. (@Krichki86) profile picture
Joined July 2014
Photo by . (@Krichki86)Photo by . (@Krichki86)Photo by . (@Krichki86)Photo by . (@Krichki86)Photo by . (@Krichki86)Photo by . (@Krichki86)Photo by . (@Krichki86)Photo by . (@Krichki86)Photo by . (@Krichki86)Photo by . (@Krichki86)
Hata kususa tunashindwa? Hapana - ni rahisi! We can do this! Susia bidhaa za madhulmat wanaonufaika na mauaji halaiki na wanatafuna nchi na Samia Suluhu! Si lazima utangaze - susa na shauri wengine watumie bidhaa mbadala! #ChangeTanzania
30
1
49
1,976
WAMEMCHELEWESHA KWA KESSI YAKIJINGA , KIMSINGI LISSU ALIWASHINDA CCM KWENYE HIYO KESI YA MCHONGO (UHAINI) MMEMPOTEZEA MUDA NA BADO MNAMFANYIA MAMBO YAKIPUUZI HIVI MNATUCHUKULIAJE!!!??
1
10
2
51
909
JINSI YA KUTAMBUA UPUMBAVU WA MTU: Namna PEKEE ya kutambua UPUMBAVU WA MTU, ni kumpa nafasi AONGEE 👇
25
45
2
212
5,315
Mpaka TRAFIC walipewa BUNDUKI zenye risasi na kuingia mitaani kuwinda wananchi waliokuwa majumbani na kuwapiga RISASI ZA VICHWA. Hili hatutasahau.
14
136
1
918
11,622
‼️JAJI MKUU WA 🇹🇿 MASAJU AMEPANGA KUWAPA UWAKILI MAOFISA WA POLISI NA KADA WA CCM‼️ Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju amepanga kuwapa Uwakili vibaraka na chawa wa Nduli Idd Amin Mama kama mnavoona kwenye hii list niliyoweka hapa chini. Watu hao ni pamoja na Kada wa CCM Ally Hapi na wengine ni maofisa wa Polisi mmoja anaitwa Ahmad Makele na mwingine ni Paul Ngonyani hawa ni miongoni mwa maPolisi walioshiriki kuuwa Watanganyika siku ya Oktoba 29, 2025. Hawa wote kwenye list hii hawajawai hata kuthubutu kukanyaga geti la Law school maana wanajua hawana uwezo wa kufaulu sasa Jaji Mkuu Masaju kwa kutumia mamlaka yake na uchawa uliomjaa, anakusudia kuwapa hawa watu Uwakili ili kumfurahisha Nduli Idd Amin Mama. Ikumbukwe ni juzi tu Jaji Mkuu akiwa kwenye mkutano na Viongozi wa dini aliongea utumbo kuhusu Hukumu ya Mhe. Lissu kwamba hatutakiwi kuhoji wala kujadili Hukumu hiyo licha ya kwamba hata yeye anajua ni Hukumu ya hovyo kuwahi kutokea katika historia ya nchi yetu, huu ni mwendelezo wa mambo ya hovyo ambayo yanafanywa na Jaji Mkuu ili kumfurahisha Nduli Idd Amin Mama. Nchi yetu imekuwa ya hovyo sana maana kwasasa Tanzania hakuna Serikali, hakuna Bunge na Hakuna Mahakama so tunatakiwa kupambana sana tuikomboe nchi yetu kutoka kwenye mikono ya wauaji.
24
109
2
442
39,631
Mwili wa Angel umefikishwa nyumbani kwao, Mungu awatie nguvu Wazazi wake maana maumivu ambayo wanapitia Mungu pekee ndo anaweza kuelewa.🙏💔
9
106
1
632
16,875
Leo ni siku ya 30 tangu Twaha Mwaipaya alipotekwa mpaka sasa hatujui watekaji wamempeleka wapi, tuendelee kumpazia sauti. #FreeTwahaMwaipaya
7
125
4
408
7,797
Replying to @SuluhuSamia
@SuluhuSamia SAHAU WATANGANYIKA KUKUELEWA.. Wewe ni Rais HARAMU
2
20
1
117
1,274
Samia Suluhu’s selfie this weekend has great these memes as Gen Z 🇹🇿 Tz remind her that she is CULPRIT numero UNO of #TanzaniaMassacre and that she can”t kill us and lead us! #SamiaMustGo
9
105
3
378
18,971
Sababu za kujitenga na wanaCCM ni nyingi sana tusiengelee kutumika kwa kutumia bidhaa zao
1
26
69
2,156
Hakuna wa kuja kutuokoa Si Lissu, si Mange, si mimi si mwanaharakati yoyote! Si Marekani, EU, nchi yoyote Si UN, ICC ama shirika yoyote You get the government you deserve! Ukikubali kudharauliwa, kukandamizwa na kikundi kidogo na kuogopa kuRESIST - basi utaishi ktk dhulma Ndo ukweli mchungu #TutaelewanaTu
29
233
8
966
74,782
Not my President, NEVER
13
46
1
288
8,213
May we not forget that Twaha Mwaipaya is still missing. #FreeTwahaMwaipaya #EndAbductionsEA
3
52
3
105
2,648
School Motto: “Education for liberation.” Huwa tunaelewa kweli uzito wa hii kauli kwenye mbao zetu za shule? Nini haswa tafsiri yake? Ukombozi wa nani, dhidi ya nani au nini, na kwa namna gani? Je, yanayofanywa ndani ya shule zenye hii kaulimbiu yanaakisi kaulimbiu yenyewe? Tunajuaje pia kama kweli tume/tunakombolewa? Mje tupige soga pale kwenye #EduTalkTzPodcast , tutazungumza sana hizi falsafa na uhalisia wa utekelezaji wake.
2
6
60
1,321
Kama wewe ulipigwa risasi Oktoba 29, 2025 bado unajeraha na unahitaji kutibiwa please! please!.. usiende kutibiwa kwenye Hospital yoyote ya Serikali maana Nduli Idd Amin Mama ameanza kuuwa mashahidi.💔
14
161
2
1,189
33,613
Masaju unaongoza vipi Maombi ukiwa unaongoza mahakama ambayo imepiga kabari na Abdul ? Ile kesi ya Tundu Lissu aliyoandika Kabudi na Ndunguru ni ya kutoka kwa mtu anayemjua Mungu? Fanyakazi yako vizuri kwanza ndio uje na sanaa za maombi, umeleta laana mbaya sana kwa mahakama na Taifa #ChangeTanzania
23
37
2
134
7,796
Kwa nini Tunaandamana?
77
1
214
6,772
Replying to @Europarl_EN
@Europarl_EN @UNHumanRights @commonwealthsec @tedcruz @SenatorShaheen @SenateForeign @SFRCdems Samia Suluhu has begun eliminating key witnesses to the October 29 atrocities, individuals who could testify against her in the future. An independent investigation must be launched to establish exactly what happened to this witness at Muhimbili National Hospital. The circumstances surrounding this case demand urgent scrutiny and accountability.
36
339
4
1,440
39,441