rashid mkush🇹🇿🇹📞🎯 retweeted
Wadau nyie nendeni tu kanisani; kuna sisi wazima-moto, tunaosubiria kutubu siku ya kufa... Kama yule Muungwana wa kwenye Luka 23:42-43 aliyeenda Paradiso na Yesu.
rashid mkush🇹🇿🇹📞🎯 retweeted
Hii Dunia Ina Watu Wabinafsi Sana Mtu Unamuomba Hela ya Kula Anakunyima Hapo Hapo Anamlipia Mtoto wake Ada Million Tatu kwa mwaka.....🚮🚮🚮
rashid mkush🇹🇿🇹📞🎯 retweeted
Maisha ni haya haya, unatoka nyumbani hai kwenda kazini, Unarudishwa ukiwa mfu.
Mungu atupe mwisho mwema | Good Morning Familia 🙏
rashid mkush🇹🇿🇹📞🎯 retweeted
Chako pekee yako ni kaburi sababu utazikwa pekee yako ila vinginevyo ni vya wote chako ukiwa nacho muda huo kikiwa mbali chabwote.
Chako pekee yako ni kaburi sababu utazikwa pekee yako ila vinginevyo ni vya wote chako ukiwa nacho muda huo kikiwa mbali chabwote.
rashid mkush🇹🇿🇹📞🎯 retweeted
“Siwaombi Majaji chochote!mtakachoamua, msiamue kwa huruma. Muamue yote kwa haki na kwa mujibu wa viapo vyenu. Msinihurumie na sihitaji huruma yenu nahitaji muamue kwa haki.”
Tundu Antipas Lissu
11 Septemba 2025
Mahakama Kuu D’Salaam
rashid mkush🇹🇿🇹📞🎯 retweeted
DUNIA INAHITAJI UPONYAJI DUNIA IMEKOSA MUELEKEO DUNIA HAITENDI HAKI TENA, MUNGU TUREHEMU SISI NI WAJA WAKO HATUJUI TUTENDALO TUNAOMBA UTURUDISHE KWENYE MISINGI YAKO AMEN.
DUNIA INAHITAJI UPONYAJI DUNIA IMEKOSA MUELEKEO DUNIA HAITENDI HAKI TENA, MUNGU TUREHEMU SISI NI WAJA WAKO HATUJUI TUTENDALO TUNAOMBA UTURUDISHE KWENYE MISINGI YAKO AMEN.
rashid mkush🇹🇿🇹📞🎯 retweeted
Muogope na mkatae mtu unayemuomba elf kumi anakupatia hakupi mbinu za wewe upateje hizo elf kumi ili siku ingine usimuombe .
Muogope na mkatae mtu unayemuomba elf kumi anakupatia hakupi mbinu za wewe upateje hizo elf kumi ili siku ingine usimuombe .
rashid mkush🇹🇿🇹📞🎯 retweeted
Heri ya Kuzaliwa Mheshimiwa Makamu Mwenyekiti @HecheJohn.
Kwa muda mfupi umeonyesha utulivu wa hali ya Juu na ukomavu katika majukumu yako.
Mungu aendelee Kukulinda na Kukusaidia Kukiongoza chama chetu katika wakati mgumu na wa kihistoria katika siasa za nchi yetu.
Stronger together na kwa pamoja tunaweza.
rashid mkush🇹🇿🇹📞🎯 retweeted
Tunawezaje kuongea AMANI bila HAKI?🤔🤔🤔
Inanikumbusha sana ile principle ya Double Consciousness aliyoisema George Orwell kwenye 1984.
justice delayed is justice denied
In my life nchini kwetu i never seen a very Genius human like @TunduALissu jamaa ana akili yake peke yake. He writes his history in his own way. Leo kuamua kuwazuia mawakili wake na kuanza kujitetea ni pigo kubwa kwa mawakili wa Serikali Washapoteza kesi mpaka hapa.
19
rashid mkush🇹🇿🇹📞🎯 retweeted
Nilipokuwa mtoto kuna wakati nilifikiri wazazi wangu ni wakuda , wakali na wasumbufu , nimekuwa mtu mzima sasa, kila nikifikiri na kutafakari naona kuwa ule niliona ni ukuda na ukali yalikuwa ni malezi ya msingi sana kwangu. Happy Fathers Day .
rashid mkush🇹🇿🇹📞🎯 retweeted
Hii ndo #NoReformsNoElection
Kura ukipiga haihesabiki - basi kaa nayo tu uilinde wachaguane wenyewe 🚮
Asante Baba Askofu Bagonza!
The only means to make your vote count is by staying with it! 😃
Well said Bishop Bagonza! Without reforms it is a waste of time! They will kill, abduct and torture and they have already RIGGED the entire election!
There are no real elections right now! Just a charade! Let them participate on their own! We will not give them legitimacy!
#NoReformsNoElection
















