Kumuongelea vibaya ulie achana nae ni sawa na kukirudia kitabu cha kale ambacho uliwahi kukisoma. Huenda wewe ukuvutiwa nacho kwa wakati huo, lakini msomaji wa sasa anafurahia uandishi mzuri kwenye uhariri wa toleo jipya
#Morning_Tips
2
Sio kila kinachokuja kwako nichako Si kila kiondokacho kwako ni chako hata kama unakipenda sana kiruhusu kiende . Maana Vingine mungu huviondoa kwako ili wewe ubaki Salama iwe cheo , » Iwe kazi , nafasi au mahusiano acha waende/viende, chakwako kitakaa nawe..💉
#Health_Tips
2
Siku zote usiyakatie Tamaa maisha ambayo umejihahidi mwenyew unataman kuyahishi kwa7bu kumbuka
"Wewe ni bora kuliko mapito yako na ndo maan mapito yako yanapita wewe unabaki"
#Pambania _future_yako
#Usizipe_nafasi_changamoto
#Return_0_}
1
Uthamani wa mtu aupo kutokana na vitu anavovimiliki au jinsi anavochukuliwa na jamii bali #Uthamani wa mtu upo palevjinsi anavokuchukulia wewe #anakuheshimu #anakusupport na
#Anakujali pia
Siku zote kwenye mafanikio kuna "We" and not *Me*
MUNGU ni wetu sote ila juhudi ni zako pekee yako mafanikio ni yako na familia yako ila wapambanaji wengi
#Keep_hustles
#include<iostream >
1
Collins Munuo retweeted
Ukiishi maisha yanayoifanya furaha yako binafsi kuwa ndio lengo kuu la kuishi, unajipunguzia uwezekano wa kuwa mwenye furaha.
Gusa maisha ya watu kwa matendo ya utu, upendo na hisani. Maisha yako yakiongeza thamani kwa watu, FURAHA itakufuata na itatosha kuwagawia na wengine.
Tukiwa Tunaangalia UEFA mzee mmoja wa makamu aliniambia maneno haya👇👇👇
“But every memory of friendship shared, even for a short time, is a treasure, like sunshine and warmth in our lives, like a cool breeze on a humid day, like a shower of rain refreshing the earth.” –
💪
1
Wanaopendana wao kila siku ni siku maalum, Ukiona wao wanapendana valentine day ndo siku ya out, na kupeana vijizawadi hao ni waongo amna kitu. Wanafanya show off wapendanao wao hawana muda, wala siku, wala saa kila wakati wao ni #UPENDO
1
Relax,
Utaufulu, Utagraduate, Utapendwa vile unataka GOOD THINGS take time as Much as u need and starts all over again as many times as u want
Moreover, Niamin utanishukuru also Trust GOD and Chill🙏🌟
1
Usikubali Kwenye Maisha Mtu akakuambia UWEZI kwa7bu sio kila mmoja anamaanisha Mwingine analengo uache kufankya unachokifanya ili baadae akucheke akuone uwezi au auna msimamino @KeepThink before u quiet
1





