Pinned Tweet
You must find the courage to leave the table if respect is no longer served. Know your worth and protect it.
The Zinja retweeted
Tumshukuru Mungu kwa kuiona leo
Mungu akutie nguvu kuyashinda magumu yote
Unayo pambana nayo mwenyewe hata bila ya Kuwashirikisha watu
#AsanteMungu
The Zinja retweeted
Ulimwengu wa sasa unakupa nafasi ya kila kitu..
Kupata mchumba ni rahisi.
Kupata fedha za haraka ni rahisi.
Kuwa chawa/tapeli/mwizi ni rahisi.
Ila haita kugarantee Amani na utulivu wa ndani,Hivi vinapatikana kwa mchakato halisi/uvumilivu na muda.
SELF DISCIPLINE is everything
The Zinja retweeted
What's your relationship status now ?
1) Single
2) in Relationship
3) Married
4) kuch toh hai,lekin pata nahi
5) apna kya lena dena
Comment down 👇 👇
The Zinja retweeted
Ni siku nyingine ya kupambania ndoto zetu...tufanye kazi na kuomba mungu umaskini mbaya sanaa, tusiache kuwaconnect na wengine mishe zinapoboom..morning fam
The Zinja retweeted
🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰
👉 Size S,M,L,Xl,& XXL
👉Bei 25,000/=
Wa.me/+255717251747
Au 0713800448
📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
The Zinja retweeted
Wakuu biashara siyo mchezo.
Kuna vita inaweza anzishwa ili kuua biashara yako wao wabaki kwenye market.
Mbaya zaidi unaweza uawa. Biashara haitaki unyonge.
Biashara ni vita hakikisha unakuwa mshindi.
The Zinja retweeted
Pressure cooker inapika ugali, wali, mboga mboga, kande, nyama, maharage..n.k
Tsh 120,000
Sufuria mbili Lita 6
0755693113
📍 Riverside karibu na Micasa, Mikoa yote tunatuma




























