Modesta Z (@ModestaZ7) header
Modesta Z (@ModestaZ7) profile picture
Joined September 2020
Photo by Modesta Z (@ModestaZ7)Photo by Modesta Z (@ModestaZ7)Photo by Modesta Z (@ModestaZ7)Photo by Modesta Z (@ModestaZ7)Photo by Modesta Z (@ModestaZ7)Photo by Modesta Z (@ModestaZ7)Photo by Modesta Z (@ModestaZ7)Photo by Modesta Z (@ModestaZ7)Photo by Modesta Z (@ModestaZ7)Photo by Modesta Z (@ModestaZ7)
Sitaki kujua ilikuaje Sitaki kujua ilikua vipi Ninalojua nilikua kipofu Sasa naona Ninaonaaaa🎵 Ninalojua nilikua kiwete Ninatembea Sasa naona ninatembea Yesu ametenda Amenitendea [Sasa ninaona natembea Ametendq kwangu,atakutendea]×2 Amefanyaje sijui Ilikuaje sijui🎶 KKKT-keko – at Tanzania
2
13
1
53
3,718
Modesta Z retweeted
Asubuhi nyengine ya kuwakumbusha mafirst born kuwa huwezi wasaidia wazazi wako kama hujajisaidia wewe kwanza. Sina maana usiwasaidie, hapana. Ila hakikisha malengo, ndoto na furaha yako vinakaa mbele kwanza hadi pale utakapokuwa imara zaidi kujitegemea. Kama Hujaelewa? Soma tena.
1
15
67
994
Modesta Z retweeted
AFRICA’S MOST INFLUENTIAL BUSINESS ROOM IS FILLING FAST Join *1,000+ CEOs, senior executives, investors and policymakers** at the *World CEO Summit 2026/Africa*—two powerful days designed for strategic connections, investment engagement and high-level conversations shaping Africa’s future. 🌍 *50+ countries represented* 🎤 *110+ influential speakers* 🏢 *300+ participating companies* 💼 *200+ investors* 📈 *USD 250M+ in expected deals* If you are looking for capital, partnerships, market access, business opportunities or direct connections with decision-makers, this is where you need to be. 📅 *26th–27th November 2026* 📍 *Ocean View Arena, Dar es Salaam, Tanzania* *Limited delegate places are available. Secure your seat now.* 🌐 Register: *worldceosummit.com/africa/re…* 📧 Email: **[email protected]* 📞 Tanzania: *+255 717 109 362* *Don’t just watch Africa’s transformation—be in the room where it is shaped.* #WorldCEOSummit #WorldCEOSummitAfrica #AfricaBusiness #AfricanCEOs #Business
2
16
40
729
Nimekuza jamani Peter anajua majina yangu yote matatu 🥲na yeye nimemuuliza unaitwa nani? Kataja majina yote manne 😂nimemuuliza nani kamtajia majina yake kaniambia ni mwalimu🥹
10
9
2
107
4,554
Modesta Z retweeted
all pedophiles deserve death
650
30,918
436
226,583
3,760,733
KKKT kama nawaona😒
Baraza la Maaskofu Katoliki Kenya (KCCB) limepiga marufuku hotuba zote za kisiasa katika makanisa ya Kanisa Katoliki kote nchini humo, wakati taifa likijiandaa kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka 2027. Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa Novemba 13, 2026 na Vatican News, tamko hilo lililotolewa mjini Embu na kusainiwa na Mwenyekiti wa KCCB, Askofu Mkuu Maurice Muhatia Makumba wa Jimbo Kuu la Kisumu, limeelekeza mapadre wote kuhakikisha nyumba za ibada zinabaki kuwa maeneo ya sala, umoja, na ukarimu kwa waumini wote bila kujali itikadi zao za kisiasa. “Watu kutoka katika makundi mbalimbali ya maisha huja katika nyumba za ibada kutafuta amani na kuwa kimya mbele ya Yesu. Kipindi cha kampeni za uchaguzi hakipaswi kuwa sababu ya kufanya nyumba za ibada kuwa majukwaa ya kisiasa,” wamesema Maaskofu, wakisisitiza kuwa wanasiasa wana majukwaa mengine kama vile mikutano ya hadhara na vyombo vya habari. Tamko hilo lenye kaulimbiu “Wito wa Kuijenga Kenya Yenye Haki, Amani na Umoja”, limeongozwa na maandiko kutoka Mika 6:8 pamoja na rejea ya Waraka wa Kitume wa Papa Leo XIV (Magnifica