Musa Kipenka ,ilichunguza vifo vya wafanyabiashara wa Madini kutoka Ulanga na ikawakuta na makosa Zombe na Inspekta Bageni . Walifikishwa Mahakamani na Mahakama ikamtia hatiani Bageni na kuhukumiwa Kunyongwa , Bageni na wanasheria wake walienda Mahakama ya Rufaa ,ila hukumu ya kunyongwa ilibakia palepale na hadi sasa anasubiri Kunyongwa . Hakuna mjumbe wa Tume ya Kipenka aliyeenda kutoa ushahidi Mahakamani . Kwenye hili umekosea kusoma sheria kikamilifu ama unafanya upotoshaji wa makusudi .
Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai ya Tanzania inatambua Jeshi la Polisi tu kama chombo pekee cha kufanya UPELELEZI/UCHUNGUZI wa makosa ya jinai & Ofisi ya DPP ndiyo yenye MAMLAKA ya kuanzisha mashtaka. Hii inayoitwa tume ya uchunguzi wa jinai ya #MO29, italeta MGOGORO na nahisi itatokea hivi; tume itapokea taarifa za UKWELI toka kwa wananchi, mtawala ataikataa, halafu taarifa itafanyiwa MABADILIKO ya UONGO ili mtawala afurahi. Lakini, kisheria ni kwamba, DPP akifungua mashtaka dhidi ya mtu au kikundi cha watu, basi hao wajumbe wa tume itabidi waje KUTOA USHAHIDI mahakamani kwa sababu wanahusika kwenye ule MNYORORO wa kupatikana kwa ushahidi (chain of custody/evidence). Ikitokea wajumbe wakasema uongo, hapa ndipo tutaleta wananchi waliotoa taarifa kwa tume hiyo kufanya COUNTER-ATTACK ya kibabe. Binafsi, naomba Mungu hili suala lifike mahakamani ili ifungue PANDORA BOX ya yaliyomo kwenye ile tume ya Jaji Chande pia. Moto mzito utawaka!!
1
1
6
19
8,820
Asanteni sana Watanzania kwa kuendelea kutuchangia Operesheni Tujenge Pamoja #TanzaniaNiSisi #KatibaMpya
3
4
19
16
17,368
Kesi zimekuwa ndio silaha , kwamba kule kuna za Ugaidi,UhIni na nyinginezo .....huku kuna za madai ..... Wanaohoji uchunguzi ili asafishwe ,wanatishiwa kesi na fifia kubwa kubwa ....wameshasahau kuwa ndio walikuwa waasisi kwamba mambo yawe hadharani.... Tofauti yao na wale iko wapi ? Kama huu ndio utaratibu wakati huu hawana dola,siku wakipata dola ,kupumua itakuwa kosa la kuchafua hali ya hewa..hadharani..... Ajisafishe kwa kuruhusu uchunguzi na sio kutishia kwa kesi na kutaka kulipwa...... Namkumbuka Marehemu Samweli Sita ,"Mwanasiasa lazima awe na ngozi ngumu"
5
8
45
31
26,404
Jon Mrema retweeted
Kufuatia kauli iliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan ya kutangaza kuundwa kwa Tume ya Maridhiano ili kuharakisha marekebisho ya katiba mpya, Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Benson Kigaila amesema chama hicho kimepokea kwa mikono miwili taarifa hiyo huku akiahidi kuhakikisha wanapata Katiba Mpya bora itakayokidhi matarajio ya wananchi. Akizungumza leo Wilayani Ilemela mkoani Mwanza kwenye kikao cha ndani cha uzinduzi wa Operesheni "Tujenge Pamoja", Kigaila amesema kuwa CHAUMMA itaendelea kushiriki katika mijadala na kutoa mapendekezo ili kuhakikisha Katiba Mpya itakayopatikana inalinda maslahi ya wananchi, kuimarisha demokrasia, utawala wa sheria na haki za msingi. "Sisi kama chama tangazo au uamuzi huo tume upokea kwa mikono miwili kwa sababu kubwa moja tu madai ya katiba mpya yamekuwa madai ya Watanzania toka mwaka 1980, tumedai kwa namna mbalimbali na utawala mbalimbali hatukupata, Rais Kikwete alijaribu kidogo ikakwama na kuishia pale sasa wametangaza," amesema Kigaila Kigaila amesema chama hicho kinaamini kuwa ushiriki mpana wa wananchi katika hatua zote za mchakato wa Katiba Mpya utasaidia kupatikana kwa katiba yenye kukubalika na Watanzania wengi.
