Pinned Tweet
UHALISIA KUHUSU KILIMO!
Tanzania ni moja kati ya nchi zenye ardhi kubwa ya kilimo pia hii ardhi haitumii gharama kubwa kuiboresha kwa ajili ya kilimo, lakini sasa hivi kilimo kimegeuka kuwa moja kati ya vitu vinavyopeleka watu kwenye umasikni mkubwa sana nchini Tanzania...
Dr. Keroche Moro.🔬🔬 retweeted
Sikiliza nondo za mwalimu wa sheria #tundulisu✌️✌️✌️✌️✌️✌️🇹🇿💯💯💯👇 tujikumbushe dakika 5
Dr. Keroche Moro.🔬🔬 retweeted
Tumefika HATUA watekaji hawajui WAMTEKE NANI WAMUACHE NANI.
Round hii mpaka MAWE YATAONGEA.
Dr. Keroche Moro.🔬🔬 retweeted
Kitu usichokijua ni kama usiku wa giza. Sio lazima kuzungumzia kila kitu
Jikite zaidi kwenye kupanda miche na kushabikia na kusifia watu uwapendao.
Tanzania, Mfungwa anaweza kupewa dhamana kwa sheria za Tanzania, sheria inaruhusu kabisa
Dr. Keroche Moro.🔬🔬 retweeted
Anaitwa BEN MPORIPORI huyu ndio anahusika na UTEKAJI unaoendeshwa na MAFWELE.
Huyu pia anafanya kazi kama MSAIDIZI WA @ummymwalimu
HUYU ANATUMIKA KUPOTEZA WAKOSOAJI WA SERIKALI.
MKUMBUKENI KWA SURA HUYU KIBAKA.
Story yangu ya KUTEKWA haiwezi kukamilika bila kulitaja jila lake maana X nzima ni mashahidi wa TWEET zake.
Huyu KUMA anaona kama yeye ataishi MILELE hapa chini ya JUA.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Ukweli ni kwamba kwanye nchi hii kila mtu ana upande hakuna aliye vuguvugu kwa sasa kuna upinzani na CCM, hoja za upinzani ambao ni upande wa Wananchi zinabebwa na CDM na hoja za CCM zinabebwa na serikali ambalo ni kundi dogo ila lenye mamlaka huwezi kufanya maridhiano na kuacha.
1
41
Dr. Keroche Moro.🔬🔬 retweeted
Mimi kwa akili yangu ndogo niliyonayo nilikuwa naomba tuweke mpira kati match ipigwe dakika 90 ziamuwe nani ameshinda mambo ya kufanya MAVIZIANO tuache.
NB: Waoga huwa hawakubali match live wanataka match za gizani.
Mimi kwa akili yangu ndogo niliyonayo nilikuwa naomba tuweke mpira kati match ipigwe dakika 90 ziamuwe nani ameshinda mambo ya kufanya MAVIZIANO tuache.
NB: Waoga huwa hawakubali match live wanataka match za gizani.
Dr. Keroche Moro.🔬🔬 retweeted
Karibu Afrika, ukanda wa uhaini kwa wapinzani.
Tanzania; Tundu Lissu amehukumiwa uhaini
Uganda; Kiiza Besigye anashtakiwa kwa uhaini
Rwanda; Victoire Ingabire anashtakiwa uhaini
South Sudan; Riek Machar anashtakiwa uhaini
Burundi; Alain Bunyoni kahukumiwa uhaini
DR Congo; Joseph Kabila amehukumiwa uhaini
Zambia; Brian Mundubile anashtakiwa uhaini
Niger; Mohamed Bazoum anashtakiwa uhaini
Lesotho; Mothetjoa Metsing anashtakiwa uhaini
Chad; Succès Masra amehukumiwa uhaini
Nigeria; Timipre Sylva anashtakiwa kwa uhaini
Guinea-Bissau; Domingos Pereira, pia uhaini
Mozambique; Venâncio Mondlane, pia ugaidi
Zimbabwe; Job Sikhala anashtakiwa ugaidi
Watawala Afrika wanaugua ugonjwa wa udikteta
RT @HildaNewton21: Leo Media zote kubwa huko Duniani mjadala ni Hukumu ya Mhe. Lissu.
Dr. Keroche Moro.🔬🔬 retweeted
"Demokrasia ya kushonana midomo siyo demokrasia," Julius Nyerere #juliusnyerere #NyerereDay – at Dar es Salaam, Tanzania
Dr. Keroche Moro.🔬🔬 retweeted
Huwezi kumshinda mshindi ...Risasi ilishindwa kumwua ....itakuwa Kuta za gerezaa!!!??
Dr. Keroche Moro.🔬🔬 retweeted
#TajiriLaKihaya
Kuanzia leo Nakiri kwamba…
HAKUNA WANAHARAKATI UCHWARA…
Jina Wanaharakati UCHWARA limefutwa Rasmi kuanzia sasa🙏🏽



















