Elisa (@alpro26) profile picture

Obsever

Joined July 2021
Photo by Elisa (@alpro26)Photo by Elisa (@alpro26)Photo by Elisa (@alpro26)Photo by Elisa (@alpro26)Photo by Elisa (@alpro26)Photo by Elisa (@alpro26)Photo by Elisa (@alpro26)Photo by Elisa (@alpro26)Photo by Elisa (@alpro26)Photo by Elisa (@alpro26)
Elisa retweeted
Work hard in silence. Let success be your noise. 馃弳
18,866
211,711
18,864
1,339,746
28,368,517
Nimekumbuka Dingi alikua na tabia siku ya kulipa ada, anakushikisha vibunda vyako mkononi mnaenda benki kufanya deposit. Yuko radhi akaidraw hio pesa aje nayo home asubuhi uibebe wewe mkononi mkaipeleke benki. Hio ndo lecture yake, hakuongeleshi tena kuhusu kusoma kwa bidii.
14
29
1
370
17,491
Pumzika kwa Amani Deus mgengele hatutasahau ukatili samia alio fanya juu ya watanzania wazalendo 馃挃馃槶
288
2,345
107
5,515
365,708
Kuwa na mazoea ya kusali mara kwa mara hata kama umefanikiwa kwa uliyoomba.
11
17
218
3,406
Nipo kwenye maombolezo kufuatia msiba wa Mwanangu @magulu94, lakini acha niseme maoni yangu; Watu mliowaponda Wasanii kutokana na kufanya kazi na CHAMA CHA MAPINDUZI, wakati ninyi wenyewe mnafanya kazi na hao hao CCM, mnazingua kinoma! Taivina kazingua BIG TIME, na mnaomsifu
12
18
129
4,710
Mwananchi enjoy 饾煋饾悊馃ぉ馃枑馃徏 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
194
1,809
177
5,637
277,872
Shame on niggas who suddenly cares about Iran, but stayed silent when Tanzania was bleeding last year. Mofos even stayed out of X. They鈥檙e nothing but bloody killer Samia鈥檚 regime apologists. The hypocrisy is unbelievable.
47
285
12
1,260
35,410
To our brothers and Sisters that have lost their lives, You will never be forgotten. Nyie ni ndugu zetu hata kama kama mtu halitambui. Nyie ndio boda wetu, wauza chapati, wauza genge, manesi, madaktari, wahudumu wa Bar, nyie hamkujifungia ndani, you risked all 馃檹馃徏 We mourn you.
25
358
5
1,237
35,500
Anatafutwa na ndugu zake. Tunaomba REPOST ujumbe ufike mbali. REPOST REPOST.
Replying to @roseylyne
Nimempoteza mdogo angu kupigwa home kbsa tumepita kila mochwari ya dar unaijua wewe wapi,,馃槶 mpk kuna mda naweweseka,siko sawa wallah akili yangu imehama lolote litokee tu 馃槶
10
1,035
2
1,862
75,684
鈥淩ais wa CAF Mostepe, picha na video hii imechukuliwa sasa hivi katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, uwanja uko katika hali nzuri Rais Motsepe watu wako wanakudanganya kuhusu uwanja, tunajua Berkane ni ya nani lakini sisi Simba SC na Watanzania hatuko tayari kwa hili." Magori
210
74
37
344
165,465
Habibi, welcome to Zanzibar!
1
5
2
23
1,016
Ukinipa bajaji yako nikufungie gesi, hutajutia馃敟馃敟 Karibu sana piga 0687627393
43
116
4
673
92,596
Tunamtafuta ndugu yetu Moses Adam Mwaikonyole, mwenye umri wa miaka 28, ambaye hajulikani alipo tangu mwezi wa pili (Februari). Mara ya mwisho alionekana katika Hospitali ya Rufaa Mbeya, na tangu wakati huo hatujapata taarifa zozote kuhusu alipo. Moses ni mrefu na mweusi. Ikiwa umefanikiwa kumuona au una taarifa yoyote inayoweza kusaidia kumpata, tafadhali wasiliana nasi kupitia namba hizi: [0754867464 /0764068747]
1
57
99
8,262
Replying to @rollymsouth
Tena wa humu twitter waganga njaa wakubwa. Wanahaha kuandika miradi kwa wazungu wapewe hela but hawaachi kujikomba kwa serikali inayoumiza wanawake wanaodai kuwatetea. Siku kama ya leo ndio huwa wanaumbuka, wanawake wenzao wameumizwa na kudhalilishwa lakini hata kukohoa hawawezi
6
16
117
6,028
Kama una mawazo yako ambayo hayasemeki hadharani kuhusu hii ndoa, rt tu halafu uvunge kimasta. Au sema au sio
5
13
213
7,900
Bullying na Matusi mitandaoni sio kitu kizuri. Tukemee bila kuweka jinsia. Ukiweka jinsia una maslahi yako. Tukemee na tutoe elimu 馃
4
19
40
1,042
Vazi La Taifa Halitekezeki. Tuupromote hata Ugali ili ndio kiwe chakula cha taifa ,At least kidogo tutaeleweka.
Watu hawajiulizi waasisi wa taifa walikazania kiswahili badala ya Mambo ya vazi la kitaifa ?? 馃ぃ馃ぃ Naona ni mradi wa watu wa kupiga hela
1
1
95
Zimebaki gunia 13 tu hizi, upo Mchele wa Kilogram moja Tsh 2,400 mpaka Kilogram moja Tsh 3,000. Nunua mchele kilo 200 upitie Perfume Bamaga moja bure. 鈽庯笍 0678213259
112
330
16
2,576
193,544