255GenZ (@MtuAnonymous) header
255GenZ (@MtuAnonymous) profile picture

Young East African 🧠 EA-Community We Ride For Each Other Against Oppression & Corruption. #RESPECT #FreedomOfSpeech

Joined January 2024
Photo by 255GenZ (@MtuAnonymous)
احفظه، قد تحتاجه
8
425
5
3,354
791,472
Sehemu ya pili ya simuliza ya kijana mwenye umri wa miaka 22 aliyepitia mateso makali kwa amri ya samia na kunusurika kuuwaa oktoba 29 hadi sasa anafuatiliwa na wauwaji Party Two, the story of a 22-year-old young man who endured severe torture on Samia's orders, survived an attempt on his life on October 29, and has continued to be hunted by Samia's assassins ever since to make sure that they are cleaning up all the evidence. @elinavaltonen @humanrightstz @UN_HRC @HildaNewton21 @MariaSTsehai @lifeofmshaba @aliciakearns @NoPartialRights @SusannaN2 @EspenBarthEide @Tanzaiite @USAmbTanzania @BBCAfrica @cnni @EliasariaII @CPA_UK @Europarl_EN @IntlCrimCourt
2
40
147
15,744
🚨 HALLANAN MANSIÓN del ExPresidente de Paraguay, Santiago Peña Que se financió con los ahorros que UENO Bank le robó a más de 3 millones de paraguayos. Tenía una pared falsa con un bunker en donde escondía millones de dólares en efectivo. Todo el peso de la ley a ese criminal de la ultra derecha...
383
7,858
277
22,082
1,212,508
"The persecution of an opposition figure is a direct assault on democratic principles." Statement by @EP_ForeignAff chair, @davidmcallister, following the sentencing of Tanzanian opposition leader Tundu Lissu.
 
