Elisa (@alpro26) profile picture

Obsever

Joined July 2021
Photo by Elisa (@alpro26)Photo by Elisa (@alpro26)Photo by Elisa (@alpro26)Photo by Elisa (@alpro26)Photo by Elisa (@alpro26)Photo by Elisa (@alpro26)Photo by Elisa (@alpro26)Photo by Elisa (@alpro26)Photo by Elisa (@alpro26)Photo by Elisa (@alpro26)
Mimi mtoto wa dada yangu amestaafu Muhimbili .. Mwingine mwaka huu ananiita Babu anafikisha miaka 50 ya ndoa .. wandali na wanyakyusa mpangilio wa familia hatuna 🤣🤣🤣🤣
Familia Za Kitanzania Hazina Mpangilio Kabis,Hapa Navyoongea Kuna Baba Yangu Mdogo Amezaliwa Jana.
2
28
Analysis yako umekosea .. ila Ruto atarudi maana sidhani Uhuru yupo fully committed na upinzani .. Mimi naona anamtikisa Ruto ili behind the curtain wafikie makubaliano ya kibiashara na kisiasa .. rejea uchaguzi wa 2022
Sifuna ana ngome mbili, ambayo ni Nairobi County ambapo yeye ni seneta ma Western Kenya kwa kiasi fulani kwa sababu ndio eneo linalotawaliwa na kabila lake la Luhya. Ana jaribu kuikamata Nyanza ambayo ilikua moja ya ngome za Raila Odinga na ODM lakini bado hajaikamata kwa sababu kuna Fred Matiang'i ambae ni "homeboy" wa eneo hilo. Uzuri Nairobi County ina wapiga kura 2,415,310 ambao ni karibia 11% ya wapiga kura wote wa Kenya ma Western Kenya ina changia wapiga kura wengine 2,217,948. Hapo tayari ni karibia wapiga kura 4,000,000 au 20% ya wapiga kura milioni 22.1 wa Kenya. Akifanikiwa kuikamata vizuri Nyanza hizo ni kura 3,120,732 zingine. Sasa tukija kwa Baba Mkwe, yeye ngome zake ni Rift Valley, Mt. Kenya na Northern Kenya. Rift Vally ina wapiga kura 5,349,889, Mt. Kenya ina wapiga kura 4,453,108 na Northern Kenya ina wapiga kura 882,677. Hizo ni kama kura 10,600,000 hivi au takriban 47% ya wapiga kura wa Kenya. Kimahesabu bado Baba Mkwe ana nafasi kubwa ya kurudi pale Kilimani. Mengi yatategemea sana coalition zitakazotengenezwa kwa ajili ya uchaguzi ila Sifuna nae sio nyonge. It will all come down to political coalitions na mobilization eneo ambalo Baba Mkwe yuko vyedi.
20
" Kweka wa Bunju " in making 🤣🤣💔
Nilikua naongea na client mmoja kuhusu mambo ya uzazi. Aliolewa na mtoto mmoja lakini sasa hivi ana watoto wanne. Anasema kwamba, aliendelea kumbebea mimba baby Dady wa kwanza akiwa ndani ya ndoa ili “asichanganye damu”. Nimeogopa sana.
1
25
Mnyika ni TISS na alikua best student
Hakuna best student anaweza kuacha ku persue ndoto zake za shule akaenda huko unakoita TISS.. Tuna mifano hai. Unamkumbuka yule mlinzi wa Kambale mfupi mfupi hivi kama mpemba? Kaulize alipata division ngapi form 4! Alipata division fulani katibu na sifuri huko Kilwa lakini akaishia kuwa mlinzi wa Rais😁
30
Umri wako siyo wa kupost hizi post .. sema tunaelewa shida nn .. watakupa TU 2030 🤣🤣🤣
“I am not in danger. I AM THE DANGER”
48
Hao wa Tanzania jau ni wale waliokujaza uache kazi BBC uje bongo utapewa uwaziri .. wengine hatuna makosa 🤣🤣🤣
Watanzania sisi jau sana, watu wanakuchochea na wanakujaza useme tu- ukiingia mkenge yakatokea ya kutokea utasikia - jamaa fala sana yule
41
Shida na huyo lulu amepitia malezi mabaya ... Mama yake ana tuhumu ig ni mlevi na analiwa hovyo hovyo Hadi sasa anaishi maeneo ya kawe na bunju
Replying to @MightBeKelvin
Bro nyimbo za zamani ni weird Dar mpaka Moro Baby Candy Hii story Lyrics vile vile, Skendo za zamani P Funk na Kajala mara wamemgombania na TID Hii nchi iliwahi kimuweka kwenye uvungu wa basi Lulu baada ya kifo cha Kanumba, sasa uliza sababu ya ugomvi?
