Cipher retweeted
𝑰𝑫 𝑫𝒆𝒔𝒊𝒏𝒊𝒏𝒈 𝑨𝒏𝒅 𝑷𝒓𝒊𝒏𝒕𝒊𝒏𝒈 🀄️
Complete ID Desining And Printing ✅
Event ID 10,000/=
ID za maofisini 10,000/=
ID Na kamba ikiwa Printed 12,000/=
Oda kuanzia ID 5
☎️ 0769063447
Sinza Makaburini 📍
Cipher retweeted
Ukiwa tajiri kuwa masikin ni kutaka ..
Ila ukiwa Masikin kuendelea kuwa Masikini ni sheria.
Wala sio haki wewe Masikin kuwa Tajiri..
Good morning X family...
Popote usomapo hii Ndugu, Nakutakia siku njema iliyojaa mafanikio kwa ajili yako na familia yako. Ikawe ni mwanzo mzuri wa mambo mazuri mbele yako.
Good morning🙏
Cipher retweeted
Usiruhusu mambo yaliyo nje ya uwezo wako yawe sababu ya kupoteza kile ulichonacho tayari.
Good morning watu wa Mungu ✨️
Cipher retweeted
Usikubali aibu ikunyime kipato. Kazi halali haipotezi thamani kwa Sababu watu fulani wanaidharau..!
Cipher retweeted
Good Morning Ladies and Gentlemen
Faith doesn't exempt you from problems or gives you answers right away. It gives you the strength to get through them
Cipher retweeted
Tunaishi kwenye dunia ambayo ukikosa unatengwa, ukipata unapendwa na ukiwazidi unachukiwa hii inafikirisha sana
Good morning X Family
Cipher retweeted
Ukipata nafasi ya kusali sali sanaa ombea shughuli zako za kujipatia kipato vita ya umasikini haijawahi kuwa nyepesi...👏🇹🇿
Good morning familia.
Cipher retweeted
Hello Dears♥️ Mungu ametubariki na week nyingine tumshukuru🙏 Iwe week ya baraka kwako milango ya heri iwe wazi mbele yako katika kila hatua unayopiga kuyaendea mema yako Zaidi sana Mungu akulinde dhidi ya waovu na wakatili waliopo duniani asiwepo wa kupatwa na mabaya🙏♥️
Cipher retweeted
"Usihesabu ngapi ulipoteza au ulifeli mara ngapi.
Hesabu uwezo uliobaki nao wa kuanza upya kwa nguvu.
Mshindani wa kweli hafi kwa kuanguka chini,
anakufa kwa kukataa kusimama tena."
Good Morning Everyone 🌄🌄🌞
Cipher retweeted
Kushindwa kufanikisha jambo Fulani kusikurudishe nyuma kwenye kupambania ndoto zako bali iwe chachu ya kuongeza mapambano.
Good morning family.
Cipher retweeted
🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰
👉 Size S,M,L,Xl,& XXL
👉Bei 25,000/=
Wa.me/+255717251747
Au 0713800448
📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
Cipher retweeted
💻 HP AMD ALL-IN-ONE DESKTOP — 22”
🖥️ DISPLAY: 22-INCH LARGE SCREEN
⚙️ PROCESSOR: AMD GX-215JJ @ 1.5GHz, DUAL-CORE
🧠 RAM: 4GB
💾 STORAGE: 128GB SSD — FAST BOOT-UP AND QUICK FILE ACCESS
🎨 GRAPHICS: AMD RADEON R2
⌨️🖱️ ACCESSORIES: KEYBOARD & MOUSE
💻 DESIGN: ALL-IN-ONE — COMPUTER NA SCREEN KATIKA KIFAA KIMOJA, INAOKOA NAFASI YA MEZA.
✅ MICROSOFT WORD, EXCEL & POWERPOINT
✅ OFFICE AND BUSINESS WORK
✅ INTERNET BROWSING
✅ ONLINE CLASSES & STUDIES
✅ HOME AND EVERYDAY COMPUTER USE
✅ BASIC BUSINESS APPLICATIONS
*ZOEZI 500,000*
Contact 0785003692
Link wa.me/c/255785003692
Location:Kariakoo mitaa ya Agrey/msimbaziiii
AVAILABLE🔥🔥✅
@all
REPOST PLEASE 🙏

























