Mkarasinga wa Cuba (@JaphalShablou) header
Mkarasinga wa Cuba (@JaphalShablou) profile picture

Mining & Minerals Enthusiast | Man City & Yanga SC | Real Madrid #PambaniaUnachokiamini

Geita- Tanzania-East Africa
Joined October 2026
Photo by Mkarasinga wa Cuba (@JaphalShablou)Photo by Mkarasinga wa Cuba (@JaphalShablou)Photo by Mkarasinga wa Cuba (@JaphalShablou)Photo by Mkarasinga wa Cuba (@JaphalShablou)Photo by Mkarasinga wa Cuba (@JaphalShablou)Photo by Mkarasinga wa Cuba (@JaphalShablou)Photo by Mkarasinga wa Cuba (@JaphalShablou)Photo by Mkarasinga wa Cuba (@JaphalShablou)Photo by Mkarasinga wa Cuba (@JaphalShablou)
Jitahidi sana katika kufanya kazi, Ndoto, na Majukumu yako, lakini usisahau kuishi Maisha yenye Furaha na Amani.
3
12
21
423
Mkarasinga wa Cuba retweeted
Riziki si Mashindano, kila Mtu ana Safari yake. Dhahabu ni Maisha Uchimbaji unalipa
2
2
34
Mkarasinga wa Cuba retweeted
Kuna somo kubwa na experience utapata kwenye 1. Kukosea. 2. Kuanza tena. 3. Kujaribu tena. 4. Kurudia tena. 5. Kurekebisha tena. Na hapo ndipo utamuona yule mtu unaemjenga.
1
13
44
821
Mkarasinga wa Cuba retweeted
Sisi wengine bila Mungu hatutoboi kwenye Maisha ✍️✍️✍️
16
33
65
1,798
Mkarasinga wa Cuba retweeted
Anko zangu Hapa napata miogo Mitatu Na Icream Ya 100 Siku Imeishaaa Jumapili njema
12
17
1
41
1,161
Mkarasinga wa Cuba retweeted
Kama Kanisani Unaenda Kusali Ibaada Ya Kingereza Basi Umejipata Mwanetu, Sisi Ambao Tunajitafuta Ibaada Ya Kiswahili Ndio Inatubariki 😂😂
2
7
33
550
Tajiri hachimbi KABURI Ishi Na Watu Vizuri, PESA HUISHA MAZEE..!!
1
1
1
17
Mkarasinga wa Cuba retweeted
I hope God comes through for me soon. I am almost giving up 🥲
6
7
96
940
Mkarasinga wa Cuba retweeted
"Hatimaye, kila kitu kitakaa mahala pake, muda wake ukifika." ~Togolani Mavura.
5
31
96
1,921
Mkarasinga wa Cuba retweeted
Tunapambana sana kwenye maisha ambayo yanaweza kuisha dakika moja, Mungu atupe Mwisho Mwema🙏
32
110
6
594
12,314
Mkarasinga wa Cuba retweeted
Ukiwa unatoka Town Mwanza, unaona Capripoint imeingia ziwani, pembeni unaona Saanane Island. Hii nchi ingekua ya "mzungu" watu wangesafiri sana kuiona. Mnaenda Greece kuangalia majengo ya milimani.
23
29
3
393
14,449
Mkarasinga wa Cuba retweeted
Hakuna siku mbaya kabisa kwa mtu mwenye sababu za kuendelea kupambana. Tukapambane tena leo wanangu
17
42
3
78
1,846
Mkarasinga wa Cuba retweeted
Tatizo siyo kuamini Mungu au kutokuamini ila tatizo ni kuishi bila maarifa, nidhamu, mipango na uwezo wa kutengeneza thamani kwenye maisha yako 🤔 .
1
14
15
162
Mkarasinga wa Cuba retweeted
Success is not like salt you sprinkle on vegetables it doesn't appear instantly. Success doesn't come fast. It is a long journey that requires patience, effort, and clear goals. Keep working, and you will eventually see the light of achievement.
29
63
1
137
7,778
Mkarasinga wa Cuba retweeted
Sisi ndio wale ambao tumezaliwa kuchagua kitu kidogo ili tusiwaumize watu wenye tamaa na vikubwa. Good morning X familia.
21
32
45
563
Mkarasinga wa Cuba retweeted
The goal is to live more than surviving. Work smart,you work for money a little then you make money work for you. It's easier say than done. Good morning fam.
88
106
1
157
1,333
Good morning familia. ❤
11
16
26
445
Mkarasinga wa Cuba retweeted
Ni siku nyingine ya kumshukuru Mungu kwa zawadi hii ya uhai. Mungu pekee ndio anayejibu maombi. Good morning wasakatonge wenzangu
14
20
33
554
Usipime Thamani ya unachotoa KwaKile watachokurudishia.Usifanye Kosa hili,Vinginevyo Utajihisi hauna Thamani Tenda Wema Nenda zako,Usibebe Deni la Shukrani kwenye Moyo wako.Wema unaoufanya unaonesha wew ni Mtu wa namna gani;Mwitikio wa wengine unaonesha wao ni Watu wa namna gani
3
13
13
247
Mkarasinga wa Cuba retweeted
Lengo letu humu ndani ni kupata followers tuu Emu leteni handle zenu mimi na followers wangu tuwafollow 💪👇
6
5
9
180
Mkarasinga wa Cuba retweeted
Rais Évariste Ndayishimiye wa Burundi alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) mwezi Februari 2026 katika mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa AU uliofanyika Addis Ababa, Ethiopia, tarehe 14–15 Februari na atakuwa madarakani hadi February 2027 Mwenyekiti wa AU hachaguliwi kwasababu taifa lake ni bora au lina uchumi mkubwa. Évariste hakuchaguliwa kwa sababu Burundi ni “nchi bora Afrika” ila ni kupitia utaratibu wa uwakilishi wa kanda na mashauriano ya viongozi wa nchi wanachama Burundi inawakilisha Central Africa (Afrika ya Kati) yenye nchi 9: Burundi, Cameroon, Central African Republic (CAR), Chad, Congo-Brazzaville, DRC, Equatorial Guinea, Gabon na São Tomé & Príncipe Kazi ya Mwenyekiti ni kuongoza mikutano ya Wakuu wa Nchi na Serikali ya AU, kuwakilisha Umoja katika ngazi ya juu na kuratibu ajenda za viongozi. Na maamuzi makuu hufanywa na Assembly kwa pamoja sio Mwenyekiti peke yake SAFU YA UONGOZI WA AU 2026 🇧🇮 Mwenyekiti: Évariste Ndayishimiye — Burundi 🇬🇭 Makamu wa Kwanza: John Dramani Mahama — Ghana 🇹🇿 Makamu wa Pili: Samia Suluhu Hassan — Tanzania 🇦🇴Uhariri (Rapporteur): Angola Uenyekiti wa AU sio mashindano ya kuchagua Rais bora wa Afrika ila kuna mambo mengi yakimkakati
Ila AFRIKA eti rais wa Burundi ndo Mwenyekiti wa Umoja wa AFRIKA. Hili Bara ni Takataka sana😂
6
7
26
1,870