101
Who was ??
All u say is true but the msanii died 2015. Pds kwetu wanachukuliwa like its a norm, tabia za kishetani.
1
64
Jaribu kuongea na madalali .. utakuja kujua 80% ya hapo wanawake ni nguvu za wanaume ( hasa hasa waume za watu )
Saivi ukienda kwenye jengo lenye frame nyingi utaona sehemu kubwa ni biashara zinazomilikiwa na wanawake, wengine wameanza kujenga nyumba za kuishi kabisa, masela tukaze tusije tia huruma huko mbeleni.
1
53
Punguza madawa ndugu yangu .. pia ni vizuri uende mental hospital
Huyo Mwenye 10,000,000/= Bwege tu akae na hela yake mbuzi mimi nafanya na walio na zaidi ya hiyo kwanza hela yangu ya kula tu hapa Dubenga Huyo atakuwa matako tu maskini tu anayefikiria sana na hela yake mbuzi
3
59
Elisa retweeted
Work hard in silence. Let success be your noise. 🏆
18,867
211,712
18,864
1,339,746
28,368,425
Kwa akili hizi unataka wanyiha wenzako , wandali , wamalila , walambya na wawanji wakupe Jimbo la mbozi ??
Mtu anasema anachukia mauaji ila ikifika kwenye mauaji ya wanawake anaona kawaida. Hii ni hatari sana.
29
Alikataa kuwa chini ya mstaafu .. mstaafu akaanza kumshughulikia akishirikiana na upinzani .. hapo ugomvi ulianza
Replying to @BarakaMaviatu
Hata mimi sijawahi elewa sababu za yeye kuanza ku crush wapinzani ilihali tayali alikuwa anasepa na kijiji kuliko kawaida! Angeishi labda akatuandikia na yeye kakitabu tujue kwa nini alifanya hivo. One of his great shortfall kwenye yote aliyojojengea katika safari yake ya siasa.
22
Sema kwa status yake naona haifai
Nimekutana na habari ya huyu binti wanasema eti ndo msanii mdogo zaidi kuwahi kusainiwa kwenye record label kubwa ya Warner Music Group Nikashangaa mbona simjui ikabidi nikamfuatilie ndo nikagundua kumbe ndo yule ameimba na Marioo wimbo wa My Fever. Mziki wa Bongo unaenda duniani bhana🙌
21
Ningekuwa Ben ningefuta Hadi hiyo post 🤣🤣🤣
Hapa ndugu yangu kawekwa mtego mkali sana wa kiplomasia 🤣
33
Nina swali ; hayo majukumu ya ulezi bajeti ya pesa inatoka wap
Waziri Mlezi Mkoa wa Lindi ni Waziri Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano Deusi Sangu Waziri Mlezi Mkoa wa Ruvuma ni Waziri wa Uchukuzi Prof. Mbarawa Waziri Mlezi Mkoa wa Mtwara ni Waziri wa Viwanda na Biashara Una swali lingine?
19
Pole sana Kaka .. Allah akutie nguvu 💔
This quoted post is unavailable.
111
Huyu si ndo wanasema alitekwa na Baba wa kambo ... Ila poleni kaka 💔
This quoted post is unavailable.
1
2
209
Mdini kivipi wakati baada ya azimio la Arusha alibinafsisha shule nyingi za katoliki na anglikana kuwa za serikali Udhaifu wa Nyerere alikipenda mno ccm ikapelekea kufanya baadhi ya maamuzi kwa hisia badala ya akili
Lakini taasisi yake ya TEC huko RC aliinenepesha sio? Mwalimu alikua mdini sana hujui tu.
1
62
Story behind ya kifo chake ni Nini ??
