Gisiggo (@Gisiggo) header
Gisiggo (@Gisiggo) profile picture

Health data analyst|| Sharing insights on hospital analytics & service improvement|| NCDs & health insurance|| Prompt engineer|| #Excel #SQL #Tableau #Power BI

🇹🇿x🇰🇪
Joined February 2020
Ndugu watanzania wenzangu kama una hospitali, kituo cha afya, Cliniki au Zahanati na unatoa huduma kwa wateja wa bima (either ni nhif au bima nyinginezo) na umekuwa ukikatwa kila unapo tuma madai yako kwa makosa mbalimbali, nipo hapa kukusaidia kulitatua hilo.
1
1
120
Kanchi kadogo, kainchi kakimasikini mnatukalisha kwenye foleni masaa sita, tutakajengaje?
33
Replying to @Gisiggo
Kama yuko Nzovwe umeme tunao kila siku akulipe pesa yako labda kama yuko Tukuyu Katumba sawa 😀
1
1
2
63
Mkuu @Isayadicksonjr nasikia mkoa mzima wa mbeya hauna umeme siku ya pili niya kweli haya? Kuna mtu namdai anasema mawakala simu zao hazina chaji😁
1
2
121
Kuhusu buses zinazofanya safari zao za dar-kylea, kyela-dar. Ukiiacha kampuni ya newforce kampuni nyingine zinachangamoto sana kiasi cha mtu kutorecommend watu wengine kuyatumia hasa ukikata tiketi online.
1
40
New Songo express 1. Hawapigi simu wanavyoanza safari au kabla ya safari 2. Gari ikiharibika wahudumu hawasemi chochote wanatokomea tu 3. Ukitaka msaada kwa simu utazungushwa sana.
1
21
Ushauri wangu 1. Kwenye tiketi za online iwepo namba ya simu anayokua nayo kondakta au iwepo ya ofisi bus linapoanzia safari kwa siku hio. 2. Abiria wa vituo nje ya stend kuu bus linapo anzia safari wapigiwe simu bus linapoanza safari yake (mallesa's wanafanya) @TBoundBuses
1
1
135
January nilikua na kg 50 juzi nikawa now niko na kg 57 nahisi kupasuka na nguo naona hazinitoshi. Ubungo ni wapi kuna gym nzuri nianze tizi wakuu?
36
Unajua unaweza kupoteza thamani ya TSh MILIONI 1.8 kwa mwaka bila hata kutumia pesa zako? 😳🇹🇿 Mfano: Mshahara wako ni TSh 2,000,000 kwa mwezi = TSh MILIONI 24 kwa mwaka. Januari 2026: 💵 $1 = TSh 2,470 💰 Milioni 24 = $9,717 Novemba 2026: 💵 $1 = TSh 2,654 💰 Milioni 24 = $9,043 Yaani mshahara wako wa mwaka, ukipimwa kwa dola, umepungua thamani kwa $674 (takriban TSh milioni 1.8)! Hujapunguziwa mshahara, lakini uwezo wa pesa zako kununua vitu vinavyouzwa kwa USD umepungua. Sasa badala ya kulalamika, tufanye nini? 👇 - 🇹🇿 Wekeza kwenye hisa za DSE - 🏦 Angalia Treasury Bills na Bonds za Serikali - 💵 Hifadhi sehemu ya akiba kwa USD - 📈 Wekeza kwenye mifuko ya pamoja kama UTT AMIS - 💼 Jenga chanzo kingine cha kipato Usifanye kazi kwa ajili ya pesa tu. Hakikisha pesa zako pia zinafanya kazi kwa ajili yako.
59
321
16
1,603
56,151
Ukiacha chanjo ya covid ambayo nayo niya juzi chanjo nyingine zimekuwepo kwa mda, autism inaanza wakati wa brain development ambapo mostly ni wakati mtoto hajaja duniani na kupatiwa chanjo. Sababu za autism ziko zaidi ya moja lakini chanjo sio moja ya sababu hizo.
chanjo za covid na chanjo nyinginezo wanazo pewa watoto na population kwa ujumla kutoka kwa wazungu ambazo wameleta kwetu kama population control mechanism (de-population of the black people), and strategy by the illuminati & the freemasons for their satanic new world order!
