MTANZANIA 🇹🇿 (@GilbertPaul095) header
MTANZANIA 🇹🇿 (@GilbertPaul095) profile picture

Graphic Designer || Upcoming MC🎤 || SDA Church || Simba Sc || Liverpool Fc || UDOM alumni 2019 || manager SILONET TRANSPORT 🇹🇿🇿🇲 || Villarreal Fc fan

Joined June 2022
Photo by MTANZANIA 🇹🇿 (@GilbertPaul095)Photo by MTANZANIA 🇹🇿 (@GilbertPaul095)Photo by MTANZANIA 🇹🇿 (@GilbertPaul095)Photo by MTANZANIA 🇹🇿 (@GilbertPaul095)Photo by MTANZANIA 🇹🇿 (@GilbertPaul095)Photo by MTANZANIA 🇹🇿 (@GilbertPaul095)Photo by MTANZANIA 🇹🇿 (@GilbertPaul095)Photo by MTANZANIA 🇹🇿 (@GilbertPaul095)Photo by MTANZANIA 🇹🇿 (@GilbertPaul095)Photo by MTANZANIA 🇹🇿 (@GilbertPaul095)
🚨 JUST IN Jina la Prince Dube ni moja kati ya majina yanayotajwa kuongeza nguvu kwenye Safu ya ushambuliaji ya Simba sc, kwenye Dirisha dogo la usajili… kama mbadala wa Doumbia. Japo bado hakuna mazungumzo ya moja kwa moja yanayoendelea
5
7
3
30
11,252
MTANZANIA 🇹🇿 retweeted
Usikute dollar siyo pesa ya kigeni, sisi ndo wageni😂.
16
29
1
109
2,678
MTANZANIA 🇹🇿 retweeted
Kama haendi vile Watu watashtuka tayari yeye ndio mmiliki wa kiatu cha ufungaji wa magoli mengi kwenye ligi
1
15
110
929
MTANZANIA 🇹🇿 retweeted
Hivi mnajua Ligi anayocheza kamongo LA kule marekani hakuna timu kushuka daraja wala kupanda daraja😅😅
1
9
414
Vyanzo vya maumivu haviishi, tunatafuta tu sababu mpya za kutabasamu.
6
21
39
402
MTANZANIA 🇹🇿 retweeted
Wakali wa location....hapa ni wapi?...kuna 10000..kwa atakae patia😂
10
21
35
606
MTANZANIA 🇹🇿 retweeted
Kwahiyo kina Kelvin hawazeekagi ee?? Maana sijawahi skia mtu anasema Mzee Kelvin😆😆😆😆
2
6
9
143
MTANZANIA 🇹🇿 retweeted
Jumamosi ya leo ikawe ya kheri kwako na baraka tele Good morning FAM🙌🏻🙌🏻🙌🏻
17
23
28
367
MTANZANIA 🇹🇿 retweeted
Bongo hakuna kijana aliezunguka nchi nyingi duniani kama mimi kana unabisha nitajia nchi yeyote Dunia nikuelekea chimbo la msosi bei nafuu.
19
41
3
116
3,424
MTANZANIA 🇹🇿 retweeted
Kichwa kikubwa sio wingi wa akili. #ElimikaWikiendi
9
13
249
MTANZANIA 🇹🇿 retweeted
Ijumaa ukitulia zako home, watu wanadhani huna pesa... kumbe ni kweli😂
3
10
38
648
MTANZANIA 🇹🇿 retweeted
1. Nimeambiwa. 2. Nimesikia. 3. Walisema. 4. Wanasema. Jiepushe na haya mambo ili uishi kwa amani, HUJASHUHUDIA jambo kwa MACHO usitoe ushahidi. HUJASKI kwa MASKIO yako usifungue mdomo kuzungumza! SOMA TENA 👊
15
60
133
3,328
MTANZANIA 🇹🇿 retweeted
Good morning
4
4
7
282
MTANZANIA 🇹🇿 retweeted
Mwanaume hapewi kabla ya Ndoa #ElimikaWikiendi
15
16
4
47
1,490
Jumamosi ya leo ikawe ya kheri kwako na baraka tele Good morning FAM🙌🏻🙌🏻🙌🏻
17
23
28
367
MTANZANIA 🇹🇿 retweeted
Goodmorning rafikis.
26
39
51
452
MTANZANIA 🇹🇿 retweeted
Hate sin by loving obedience 💙 Happy Sabbath 🙏
23
66
414
4,623
MTANZANIA 🇹🇿 retweeted
Simu yake haipatikani
6
2
34
780
MTANZANIA 🇹🇿 retweeted
Good morning friends, happy Sabbath you all.
6
12
17
427
MTANZANIA 🇹🇿 retweeted
Kuna marafiki wakiku-text uko wapi?... unaanza kabisa na kuvaa viatu!
7
20
144
4,301
MTANZANIA 🇹🇿 retweeted
Mpaka kesho ntamshukuru Mungu kwa kunisaidia nikaacha kunywa mapombe.
14
20
1
223
6,353