
Tech communicator |Content crafter & Negotiation wiz |Legal & history buff Administrator B.A. History & Poli Sci Snr Jobless #InmentalBattle #KindnessMatters
Dar es Salaam, Tanzania
Joined May 2020
- Tweets54.4K
- Following4.5K
- Followers6.5K
- Likes116K
Pinned Tweet
I lost everything. Honestly. I once had dreams, structure, a goal.And then life tore me apart, layer by layer. Until I thought: That's it. I can't get out of
I prayed Yes.
Not out of strength. But out of last hope. Not even with nice words. Just with breaths that said, "Help me
Nanii alikwambia Political science ni kwa ajirii ya Wanasiasa??
Vyuo vyetu ni vya KITAPELI SANA kozi kama Political Science ni koz inatakiwa asome mtu tayar ni Mbunge au Kiongozi na sio mtu aliyetoka form six.
Kozi kama Mass Communication ni kozi anatakiwa asome mtu tayar yuko kwenye field inayohusu ayo maswala sio direct entry
Tubadilike.
155
GNJ Maleko Jnr retweeted
Long Story Short
Jamaa Alipiga $40 Million January 2025
Then Akapotea Mazima Hata
Rafiki Zake Wa Karibu Aliwakata.
Jamaa hana interview yoyote
mpka sasa baada ya kukusanya kibunda.
So Usishangae Hiyo Attention Anayopata
🤣
GNJ Maleko Jnr retweeted
Jana, tulipokuwa tukihitimisha ziara yetu ya siku mbili Wilaya ya Ileje, tukiwa Kata ya Ibaba, nilimualika Kepher, mtumishi wa maabara katika Kituo cha Afya cha Ibaba, anayefahamika mitandaoni kama “Kijana wa Ibaba.”
Nilifurahishwa na namna anavyohamasisha vijana wenzake wa Gen Z walionufaika na ajira mpya za Serikali, maarufu kama Watamisemi, kupenda maeneo waliyopangiwa kazi na kutokimbilia kutafuta uhamisho.
Juhudi za Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuifungua Ileje zimeendelea kuboresha mazingira ya maisha. Pamoja na kwamba bado si maeneo yote yenye barabara za lami, kata zote zinafikika mwaka mzima, huku huduma kama umeme na intaneti zikiendelea kupatikana.
Hali hii inawapa vijana sababu zaidi za kuona kuwa hata vijijini wanaweza kufanya kazi, kuishi vizuri na kutimiza ndoto zao.
Hongera Kepher kwa kuwa balozi mzuri wa Ibaba na mfano wa vijana wanaopenda na kuthamini maeneo wanayolitumikia.
GNJ Maleko Jnr retweeted
Nadhanii Airtel ndo Router ya kijinga na kipumbavuu kuwai kutokea katika Uso Wa Dunia
GNJ Maleko Jnr retweeted
Heshima kwa wanetu wotee Mnaodhanii mnatupa Ganji ya Bapa tuu
But Ganjii hii kidogoo inalea mpaka familia zetu Senior Jobless
Munguu awabarikii sanaaa
GNJ Maleko Jnr retweeted
Uko SAWA bro.
Acceptance ni hatua muhimu sana siku unahisi kila kitu hakiendi SAWA. S/o to @doktanature #mentalhealthsupport #madiniyagaby #kaambalinakamba
Cc.@gabyconscious
Heshima kwa wanetu wotee Mnaodhanii mnatupa Ganji ya Bapa tuu
But Ganjii hii kidogoo inalea mpaka familia zetu Senior Jobless
Munguu awabarikii sanaaa
GNJ Maleko Jnr retweeted
Moja ya faida ya bikra kwa mwanamke ni inamfanya awe na aibu. Bikra ikishavunjwa aibu inatoka na mwanamke anajiamini kupost uchi wake online. Hakuna bikra anaweza post content za kimalayamalaya kama hii nitter.cf/TherealBihemo/status/2…
GNJ Maleko Jnr retweeted
𝐌𝐀𝐊𝐀𝐌𝐔 𝐖𝐀 𝐑𝐀𝐈𝐒 𝐀𝐀𝐆𝐈𝐙𝐀 𝐓𝐀𝐊𝐔𝐊𝐔𝐑𝐔 𝐊𝐔𝐅𝐀𝐍𝐘𝐀 𝐔𝐂𝐇𝐔𝐍𝐆𝐔𝐙𝐈 𝐌𝐈𝐑𝐀𝐃𝐈 𝐘𝐀 𝐓𝐀𝐂𝐓𝐈𝐂, 𝐌𝐓𝐖𝐀𝐑𝐀, 𝐌𝐊𝐀𝐍𝐃𝐀𝐑𝐀𝐒𝐈 𝐀𝐃𝐀𝐈𝐖𝐀 𝐊𝐔𝐊𝐎𝐒𝐀 𝐔𝐖𝐄𝐙𝐎.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi, ameagiza TAKUKURU mkoani Mtwara kuchunguza mchakato wa utoaji wa tenda ya shilingi bilioni 27, namna mkandarasi alivyopatikana na walioidhinisha tenda hiyo, baada ya kutoridhishwa na kasi na kiwango cha utekelezaji wa miradi ya uboreshajiMiundombinu ya Miji ya Tanzania (TACTIC) Mkoa wa Mtwara, licha ya mkandarasi kulipwa TSh bilioni 4 za awali.
Tenda hiyo inahusisha ujenzi wa soko, barabara yenye urefu wa kilomita mbili, mtaro mkubwa wa maji na eneo la wajasiriamali.
Akijibu maswali ya Makamu wa Rais kuhusu mwenendo wa mradi, mshauri wa mradi kutoka Norplan (T) Ltd JV Typsa amesema tangu mwanzo mkandarasi kampuni ya Serengeti LTD alionyesha kutokuwa na uwezo wa kutekeleza kazi, huku akiwa na vifaa duni.
Mshauri huyo amekiri kuwa baadhi ya kazi hazijaanza kabisa na kwamba kiwango cha kazi zilizofanyika hakiendani na fedha.
Kufuatia hali hiyo, Makamu wa Rais ameagiza ujenzi wa miradi hiyo ukamilike ifikapo Machi Mosi, 2027, bila nyongeza ya muda. Ameelekeza kuwa mkandarasi akishindwa kukamilisha kazi kwa wakati, atozwe fidia ya ucheleweshaji (liquidated damages) na kuchukuliwa hatua nyingine za kisheria.