1
34
Hakijawahi kuacha kusimama na hakitakaa kiache, since kiko the same group na penis infact both zina corpora cavernosa. Tofauti ni size na moja haina urethra nyingine iko nayo na moja kazi yake ni sexual pleasure tu penis iko na sexual functions na kupitisha mkojo
Sasa kingekua hakina neva kingesimamaga kikipata stimulus? Au mi sielewi😂
1
120
Gisiggo retweeted
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Edu Boy amewaomba Watanzania kumsaidia kuchangia takribani shilingi milioni 30 kwa ajili ya kugharamia matibabu yake nchini India, kutokana na changamoto za kiafya zinazohusiana na uvimbe kwenye utumbo (IBD aina ya Crohn’s colitis). Edu Boy, ambaye amewahi kutamba kupitia nyimbo mbalimbali, zikiwemo Yes or No aliyoshirikiana na Belle 9 pamoja na Naylee aliyoshirikiana na Bill Nass, amesema kwa takribani miezi mitatu amekuwa akisumbuliwa na maumivu ya tumbo na kutafuta matibabu bila kupata nafuu. Edu Boy ameiambia AyoTV kuwa awali alidhani alikuwa akisumbuliwa na vidonda vya tumbo, hivyo kutumia dawa kwa muda mrefu bila mafanikio, huku akijaribu pia dawa za mitishamba baada ya kushauriwa na Watu mbalimbali, lakini hali yake haikubadilika. Kwa msaada unaweza kutumia namba ( 0752577415- Voda) na kwa njia ya benki (0152782838500 - CRDB ) jina ni Edward Emmanuel Edward. #MillardAyoUPDATES
20
32
1
515
63,549
Here you go. 🫴🏿 Poster designs I did that changed the direction of my creative career.
What will you be posting using Twitter/X’s new feature of 20 photos per tweet?
532
1,976
208
13,218
526,149
Kuna mdada ameenda chuo, kafikiakwa rafiki yake aliemtangulia chuo, anashangaa kwa wiki moja mwenyeji ametembelewa na wanaume tofauti tofauti kama wanne hivi, mgeni nikupewa masaa tu, nenda katembee nitakuxt urudi
Kuna kitu nimekua nikiambia watu mara kwa mara kuhusu jiji la dar na watoto wa kike hasa wanaoenda kwa ajili ya masomo. I'm glad wengine wameanza kujionea maana lugha ya masikio ni ngumu kwa wengine kuelewa.
60
Kuna kitu nimekua nikiambia watu mara kwa mara kuhusu jiji la dar na watoto wa kike hasa wanaoenda kwa ajili ya masomo. I'm glad wengine wameanza kujionea maana lugha ya masikio ni ngumu kwa wengine kuelewa.
1
77
Gisiggo retweeted
Replying to @Gisiggo @kalegamyeh
Leo Kuna mgonjwa ameniambia watoto ni WA baba mkwe ( mume ajui )akawa anauliza mmewe anaweza kumuongezea damu mtoto 1 maana ana sickle cell 🤣🤣🤣💔
2
1
63
Kwa angle nyingine mtu asie muadirifu atatumia huo muanya kujipigia pesa kwa kisingizio cha kwamba hua anatengeneza mali za ofisi kwa pesa yake.
Kuna namna baadhi ya wafanyakazi wa Magari wamejengewa utamaduni wa Ownership ya mali za kampuni. Mfanyakazi wa Kampuni X akikutana na gari la kampuni yao barabarani, utamsikia akisema, “Lile gari letu.” Hii inaonyesha namna wanavyojihisi kuwa sehemu ya taasisi yao. 1/4
1
1
1
64
Gisiggo retweeted
Ndugu watanzania wenzangu kama una hospitali, kituo cha afya, Cliniki au Zahanati na unatoa huduma kwa wateja wa bima (either ni nhif au bima nyinginezo) na umekuwa ukikatwa kila unapo tuma madai yako kwa makosa mbalimbali, nipo hapa kukusaidia kulitatua hilo.
1
1
120
Gisiggo retweeted
Akizungumza kupitia chaneli ya UTV, Azam Media, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, Dkt. Peter Kisenge amebainisha kuwa mojawapo ya mambo wanayoyaona sasa ni kuongezeka kwa Wafanyakazi walioajiriwa ambao kazi zao zinahitaji kufikia kiwango fulani cha mafanikio (Key Perfomance Indicator-KPI’s) ambao wanapata Madhara makubwa yatokanayo na Magonjwa yasiyo ya kuambukiza, hasa Presha. Miongoni mwa Kinachosababisha changamoto hii ni Wafanyakazi hawa kuishi maisha yenye Stress pamoja na kukosa muda mzuri wa kupumzika ili watekeleze malengo waliyowekewa na taasisi zao.
6
1
23
1,979
Gisiggo retweeted
Replying to @HzMnkai @Gisiggo
Vivo basi jitahidi sana upime vipimo hivyo vitano mara kwa mara na ikiwezekana weka ratiba ya kila baada ya miezi mitatu unavipima vyote ili kuona mwendeno wako MASTA @Gisiggo kama ikikupendeza unaweza ukatuambia je zikizidi hizo tunaweza kujikomboa matibabu bila dawa
1
15