Happyness Seneda retweeted
Nawashukuru nyote kwa salamu nyingi za kheri na upendo katika kumbukizi ya miaka minne ya Kiapo cha kuitumikia nchi yetu katika nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Tuungane pamoja kumuomba Mwenyezi Mungu aendelee kuibariki nchi yetu, tudumu katika umoja, amani na utulivu. Tumuombe pia Mwenyezi Mungu aendelee kutuongoza katika utu na weledi kwenye utekelezaji wa majukumu yetu, na kuzibariki kazi tunazozifanya katika kuleta ustawi wa nchi yetu na Wananchi wote.
Kazi na Utu, Tunasonga Mbele.
Happyness Seneda retweeted
Ahsante Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Marekani, @KamalaHarris kwa safari yako ya kihistoria Tanzania. Safari hii na utekelezaji wa tuliyojadiliana vitasukuma mahusiano ya Tanzania na Marekani kwenda mbele zaidi kwa manufaa ya nchi zote mbili. Safari njema, na karibu tena Tanzania.
Hiyo black and white ni kwa sababu koti ni red, wana Simba watahisi ni mwenzao.
#YangaDamu
2
8
.....2/2. Leo tumeanza na shule za sekondari Lugalo, Kleruu, Highland na Iringa girls.
#KumalizaMasomoBilaKufanyaNgonoInawezekana.
5
Leo tumezindua rasmi program ya kuzungumza na wanafunzi wa shule za Sekondari hasa wa kike katika Mkoa wetu wa Iringa juu ya changamoto kubwa tuliyonayo na kukithiri kwa mimba za utotoni pamoja na kuwatia hamasa ya kufikia malengo yao.
.
.......1/2
Kikao cha majumuisho cha maandalizi ya ujio wa mwenge wa Uhuru unaotarajia kuwa Mkoani kwetu Iringa tarehe 10 mwezi huu. Cc: @AllyHapi | #Iringa.
Cc: @MichuziJr @Hakingowi @CloudsMediaLive @swahilitimes @millardayo @MwananchiNews @efmredio
2
Shukrani nyingi kwa Mhe Rais Dr John Pombe Joseph Magufuli.
#Hapakazitu
8
Hatimae mkataba wa mradi wenye gharama ya tsh billion 10 wa kuleta maji Kisarawe umesainiwa.
#Hapakazitu #Kisarawe
2
5
Katika ukaguzi wa ujenzi na uwekaji wa jiwe la msingi wa kituo cha afya Chole. Serikali imetoa tsh millioni mia nne kwa ajili mradi huu, shukrani nyingi kwa mhe. Rais Dkt Magufuli bila kumsahau mhe. mbunge wa jimbo la Kisarawe S.Jafo.
Hongereni sana wana Chole kwa kazi nzuri.
1
4
Happyness Seneda retweeted
Today is @earthhour Day! We’ve joined @HappynessSeneda Kisarawe DC, community & schools, TFS & Mikoko Scout Group to plant trees in Kazimzumbwi Forest Reserve. Join us and #connect2earth – at Dar es Salaam, Tanzania
Happyness Seneda retweeted
Earlier today with Kisarawe District Commissioner and WWF’s forest specialists from across the globe planting native trees to help restore Pugu forest reserve
Naaaam huu ndio music sasa #Waambie #PapiKocha 💚 @CloudsMediaLive
@sophiamjema1 @millardayo_
youtu.be/0PP4jQDcVug
Leo February15, 2018 nilikuwa hewani #PowerBreakfast Cloudsfm - nikiongelea masuala ya Elimu na mambo mbalimbali ya maendeleo wilayani kwetu (Kutangaza fursa zinazopatikana Kisarawe) .
Asante sana @masoudkipanya @barbarahassan @fredwaatz @CloudsMediaLive kwa nafasi hii.
#HappyBirthday mama wa mfano uliyeandika historia ya kuwa mwanamke wa kwanza kuwa Makamu wa Rais Tanzania (@samiasuluhu), hakika umetufungulia milango!!
Mungu akupe maisha marefu na yenye baraka.
#HappyBirthdayMamaSamia.
#Hapakazitu
1
4
Happyness Seneda retweeted
#Kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe - @happynessseneda
Ukaguzi wa miradi ya maendeleo… instagram.com/p/BeVS7QWhpdD/
#Picha: Mapema leo Waziri wa Mambo ya Ndani wa Nchi Dkt @mwigulunchemba1 alipotembelea Ujenzi wa kituo cha Polisi cha Wilaya Kisarawe.
#Hapakazitu
1
2







































