Pinned Tweet
Rest in peace my mom, nakupa salamu
Huku maisha kidogo matamu nakula vitamu
Miss you mom, miss you mom
BODA2BODA
#JohanviaExpress
Sirari || Tunduma
Nina habari njema kuhusu hi kampuni, milango inazidi kufunguka 🙏🏻
Akitoka kwenye Volvo anahamia BENZ anataka pale road ya nyerere road amiliki zile kampuni zote za MAGARI SCANIA+MAN+ VOLVO+BENZ .
principle technician retweeted
Mwagenu reposts hapa basi wajameni☺️❤️ nitter.cf/sincerelyrahma7/status…
⚽ TOPOGRAPHIC SURVEY | FOOTBALL PITCH
Uwanja bora wa mpira huanza na maandalizi sahihi ya eneo!
Kupitia huduma zetu za Topographic Survey, tunafanya:
▪️ Upimaji wa eneo la uwanja.
▪️ Design na upangaji wa viwango (Levels).
▪️ Setting Out na kuweka levels kwenye ground.
▪️ Kuweka mwelekeo sahihi wa mteremko ili kusaidia maji ya mvua kutoka vizuri na kuzuia kutuama uwanjani.
Unapanga kujenga au kuboresha uwanja wa mpira? GEOTRAVERSE tunakupa huduma za kitaalamu kuanzia upimaji hadi utekelezaji.
📍 Dodoma, Barabara ya Tisa.
📞 0719 336 667 | 0763 782 274
X: @Geo_Traverse | @GeoConstructors
#GeoTraverse #GeoConstructors #TopographicSurvey #LandSurveying #FootballPitch
SIO MEME HII.
Bro to Bro
Usijenge uhusiano wowote hata urafiki tu na mwanamke ambaye hana kazi wala shughuli yoyote ya kumwingizia kipato.
#Usithubutu
principle technician retweeted
Good morning 🌅, it's a beautiful day ♥️🌅
Today We pray against Wasted Efforts 🙏




