humanitas), likikumbusha wajibu wa Kanisa kusimama upande wa wanyonge pale utu wa binadamu unapokiukwa. Maaskofu hao wamewapelekea vijana ujumbe maalumu wakiwataka kuchukua hatua za kiuwajibikaji kwa kupata vitambulisho vya kitaifa na kujiandikisha kupiga kura. Hata hivyo, wamewaonya vikali dhidi ya kutumiwa na wanasiasa kuchochea vurugu kwa ushawishi wa fedha. Wamewahimiza vijana kuwa vielelezo vyema katika jamii na kutumia ubunifu wao kwenye mitandao ya kijamii kueneza amani, haki, na utunzaji wa mazingira badala ya chuki na migawanyiko. Kuelekea uchaguzi wa 2027, KCCB iMEtaka Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kujenga imani kwa wananchi kwa kuhakikisha mchakato mzima kuanzia usajili wa wapiga kura hadi utangazaji wa matokeo unakuwa huru, wa wazi, na usioingiliwa na wenye mamlaka. Aidha, wameitaka Mahakama kutenda haki bila upendeleo katika migogoro yote ya uchaguzi. Wakigeukia Bunge la Kitaifa, Maaskofu wameonya dhidi ya kupitisha sheria zinazoweza kufifisha imani ya wananchi, wakipinga vikali mapendekezo ya kuzuia matangazo ya moja kwa moja (live broadcast) ya kuhesabiwa kwa kura za urais. Pia, wameeleza wasiwasi wao kuhusu miswada sita ya elimu iliyo bungeni, wakidai baadhi ya vifungu vyake vinakiuka misingi ya ushirikishwaji na vinaweza kudhoofisha taasisi za elimu zilizoanzishwa na mashirika ya dini. Katika eneo la ulinzi na usalama, KCCB imeeleza kusikitishwa na kuendelea kwa matukio ya utekaji nyara, watu kupotea katika mazingira ya kutatanisha, na unyanyasaji wa watetezi wa haki za binadamu baadhi ya matukio yakidaiwa kuhusisha watu wenye silaha wanaoshirikiana na vyombo vya dola. Maaskofu wamevitaka vyombo vya usalama kutekeleza sheria kwa usawa bila upendeleo, huku wakiwaasa wananchi kutumia uhuru wao wa kujieleza bila kutoa kauli za ukabila au uchochezi.
3
8
718
Mimi Whatsapp status yangu ikipata viewers wengi sana ni watu 9 kikawaida huwa ni 5 au 6.😭😂😂
32
12
6
169
8,799
Tuone
watoto wamefunga shule, huu ndo muda wa kuwapima DNA sasa…
7
1
31
1,499
Modesta Z retweeted
Simulizi ya Luciana aliyekimbiwa na mume baada ya watoto wake kupata ulemavu Unaweza kuwasiliana nao kupitia namba 0714573746 na 0742677700 (Augustino Ndonu).
1
15
40
2,677
Kuna wimbo wa kisukuma unachezwa kama singeli
5
2
27
663
Mvua ya asubuhi inataka nisirudi kwetu au?😒
12
7
86
3,838
Leo ni siku yangu ya kuzaliwa. Namshukuru Mungu wangu. Kila hatua DUA. 🙏🏾
127
129
12
1,540
41,558
Praying for you My brother. #FreeTwahaMwaipaya
14
205
3
1,042
15,455
Modesta Z retweeted
A generation full of hoes and yet someone still decides to be a pedophile or a rapist. If you randomly throw a stone in any direction in Dar es Salaam, you can't fail to hit a hoe. With all the options available, you still to choose to become a predator? Sickos!
4
8
1
25
928
🤣🤣mashemeji hawa wanafki?
If a man introduces you to his friends,take it from me,he wants to marry you
5
1
18
1,046
Mvua inataka kutoboa bati😒 Kwani ndio Elnino?
7
4
1
66
2,139
Saluni za Dar hata za uchochoroni zina vifaa vya kazi zao sasa Sengerema ukitaka kuoshwa nywele unaoshewa kwenye beseni 😪kwahiyo unasimama unainamishwa bichwa lako kwa yale masingi ya kuoshwa nywele unaamua kumwambia salunisti naosha mwenyewe nywele zangu🤣 – at Rwanda
5
6
63
1,569
Modesta Z retweeted
Kuna watu wanaamini viatu ni sehemu ya mwisho ya outfit. Mimi naamini ni sehemu muhimu ya kuanzia kupanga muonekano.
4
7
161
Modesta Z retweeted
Jipende mahala pako pa kazi
2
2
75
Modesta Z retweeted
Mnazikumbuka hizi?
5
6
166