Pinned Tweet
Baadhi ya nyimbo nilizoimba, nilizoshirikishwa, Nilizotunga na nilizoshiriki kutunga. Kuanzia mwaka 2004 hadi leo mwaka 2019.
Safari bado inaendelea 😊.
Ndomaana tunapigwa hamna wachezaji hapa.
244
Lameck Ditto retweeted
I asked the most powerful AI right now (Mythos 5.2) for its unfiltered advice to an African for the next 10 years.
Let’s just say it didn’t hold back.
Viongozi wengi wa dunia ya leo ni dhaifu, waoga na wabinafsi. Wengi Wanashindwa kufanya maamuzi magumu kwa kuhofia political correctness. Check Bukele anavyowashughulikia hawa wahuni. Haiti ingetulia 100% kama UN isingecheza makida makida miaka yote waliyokaa hapo.
Haitianos tomando las calles y limpiando su ciudad después de que el presidente Bukele se deshiciera de las pandillas en la zona
Así es como se ve el derecho humano @amnesty
Los humanos tienen derecho a vivir en un país donde las pandillas no controlen la disponibilidad o la falta de libertades civiles
157
Wapopo wameanza kujipanga na shows za AFCON 2027. Wapo very strategically hawa jamaa. Tegemea magoma yatakayotarget audience ya EA soon. Safiii 🔥
3
181
Lameck Ditto retweeted
Michael Carrick sacked by MUFC.
Top lad, got the team in the Champions League against expectations. Gave it his all, night and day. Protected others, never threw anyone under a bus. Worked in difficult circumstances. Leaves with head held high. I wish him and his staff the very best.
Kuna siku mtaelewa kama shida ya Man U siyo Makocha. 🚮
🚨 EXCLUSIVE: Manchester United finalising deal to appoint Mauricio Pochettino if ultimate decision made to replace Michael Carrick. 54yo lined up & terms being done with camp. #MUFC yet to contact US but straight-forward should plan proceed @TheAthleticFC nytimes.com/athletic/7767421…
263
Matobo kibao, Kilichotuokoa Villa hawana ubora wa Madrid, Como au Barcelona tungekula nyingi zaidi.
1
262
Ustawi wa Jamii ilipaswa kuingilia kati na kuwaondoa watoto hawa kwenye mazingira ya ukatili. Tunahitaji project maalumu “USTAWI” yenye vituo vya malezi, shule za msingi na sekondari, pamoja na mfumo wa kuwaunganisha watoto na familia za kuwalea au kuwa-adopt.
Huyu Dogo kwenye Hii video alijitambulisha kama Ally, Lakini jina lake inaonekana anaiwa Imma.
Hizi video ni kutoka katika Ukurasa wa Mhandisi Nyingi, Jamaa content zake huwa anachimba nini kimewakuta watoto wa Mtaani mbeya mpaka wakaamua kuishi maisha hayo.
So Baada ya Video hii kusambaa, Wazazi wa Dogo kutoka Makambako wakaamua kutimba Mbeya,Kisha kumpata Muhandisi awaonyeshe Dogo yuko Wapi.
Video 2 👇
2
299
Lameck Ditto retweeted
Gimme three months and his golf buddies in Florida wouldn’t even vote for him.
I’ll smoke him by 7. Bet on it.
🚨BREAKING: Republicans' odds to flipping the Michigan US Senate seat JUMP OVERNIGHT.
Michigan - 2026 US Senate
🟥Mike Rogers 44.3% (+3.7)
🟦Abdul El-Sayed 40.6%
Polling average via Pollsmax.com.
Abdul El-Sayed has become the Democratic frontrunner, and compared to his primary opponents—Mallory McMorrow and Haley Stevens—he performs by far the worst against Mike Rogers.
If El-Sayed ends up being the nominee, Republicans will be the heavy favorites to flip Michigan's US Senate seat later this year.
Lameck Ditto retweeted
AFCON inatazamwa zaidi na Waafrika, ambao 'hawana pesa za kutalii'. Kumwaga pesa nyingi kutangaza utalii sidhani kama ina athari chanya kubwa.
Morocco walipata watu wengi waliokuja AFCON kwa sababu ya UKARIBU na Ulaya na pia watu wao wanaoishi Ulaya na Uarabuni ni wengi, gharama za usafiri ni ndogo, muda unaotumia angani pia ni mdogo.
Afrika Mashariki tuna aina yetu ya watalii. Na idadi sio kubwa.
Ngumu mno kwa Tanzania, Kenya na Uganda kupata watalii wengi kupitia AFCON. Wageni wengi watakaokuja kwa ajili ya AFCON ni waandishi, viongozi wa timu na ndugu wa karibu wa wachezaji. Hawa namba yao ni ya kawaida. Ndio maana AFCON viwanja vinakuwa tupu.


























