William's Daughter ⚘️ (@WildRabbit90) header
William's Daughter ⚘️ (@WildRabbit90) profile picture

Mungu ni muweza wa Yote .

Joined January 2023
Photo by William's Daughter ⚘️ (@WildRabbit90)Photo by William's Daughter ⚘️ (@WildRabbit90)Photo by William's Daughter ⚘️ (@WildRabbit90)Photo by William's Daughter ⚘️ (@WildRabbit90)Photo by William's Daughter ⚘️ (@WildRabbit90)Photo by William's Daughter ⚘️ (@WildRabbit90)Photo by William's Daughter ⚘️ (@WildRabbit90)Photo by William's Daughter ⚘️ (@WildRabbit90)Photo by William's Daughter ⚘️ (@WildRabbit90)Photo by William's Daughter ⚘️ (@WildRabbit90)
Mwambie mwanao waliomtia Yusufu kisimani ni ndugu zake wa Damu, Na waliomuokoa ni wapita njia✍️🏾🙏
24
179
3
310
23,327
William's Daughter ⚘️ retweeted
Epuka kusajili wachezaji ambao bado wana mkataba na timu zao! Nielewe vizuri hapo🫵🏽
6
11
19
282
William's Daughter ⚘️ retweeted
Kama Mpenzi Wako Wa Zamani (Ex) Wako Akiwasiliana Nawe, Jua Tu Kuna Mambo Mawili: 1. Anataka Kuona Kama Bado Wewe Ni Mjinga 2. Anahitaji "Msaada" Fulani Soma Tena 👊👊
6
13
17
315
Trust the process 👌
1
1
39
William's Daughter ⚘️ retweeted
🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰 👉 Size S,M,L,Xl,& XXL 👉Bei 25,000/= Wa.me/+255717251747 Au 0713800448 📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
5
44
1
43
287
William's Daughter ⚘️ retweeted
Popote usomapo hii Ndugu, Nakutakia siku njema iliyojaa mafanikio kwa ajili yako na familia yako. Ikawe ni mwanzo mzuri wa mambo mazuri mbele yako. Good morning🙏
9
12
10
137
William's Daughter ⚘️ retweeted
Kuamshwa na busu inategemea wewe ni nani una nini na una tabia gani vinginevyo sio hata kutingishwa ni huamshwi kabisa 😂😂😂
Unaamshwa na busu kwenye paji la uso au unatingishwa kama kopo la dawa?
1
1
2
81
William's Daughter ⚘️ retweeted
Asante Mungu kwa kuniamsha salama naomba unitangulie kwenye kila kitu nitakacho kwenda kukifanya leo kikapate baraka zako, Amina 🙏 Kumekucha watu wa Mungu 🌄 Good morning X family 👋
27
34
37
403
William's Daughter ⚘️ retweeted
Good morning haters of the regime
39
55
83
756
William's Daughter ⚘️ retweeted
Good morning people Tumeamka salama kwa makusudi sio bahati mbaya. Wiki hii tunaenda kufanikiwa bila kikwazo chochote. Mungu yupo upande wende wetu hatuna cha kuhofia. Ikawe wiki ya baraka kwetu 🙏
10
14
16
322
William's Daughter ⚘️ retweeted
Zaburi 119 9 Jinsi gani kijana aisafishe njia yake? Kwa kutii, akilifuata neno lako. GOOD MORNING
19
26
32
259
William's Daughter ⚘️ retweeted
Tunaishi kwenye dunia ambayo ukikosa unatengwa, ukipata unapendwa na ukiwazidi unachukiwa hii inafikirisha sana Good morning X Family
26
30
36
312
William's Daughter ⚘️ retweeted
Bro To Bro 👊👊
18
35
1
57
722
Dear Lord Give Us Strength To Overcome 🙏
15
25
43
464
William's Daughter ⚘️ retweeted
That theory of a woman being created from the rib of a man is proved in real life. When you really love someone and she decides to leave you,she leaves with the part of you,you will never be the same again,I know majority have experienced this,and felt it. Good morning fam.
86
92
3
118
1,236
William's Daughter ⚘️ retweeted
Mungu, sina hata maneno sahihi ya kueleza ninachopitia. Ninachohitaji tu ni Wewe kuingilia maisha yangu na kurekebisha yale yote ambayo mimi mwenyewe siwezi kuyarekebisha. Good morning X familia.
19
27
32
392
William's Daughter ⚘️ retweeted
Mmeamka salamA? Naomba RT🙏 Electric kettle, 2.5L Tsh 30,000 0755693113 📍 Riverside karibu na Micasa, Mikoa yote tunatuma.
8
51
1
50
668
William's Daughter ⚘️ retweeted
Hello Dears♥️ Mungu ametubariki na week nyingine tumshukuru🙏 Iwe week ya baraka kwako milango ya heri iwe wazi mbele yako katika kila hatua unayopiga kuyaendea mema yako Zaidi sana Mungu akulinde dhidi ya waovu na wakatili waliopo duniani asiwepo wa kupatwa na mabaya🙏♥️
34
35
44
479
William's Daughter ⚘️ retweeted
Baraka ya kwanza ni kuamka Salama, Ahsante Jehovah zawadi ya Uhai. Good morning to everybody.
14
16
21
126
William's Daughter ⚘️ retweeted
Good Morning Ladies and Gentlemen Faith doesn't exempt you from problems or gives you answers right away. It gives you the strength to get through them
17
21
23
141
Baraka ya kwanza ni kuamka Salama, Ahsante Jehovah zawadi ya Uhai. Good morning to everybody.
14
16
21
126