Read the full statement ➡️ link.europa.eu/HWGG9q
36
168
9
367
22,622
Paraguay's president resigns following a crisis over a bank collapse, leaving millions of customers unable to access their money cnn.it/4Ach622
110
694
112
1,733
368,791
🚨 Ukweli, Haki & Uwajibikaji 😭😭😭
5
110
2
387
14,730
Did the whole world agree to lose it at the same time??? France and Italy are burning, Albania is on day 6+ of clashes, and the list of countries joining in keeps getting longer. 8 countries, 11 seconds, 1 very angry planet. Writer: Julie
3,220
10,380
1,506
25,371
1,366,704
EXCLUSIVE: Zimbabwe’s first lady, Auxillia Mnangagwa facilitates a deal to smuggle $1.2 billion of dirty cash into the country. Undercover reporters capture a conversation where she discusses the use of presidential planes to fly in cash that needs laundering. #GoldMafia
225
2,668
279
4,947
1,354,977
" They had an arrangement with the IEBC and a company to introduce technology from South Korea to manage the next elections. A tender was floated, and the specifications were allegedly tailor-made for that South Korean company" Riggy G speaks the deals between Wicknell Chivayo and IEBC .
8
169
9
595
33,163
“Wicknell Chivayo died with President Ruto’s over KSh1.5 trillion.” — Rigathi Gachagua.
45
One of the great speeches delivered by an African president. I think kama AU ingekuwa coordinated, kila Rais anayezungumza kwenye jukwaa hili angepaswa kuifanya hoja hii kuwa sehemu ya agenda ya hotuba yake. A powerful message becomes even more powerful when an entire continent speaks with one voice.
31
Ukweli huu mchungu unafikirisha na kuumiza sana!
1
14
God did #Tanzania
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi akitangaza taarifa ya msiba wa Mhe. Hafidh Ameir Hassan ambaye ni mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
11
1
32
66
953
Katika pitapita zetu kwenye mitandao ya kijamii, tumekutana na chapisho la Wakili Maduhu William Kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), akihoji maswali matano (5) kufuatia hatua zinazochukuliwa siku za hivi karibuni na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi, Royal TV Plus inakusogezea kusoma chapisho hilo aliloweka kwenye mitandao yake binafsi ya kijamii ikiwemo Instagram👇🏼 "Siku za hivi karibuni nimekuwa nikiona Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Ndugu Patrobasi Katambi akitoa wito kwa baadhi ya watu kujitokeza mbele yake kwenda kujibu tuhuma zinazowakabili, baada ya watu hao kujitokeza mbele ya ndugu Katambi, amekuwa akijitokeza hadharani na kutangaza msamaha kwa watu hao kwa hoja kwamba walalamikaji wamekubali kusamehe, kama Wakili na Afisa wa Mahakama nimekuwa nikijiuliza maswali yafuatayo: (I) Je, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ana mamlaka Kikatiba na kisheria kutoa wito kwa mtuhumiwa kujitokeza mbele yake kwa mahojiano juu ya tuhuma zinazomkabili?, (II) Je, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ana investigave machineriea za kufanya uchunguzi wa tuhuma za kijinai?, (III) Je, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ana mamlaka ya kutoa msamaha kwa tuhuma za kijinai?, (IV) Je, Tuhuma za kijinai zikisharipotiwa kwenye vyombo vya dola kama Polisi, aliyeripot tuhuma hizo ana mamlaka kisheria kuzifuta au kusamehe juu ya tuhuma hizo?, (V) Msahama wa Waziri unaishia wapi?, Naomba nianze (kudadavua) na swali la Kwanza kama ifuatavyo:- * Je, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ana mamlaka Kikatiba na kisheria kutoa wito (summons) kwa mtuhumiwa kujitokeza mbele yake kwa mahojiano juu ya tuhuma zinazomkabili?, Naomba tukubaliane kwamba Nchi yetu ni Nchi inayoongozwa kwa utawala wa sheria kama ilivyoanishwa katika Ibara ya 3, 4 na 8 za Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hivyo vipo vyombo vilivyopewa mamlaka kisheria ya kushughulika na jinai kulingana na aina ya jinai yenyewe Kwa ujumla zipo taasisi ambazo ama zimeanzishwa Kikatiba au kisheria kushughulika na masuala ya kijinai, kwa mfano kwa mujibu wa Ibara ya 147 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977, ikisomwa kwa pamoja na Sheria ya Jeshi la Polisi na Huduma Saidizi Sura ya 322 rekebu ya mwaka 2023, ikisomwa na PGO toleo la mwaka 2021 Jeshi la Polisi ndio taasisi 'Mama' iliyopewa majukumu ya kusimamia ulinzi wa wananchi na mali zao ikiwemo kushughulika na masuala ya kijinai ikiwemo kukamata na kupeleleza, Kwahiyo tunakubaliana kwamba kwa mujbu wa Katiba, Sheria ya Jeshi la Polisi na Huduma Saidizi Sura ya 322,.Sheria ya Mwenendo wa Mashauri ya Jinai Sura ya 20 rekebu ya mwaka 2023 na PGO mamlaka ya kutoa wito kwa wahalifu, kukamata, kufanya mahojiano na kufanya upelelezi yako mikononi mwa Jeshi la Polisi na kiuhalisia kwenye Sheria zote hizi hakuna mahala anatajwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi (na kama kuna kifungu cha aina hiyo nitaomba nionyeshwe au nisimamishwe Uwakili), Taasisi zingine zenye mamlaka kisheria ya kutoa wito na kufanya upelelezi kwa makosa ya jinai ambazo nazo kimsingi huwa zinafanya hivyo kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi ni pamoja na Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU) kama inavyoanzishwa kwa mujibu wa kifungu cha 5 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Sura ya 329 rekebu ya mwaka 2023 ambapo taasisi hii imepewa mamlaka ya kushughulika na jinai kwa makosa maalum ya Rushwa na Uhujumu uchumi ambapo kimsingi maafisa wanaofanya ukatamaji ndani ya taasisi hii ni Polisi, Sheria nyingine ni ile ya kupambana na makosa ya Uhujumu uchumi Sura ya 279 rekebu ya mwaka 2023, ambapo Jeshi la Polisi na TAKUKURU kwa upande mwingine zimepewa mamlaka ya kupambana na makosa yenye sura ya uhujumi uchumi, rushwa na utakatishaji wa fedha haramu kama ilivyoanishwa katika vifungu vya 57 na 60 vya Sheria ya Kupambana na Uhujumi vikisomwa kwa pamoja na kifungu cha 12 cha Sheria ya kuzuia na kupambana na utakatishaji wa Fedha haramu Sura ya 423 rekebu ya mwaka 2023..., (Fuatilia Uzi huu...)
3
13
67
7,686
255GenZ retweeted
👉jamaa asikilizwe ana kitu Kinachohitajika hivi sasa ni ukombozi wa fikra kwanza ili tuweze kumshinda ibilisi
2
16
39
2,182
255GenZ retweeted
Wakati sahihi wa kuipambania Tanganyika yetu ni sasa Huo wakati mwingine tusiupe nafasi hata kidogo Tumeuliwa vyakutosha Kunyang'anywa ardhi na raslimali zetu Kutiwa vilema,kutekwa na kufilisiwa Tusinyamaze kila mmoja kwa sehemu yake na nafasi yake apambane kadiri awezavyo
1
53
266
14,746
255GenZ retweeted
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
1
26
1
94
6,714