Jenerali Mkurugenzi wa Vyama mbali mbali (@Kidevu_) header
Jenerali Mkurugenzi wa Vyama mbali mbali (@Kidevu_) profile picture

Uwende Lipwela.......

Kipengere-Njombe, Tanzania
Joined March 2021
“when you are discussing difficulties or failures, I hope that you will be prepared to go to the root of the matter, if necessary.” Mwl. JKN
1
2
1
11
2,131
Tumegoma kuingia kati, tumeegemea ukuta. Lakini tunalalamika "Pamepoa", tunataka acheze nani? Uhalisia ni kuwa Club iliyopo ndio hii, hakuna Nyingine.
1
25
Wiki nzima umeandika mistari miwili.....
1
1
48
Mambo gani haya
Operation Nyundo II The Tanzanian 🇹🇿 TZQRF @jwtztaarifa under @MONUSCO Force Intervention Brigade the Post 2025 Sequel in North Kivu The Ladies are manning the 50 cal , Cool. Nice Guns ! #FreeCongo
5
3,337
Huyu bwana angeweza Kujiweka sura yake Kwenye Vyombo vya Chakula vya wananchi angeweka. Hovyo.......
1
1
2
375
Peleka Unafki huko......
Statement from the British High Commission, Dar es Salaam
1
1
1
153
Kwa hesabu za kwenye Biblia hii gari haikuwa na watu.
Video inayosambaa mitandaoni imeibua mshangao baada ya askari wa Polisi kuonekana akiwashusha abiria 27 waliokuwa wamejazana ndani ya gari aina ya Toyota Spacio, lenye namba za usajili Z 844 AAU. Tukio hilo limetokea Zanzibar, ambapo gari hilo lenye uwezo wa kubeba abiria wasiozidi saba lilikutwa likiwa na watu 27, hali iliyozua mshangao kutokana na wingi wa watu waliokuwa ndani yake. Video hiyo imeendelea kusambaa mitandaoni na kuzua gumzo miongoni mwa watumiaji wa mitandao ya kijamii. Hata hivyo, sababu za kusafirishwa kwa abiria hao kwa idadi hiyo na mazingira kamili ya tukio bado hazijafahamika. #EastAfricaTv #TogetherTunawakilisha
32
S-400, wanatarajia kupigana na nani hawa?
Our comprehensive efforts to sustainably ensure our country's peace and security have reached a new milestone today. The state of readiness being built within Ethiopia's defense forces is endowing the nation with the capability to preemptively deter aggression. In accordance with our prior agreement with the Russian government, we have today taken delivery of the first twelve Su-35 4++ Generation fighter jets. Additionally, Ethiopia will receive four S-400 air defense system batteries. I would like to express my gratitude to my friend, Russian President Vladimir Putin, for his dedication in ensuring we received these warplanes a year ahead of our agreed schedule. By equipping itself with these fighter jets, Ethiopia has taken the lead among Sub-Saharan African nations. This historic achievement further strengthens our nation's sovereignty, and it will serve as a massive capability boost that allows us to confidently continue our journey toward ensuring our collective security and regional stability in the future.
25
5
69
5,181
Jenerali Mkurugenzi wa Vyama mbali mbali retweeted
Journal of Environmental Engineering, Vol. 152 No. 12, December 2026 is now available online! ascelibrary.org/toc/joeedu/1…
3
3
53
Habari moto moto......
Tanzania’s Vice-President, Deogratius John Ndejembi, traded the formalities of office for some court action in Sumbawanga on Wednesday, October 14, 2026, taking to the basketball court shortly before the launch of the Rukwa Region Basketball League. instagram.com/p/DegR91LmCD8/…
70
Kwanini mtu aseme yeye yatima?
HESLB yatafuta muarobaini wanaojifanya yatima, walemavu kwa ajili ya mikopo Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu imedhamiria kutafuta suluhu juu ya usahihi wa taarifa kwa kushirikiana na taasisi zingine ili kuimarisha huduma yake ya utoaji mikopo. "Wengine wanasema yatima lakini siyo yatima, sasa hizi ni changamoto ambazo tunakumbana nazo. Lakini tukishirikiana wala hatuhitaji yeye atumbie. Sisi tutakuwa tunajua na hiyo itatupelekea kuboresha mifumo yetu na kumfanya kijana asihangaike sana, na vile vile kutoa huduma bora kwa wakati," ameeleza Bill Kiwia, Mkurugenzi Mtendaji wa bodi hiyo. Kiwia alikuwa akizungumza katika kikao kazi kati ya viongozi na watumishi kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi Elimu ya juu HESLB na Wadhibiti Ubora wa Shule.
1
1
80
😂😂 huyu atakuwa Bubu milele.
This dog thought everyone has a job.
43
Wiki ijayo nipo chato hapo tutete Kidogo Mzee. Umetuponza, ilishindikana kukaza? Kuwawahi? Jiandae na majibu kamili.
Nimesikitishwa na kifo cha Prof. Benno Ndulu (Ex-Governor BOT). Pole kwa familia na wafiwa wote. Nitamkumbuka kwa ushauri wake wa kuimarisha uchumi wa nchi yetu hususani mageuzi ktk sekta ya fedha. Alikuwa mchapakazi na mnyenyekevu. Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi,Amina
1
1
55
Kama hii ilikua ni mara yake ya Kwanza, basi haitokua ya mwisho.
A female passenger's account of an alleged assault by a Bolt motorcycle driver in Dar es Salaam has raised fresh concerns about women's safety when using ride-hailing services.
2
80
Mwanzo nilijua ni ragebait, lakini sio . We dogo una matatizo. Kila dakika Kenya hivi, Kizungu vile...... "Waziri wa Mambo ya kenya na Kingereza"
This quoted post is unavailable.
39
Hongera sana, wewe umeiwakilisha MPLA sio?
It’s a wrap! Delighted to complete the leadership training at the Mwalimu Julius Nyerere Leadership School alongside cadres from six sister parties: CCM 🇹🇿, FRELIMO 🇲🇿, SWAPO 🇳🇦, MPLA 🇦🇴, ZANU-PF 🇿🇼 and ANC 🇿🇦. A great experience of learning, unity and shared purpose.
1
1
1
131
Changing my name to "Jenerali Mkurugenzi wa Vyama mbalimbali"
#Masisi : les Wazalendo présentent plusieurs combattants de la coalition rebelle AFC-M23-RDF capturés au combat ainsi qu’une importante cargaison d’armes Vidéo ⤵️
1
2
130
Huyu Hamis Mwinjuma kutwa yupo "Disco" au busy na "unaibu", huwa anaenda kuwaskiliza wananchi wake Jimboni kweli?
1
2
44
Siasa za Njombe si sawa na siasa za Dar es salaam. Wala Siasa za Bukoba si sawa na siasa za Mtwara.
Siasa za Zanzibar si siasa za Tanganyika. Zanzibar ina historia yake, mazingira yake ya kisiasa, taasisi zake na masuala yake mahsusi. Kuelewa siasa za Zanzibar kunahitaji kuielewa Zanzibar kwa misingi ya historia, Katiba na uhalisia wake, si kuipima kwa mizani ya siasa za Tanzania Bara. Hoja, kejeli na matusi yote nayakaribisha!
1
93