Tanzanite (@Tanzaiite) header
Tanzanite (@Tanzaiite) profile picture

Firm pursuit of justice 🇹🇿 Advancing universal human rights through transparency, systemic accountability & dignity."🌱No one is too small to make change 🕊️

Joined May 2026
Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)
mother’s love knows no bounds, and neither does her grief. For a year now, the family of Humphrey Polepole has endured "untold sorrow," looking for the truth behind his violent disappearance from Dar es Salaam. No family should have to carry this heavy burden of silence. As a widow who sacrificed everything to raise her children alone, Annamary Polepole never imagined facing a reality where her children would be taken. A year after Humphrey’s abduction, his family continues to search for peace, closure, and basic human dignity. 🕊️🌿#freehpolepole@ipu @hrw @UNGeneva @UPRinfo @SenTedCruz @SenatorShaheen @commonwealthsec @EUparliament @EPPGroup @ecrgroup @WHO @ilo
28
1
76
2,415
Tanzanite retweeted
History will remember you nicely. Defending human dignity knows no boundaries
1
8
44
2,177
Tanzanite retweeted
HALAFU NISIKIE POYOYO YOYOTE ANAMFANANISHA DADA YANGU @mangekimambi NA UPUUZI WENU
9
42
451
9,419
Tanzanite retweeted
Replying to @Tanzaiite
YUDA wa MCHAME HANA MAPUMBU. Wallah!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏾
1
2
50
Tanzanite retweeted
VIDEO: Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesema kuwa mabadiliko ya shauri la Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Tundu Lissu, kutoka kesi ya uhaini aliyoiita ya kughushi hadi kesi ya uchochezi ni kiashiria cha siku ya ushindi kwa CHADEMA na Watanzania wote. Heche ameyasema hayo mkoani Dar es Salaam mara baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, kumhukumu Tundu Lissu kutumikia miaka minne jela kwa kosa la uchochezi. Heche ameongeza kuwa Lissu pamoja na viongozi wengine ni alama tu katika harakati hizo, na kwamba chama hicho kina viongozi wa kutosha kuendelea na mikakati yake bila kuyumbishwa.
6
61
2
429
15,008
Leo Samia kajua kuumiza umma 😢
20
309
10,291
FUCK YOU SAMIA SULUHU………… ILAANIWE SIKU ULIOZALIWA!!!!!
132
848
18
6,108
178,348
Katuga amepanga kuishi wapi long term? Maana anachoongea hapa ni kujijengea chuki mbaya sana! Mwambieni hata kama analinda ugali - si hivi! nitter.cf/omari_manyama/status/2…
10
80
3
430
20,106
Ndo mpango wake atoe msamaha ili tumpende! Hajui tunavyomchukia kama Taifa! Hata ambao wako naye wananmchukia sema waoga tu!
Replying to @MariaSTsehai
Alafu usishangae kimama kikiibuka na kusema -ehh eeh namsamehe Lissu ili akamzike kaka yake Alute".
8
39
1
233
12,004
Kama nilivyosema - Tundu Lissu hastahili kukaa hata siku moja zaidi jela! Ndo maana leo wanakimbizana na watu barabarani na kunyanganya simu Hamtaweza kuwa on full alert miaka 4 eleweni! Na hamtapata break kimataifa! Mwachieni Tundu Lissu kama mnataka nchi utulilie! Otherwise #NoJusticeNoPeace ✊🏽
13
113
1
444
17,840
Tuliwaambia wamepanga kumfunga miaka mitano! Mnaona sasa? Machawa muwe mnatuheshimu! Mnapenda kusema tunatoa matango pori - ila mabosi wamefuata script ile ile ya Abduli na mama yake! We won on all levels! You loose suckers! Uzuri tulishajua na kujiandaa - you will never know peace! Mwachieni Lissu! Mnachofanya majaji ni kupiga sarakasi na taulo! ACHENI ❌ #FreeTunduLissu #SamiaMustGo
26
197
3
1,063
34,164
“Sheria inapotaja adhabu ya faini au kifungo, ni lazima kwanza itoe adhabu ya faini. Huu ni msimamo wa kisheria.” “Mkinipa maximum sentence itakuwa ni ushaidi kuwa mmeelekezwa.” Tundu Lissu
1
52
3
196
20,863
Kwahiyo HOTUBA ya Chande ndo afungwe LISSU??