NAZUNGUMZA KAMA MZAZI MWENYE WATOTO WA KIKE NA KIUME. Hii haki ya kumuua binadamu mwenzako kwa sababu ya mapenzi unaitoa wapi aisee?? Yani nilee binti yangu mpaka amekuwa mtu mzima, nimgharamie kuja Chuo Kikuu, kisha wewe ukutane naye tu na kuanzisha mahusiano yanayokupa haki ya kumchoma visu na kumuua?? Ni sababu gani ya kimapenzi ambayo unahisi ni nzito kiasi cha kukupa haki ya kuondoa uhai wa binti yangu? Kuna namna jamii yetu inapaswa kufunda upya vijana wa kiume. Mara nyingi haya matukio ya mwanaume kuuwa mwanamke kwa sababu za mapenzi ni matokeo ya entitlement tuliyomjengea mtoto wa kiume. Tumewajengea watoto wa kiume dhana mbaya sana inayowafanya waamini wana haki ya kumfanya mwanamke chochote. Na hili linaanza mapema kabisa pale ambapo kijana anamfanyia binti ukatili wa wazi kabisa huku jamii ikimpuuzia na hata kumchochea kwa hoja kwamba “huyu ni mumeo, unapaswa kumheshimu.” Chukulia kwa mfano cheating. Cheating imegeuzwa kuwa dhambi kubwa ajabu kwa mwanamke lakini wakati huo huo ni haki kwa mwanaume. Kamwe hausikii jamii ikimzungumzia mwanaume malaya, hata kama ana wanawake 100. Ila mwanamke akifanya hivyo hata na mwanaume mwingine mmoja tu, tayari inageuka kuwa dhambi ya milenia. Sio ajabu kabisa kukuta mwanaume anayecheat na wanawake kibao ndio huyo huyo anayempiga na kumsulubisha mwanamke kwa hoja kwamba “ana tabia za kimalaya; hatulii; hajiheshimu.” Mwanaume huyu huyu anayecheat anaweza kabisa kumuua huyu binti kwa kucheat na jamii ikamtetea kwa hoja kwamba “alishindwa kudhibiti hasira.” Hasira nayo imekuwa ni haki ya mwanaume lakini sio haki kwa mwanamke. Mwanamke anafanyiwa ukatilia wa ajabu lakini analazimishwa na jamii kuvumilia na kunyamaza. Hata akimfumania mumewe right hand, ataambiwa “wanaume wameumbwa hivyo; wana tamaa. Unapaswa kuvumilia.” Hii sio sawa hata kidogo. Mwanamke naye ni binadamu; ana haki za kuishi na kufurahia maisha yake kama ilivyo kwa mwanaume. Ana haki ya kuwa huru kufanya maamuzi yake ya kimapenzi na kingono kama ilivyo kwa mwanaume. Ukiona tabia za mwanamke haziendani na matarajio yako, ni kiasi cha kuachana naye tu na kutafuta mwingine. Kama jamii tunapaswa sio tu kukemea bali pia kuhakikisha wanaotekeleza haya wanakutana na consequences. Tufundishe vijana wetu wa kiume tangu wanapokuwa wadogo kuwa mwanamke sio mali yake wala subject wake. Tuwafundishe kuwa mwanaume hana haki yoyote juu ya maisha ya mwanamke kiasi cha kuamua kumnyanyasa na hata kumuua. Tuwafundishe pia kuwa hoja “hasira” kuwa ni hoja ya kipumbavu na kikatili. Ni hoja ambayo mara nyingi tumekuwa tukiitumia kuhalalisha ukatili dhidi ya wanawake. Tuwafundishe pia kuwa hoja ya “nimemgharamia” ni hoja ya kikatili na kipumbavu. Hakuna kiasi cha fedha kinachoweza kukupa uhalali wa kumiliki na hata kuondoa uhai wa binadamu mwingine; kutweza utu wa binadamu mwingine. Mabinti zetu wana haki ya kuishi; wana haki ya kupursue ndoto zao pasipo kuwa na hofu kwamba siku moja mwanaume fulani aliyetamani tako au sura yake atammiliki kama mali yake na hatimaye kuja kuondoa uhai wake. Mwisho, ifike mahali matukio ya kikatili kama haya yaadhibiwe kwa uzito wa kutosha ili yatume ujumbe sahihi kwa wengine. Jaribu kutafakari tu namna mzazi wa huyu binti anavyopokea hii taarifa.
1
1
52