32
4
3
23
9,452
Mwanza:Operesheni Tujenge Pamoja* *#TanzanianiSisi* *#KatibaMpya* Tatizo la Maji katika Jiji la Mwanza ni aibu kwa taifa kwani ziwa Victoria ni chanzo muhimu cha kupata maji safi na salama. August 1,2026
30
2
2
12
4,418
Asanteni sana Mwanza Kila hatua ya ujenzi ni hesabu ya tofali moja baada ya jingine TUJENGE PAMOJA *#TanzaniaNisisi* *#KatibaMpya*
19
1
3
10
4,157
Kwamba yeye hapo amepambana na CCM ! Mambo mengine yanashangaza sana wakati mwingine . Wao ndio kutwa, kuchwa wanatukana Chaumma ,viongozi wao wakuu hawaishiwi maneno kwenye kila kikao hawamalizi bila kututukana na kitudhalilisha ,vikao vya Mwanza na Simiyu ni ushahidi tosha kuwa hawapambani na CCM bali Chaumma . Watafute namna ya kumsafisha kiongozi wao na kashfa za kutafuna fedha za michango badala ya kutafuta wa kumrushia matope wakifikiri ndio njia ya kujisafisha . Wajisafishe mbele ya wanachama wao badala ya kufanya propaganda nyepesi hizi ,wanachama wao wanadai uwajibikaji ,wanataka kuwa na viongozi wasafi ili wawe na uhalali wa kupinga viongozi wachafu , wamalizane na wanachama wao .
VIDEO: Mwanaharakati na Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Godilisten Malisa @MalisaGJ_ amesema siasa za Chama cha Ukombozi wa Umma zinategemea uwepo wa CHADEMA. Akizungumza katika mahojiano aliyofanya na Jambo TV Malisa amesema CHAUMMA inatumia muda mwingi kupambana na CHADEMA badala ya chama tawala (CCM). Mahojiano kamili yapo YouTube yetu ya Jambo TV
101
8
2
33
12,348
Jon Mrema retweeted
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), kimesisitiza kufanyika kwa mazungumzo ya pamoja, kikisema hatua hiyo itasaidia kujenga nchi kwa utulivu. Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Habari, Mawasiliano na Uenezi wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), John Mrema, alipokuwa akiwahutubia wanachama na wananchi katika kikao cha ndani kilichofanyika Kamachumu Wilaya ya Muleba mkoani Kagera. Mrema amesema kutokana na baadhi ya masuala kutokuwa sawa nchini hususani utulivu wa kisiasa, ni vyema jitihada zikafanyika watu wakaacha kiburi, jeuri na ubinafsi badala yake wakubali kukaa pamoja na kuungana ili kufanya mazungumzo yenye kuleta tija kwa masilahi ya nchi. Amesema wao CHAUMMA wanaunga mkono juhudi za mazunguzo kwa nguvu moja, kwani Chama hicho kina malengo ya kujenga na siyo kubomoa. Hata hivyo hakusita kugusia changamoto za wananchi wa Muleba na Kagera kwa ujumla ikiwemo changamoto za uhaba wa masoko ya mazao ya kahawa, ndizi na mengineyo yanayozalishwa Kagera. Ametoa wito kwa serikali akiishauri kutafuta masoko ya uhakika na yenye kumuinua mwananchi wa mkoa huo. Katika kikao hicho pia amegusia suala la Katiba Mpya akisema kuwa upatikanaji wake ni jukumu na haki ya kila mwananchi, hivyo inapaswa kutiliwa maanani na viongozi walioko madarakani na kuanza mchakato mapema na si vinginevyo. John Mrema, akiongozana na Susan Kiwanga ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Katiba ya CHAUMMA, Elia Mahwa Mkurugenzi wa utafiti Operasheni ya TUJENGE PAMOJA na Rahman Rungwe, kwa pamoja wameelezea mipango inayoendelea kusukwa na Chama hicho kwa ajili ya maandalizi yatakayowawezesha kufanya vizuri katika chaguzi zijazo. Viongozi hao wamewasihi wananchi kukiunga mkono CHAUMMA ambacho wamesema kimejizatiti kuwakomboa wananchi na wimbi la umaskini linalokabili Mkoa wa Kagera na maeneo mengine nchini.
33
2
1
45
15,091
Asanteni kwa kuendelea kutuchangia ,mpaka leo mmetuwezesha kufika Majimbo ya Urambo,Mpanda Mjini,Kigoma Kusini na Kasulu Mjini. Tuendelee kuchangia ili Tujenge Pamoja #TanzanianiSisi #KatibaMpya
67
2
10
23
13,594