8
60
1,700
Naona majaji wanasoma hukumu la kimama 🙄 wametoka kwenye Uhaini wanasema kosa dogo la Uchochezi! Mbona mashahidi hawakuja kuongelea uchochezi - focus ilikuwa uhaini! Samia Suluhu FEARS Tundu Lissu so much - what a coward 🚮 Acquit Tundu Lissu - achaneni na kosa dogo majaji! #FreeTunduLissu
28
159
780
26,637
Tanzanite retweeted
Oya mbona kama imeisha hii? Mawakili tusanueni
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 496 Upande wa mashtaka walieleza kuwa kauli ya mshtakiwa inatakuwa itazamwe katika muktadha mzima kuwa aliitishia serikali na kuwa mshtakiwa alikuwa na lengo la kuitisha serikali regardless kama serikali ilitishika au la! Ushahidi wa upande wa utetezi mshtakiwa alisema maneno hayo lazima yapimwe katika muktadha wa kisiasa na lengo kwa kauli hiyo ilikuwa ni kueleza msimamo wa kisiasa wa Chadema na lengo lake halikuwa kuitishia Serikali, mtazamo huu ulingwa mkono na shahidi wa 2,3,4 na 5 kuwa kauli ya No reforms, No election ililenga kueleza ushawishi wa kisiasa. Upande wa utetezi ulisema neno uasi lazima nilitazamwe katika muktadha wa kisiasa na kauli hiyo haikuwa na lengo la kuitishia Serikali au kuchochea vurugu. Mshtakiwa alieleza kuwa upande wa mashtaka walipaswa kuthibitisha nia hiyo kuwa mshtakiwa alilenga kuitishia serikali na sio hisia tu. Mshtakiwa alieleza kuwa upande wa mashtaka walishindwa kuthibitisha Kwa ushahidi uliotolewa kuna mambo ambayo hayabishaniwi, kwanza Chadema imekuwa inatetea mabadiliko ya kikatiba, na mfumo wa uchaguzi na msimamo wa No reforms, No election, kupitia mkutano huo wa 3/4/2025 mshtakiwa alitoa hayo maneno mbele ya viongozi wenzake, wanachama, watia nia na waandishi wa habari na mkutano huo ulirushwa live. Upande wa utetezi wamemaintain kuwa kauli hiyo ni ya kisiasa ililenga umma to boycott uchaguzi na sio kuitishia serikali. Tumeangalia kauli zilizotolewa na mshtakiwa na tumeona kuwa hakuna ushahidi wa moja kwa moja hatujaona kuwa mshtakiwa alilenga kuitishia Serikali, tumeangalia tafsiri ya shahidi wa 1,2 na 16 tumeona ni assumption haziwezi kuthibitisha kuwa mshtakiwa alilenga kuitishia Serikali. Tumeona kwamba ushahidi uliotolewa na mashtaka una fall short kuthibitisha shitaka la uhaini hivyo katika kiini hiki cha pili tunaona ushahidi haujakidhi kuonyesha nia ya uhaini. Kwa mujibu wa kifungu cha 39(2)(d) kuna vitu vitatu ikiwemo factuai issues, mahakama lazima iangalie ushahidi kujiridhisha na tatu ni ushahidi uoi umetolewa. Mahakama inaona kwamba tafsiri ya maneno ya Lissu bila tangible evidence tumeongozwa na kanuni kwamba nia (mens rea) ni internal state of mind lazima liambatane na ushahidi wa kimazingira na vitendo vya kufanya uhaini. Nia ovu siku zote inakuwa inferred kutoka kwa maneno na matendo ya mshtakiwa. Part 497 itaendelea kwenye post inayofuata. Naomba Repost yako.
41
49
495
29,577
As long as tunategeana kwenye harakati hizi za ukombozi tujiandae kuumizwa wote kwa zamu! Mungu ameshatuonyesha njia Oktoba 29 2025 - na anasema TUSIOGOPE! Tukikubali Hofu itutawale tutaishi na mashetani! Sina cha ziada kwa sasa! We all have to learn this lesson the hard way!
7
90
2
492
16,806
Aisee akina Jaji Nduguru mnaenda kuweka historia MBOVU kukubali kuandikiwa na kupewa hukumu ya Kimama kiuaji! 😁 @iGaddo kawachora wote ni kangaroo 😂 Historia imeshaanza kuwahukumu! Mungu atamaliza andiko la maisha yenu! This is your LAST chance! #FreeTunduLissu
7
100
1
349
15,047