MO anataka kumuondoa aweze kuichukue Simba 100%
TFF wanatumika na MO.
Utasemaje hana kigezo mwenyekiti
🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄
Mwenyekiti anayemaliza muda wake wa Klabu ya Simba SC, Murtaza Ally Mangungu, amewataka mashabiki na wanachama wa klabu hiyo kubaki watulivu na kutoacha mambo ya uchaguzi yasiingilie masuala ya timu uwanjani.
Mangungu amesema:
“Nimeona taarifa kama wengine walivyoona, lakini kila mmoja atulie na siwezi kusema chochote kwa sasa. Mambo ya Uchaguzi wetu yasiingilie mambo ya timu kiwanjani. Kama wanaona sikubaliki kwanini wanashangilia jina langu kutorudi? Nisitoe maelezo zaidi, ila nitazungumza. Wanasimba wawe watulivu. Simba ipo na itaendelea kuwepo.”
Taarifa hii inakuja baada ya Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kutangaza orodha ya awali ya wagombea, ambapo jina la Mangungu halikujumuishwa.
#MeaMswahiliUPDATES
What did Abiy mean?
He was warning Ethiopia’s neighbours and armed opponents against counting on outside military help.
In his 26 November address to parliament, he explicitly accused Eritrea of arming Ethiopia’s adversaries and invoked the 1896 victory at Adwa.
If the Palestine comparison is meant to cover all of history, Egypt did send troops into Palestine and fight in the 1948 war.
Abiy remembers Adwa. He should remember Asmara too.
Adwa was a great African victory. But how can one victory in 1896 guarantee the outcome of every future war?
Britain defeated Emperor Tewodros II’s forces at Magdala in 1868.
Italy invaded in 1935, took Addis Ababa in 1936 and occupied Ethiopia until 1941
And Eritrean independence fighters took Asmara in 1991 after a three-decade struggle.
There is no single tally that counts battles, campaigns and wars the same way, but these are three major setbacks any honest account must include.
How much territory did Ethiopia lose?
Eritrea, with a total area of about 117,600 km², became independent in 1993 after a referendum.
Ethiopia had annexed it in 1962, and its independence left Ethiopia landlocked. Eritreans won that independence through their own struggle. They did not need Egypt to win it for them.
And look at the Ogaden, which remains part of Ethiopia’s Somali Region. Somalia invaded in 1977 and was driven back in 1978.
Ethiopia won that war with major Soviet military support and thousands of Cuban troops.
Decades later, Eritrean troops fought alongside Abiy’s own federal forces in Tigray. Before questioning who will come to Eritrea’s aid, Abiy should remember who came to his.
Ethiopia has every right to defend itself. Eritrea has that same right. The people of the Horn deserve leaders who take the cost of war as seriously as they talk about victory
🇪🇹 رسالة أبي أحمد إلى مصر والسودان وإريتريا 🇪🇬🇸🇩🇪🇷
إذا اندلعت الحرب، فلا مجال للجدال أو الشك في أن إثيوبيا ستخرج منتصرة، ليس فقط على دولة واحدة، بل أيضاً على كل من ينضم إليها ضدنا. وهذا ما نستعد له. نحن وأعداؤنا ندرك هذه الحقيقة جيداً.
كل هذه الأسلحة اقتنيناها بجهدنا وعرق جبيننا، لا بالتسول. سنواصل العمل والبناء وتعزيز قوتنا. فلا تستفزونا.
تعتقد بعض الدول والجماعات المتمردة أن هذه الدولة أو تلك ستأتي لنجدتها. لكنني لا أعلم إن كانت تلك الدولة ستأتي لنجدتكم وهي التي لم تأتِ لنجدة الآخرين.
ما الذي يقصده؟
يشير أبي أحمد بشكل غير مباشر إلى إريتريا ومصر، متسائلاً كيف تتوقع إريتريا أن تضحي مصر بجنودها دفاعاً عنها بينما لم تخض حرباً مباشرة دفاعاً عن فلسطين أو السودان.
🇪🇹 Abiy Ahmed’s message to Egypt, Sudan and Eritrea 🇪🇬🇸🇩🇪🇷
If war breaks out, there is no argument or doubt that Ethiopia will emerge victorious, not only against one country but also against anyone who joins that country against us. That is what we are preparing for. Both we and our enemies know this truth.
All these weapons were acquired through our own hard work and sweat, not through begging. We will continue working and building. Do not provoke us.
Some countries and rebel groups believe this country or that country will come to their rescue. But I do not know whether that country will come to your rescue when it did not come to the rescue of others.
What did he mean?
Abiy is indirectly referring to Eritrea and Egypt, questioning why Eritrea expects Egypt to sacrifice its soldiers defending it when Egypt has not directly entered a war to defend Palestine or Sudan.
1
150
BILA LISSU, TANZANIA BADO INAWEZA KUFIKIA MUAFAKA
John Heche anaweza kuweka masharti ya CHADEMA kushiriki mazungumzo. Lakini masharti ya chama kimoja hayawezi kuamua lini taifa zima lianze kujadili mustakabali wake.
Kwa maoni yangu, msimamo mkali wa Lissu unaweza kukwamisha mazungumzo. Hata pendekezo analoliunga mkono leo anaweza kulipinga kesho akitofautiana na namna lilivyopitishwa. Ndiyo maana kuweka ushiriki wake kama sharti la kuanza mazungumzo kunampa mtu mmoja uwezo wa kuchelewesha mageuzi yanayowahusu Watanzania wote.
Vipaumbele vya sasa viko wazi. Tuharakishe mchakato wa kupata Katiba mpya, turekebishe sheria zinazokwamisha ushindani wa haki, na tuwe na tume ya uchaguzi yenye uhuru wa kweli katika uteuzi wa wajumbe wake, bajeti yake na maamuzi yake.
Mazungumzo yawe wazi kwa CHADEMA, vyama vingine, asasi za kiraia na wananchi. Lissu akishiriki, atoe hoja zake. Asiposhiriki, mchakato uendelee.
Kipimo cha maridhiano kiwe makubaliano ya wazi kuhusu mageuzi hayo, ratiba ya kuyatekeleza na uwajibikaji kwa umma.
93
The 6th Estate retweeted
TUNDU LISSU SI MANDELA, NA SI RAWLINGS
Mandela aliposimama kizimbani katika kesi ya Rivonia, hakutumia muda wake kuomba huruma. Alieleza alichokiamini, alichokifanya, kwa nini alifanya hivyo na kwa nini alikuwa tayari kufa kwa ajili ya msimamo wake.
Jerry Rawlings alipokabiliwa na court-martial kwa uhaini, alitaka kueleza kwa nini aliamua kuasi mfumo aliouona umejaa ufisadi, dhuluma na unyonyaji wa wananchi. Hakukwepa kueleza dhamira yake.
Ndiyo maana historia inawakumbuka kwa namna tofauti.
Ujasiri wa kiongozi haupimwi kwa maneno ya mikutano pekee. Unapofika wakati wa kukabiliana na mamlaka, hukumu na hatari ya maisha, ndipo msimamo wa mtu unapojaribiwa.
Kwa mtazamo wangu, Tundu Lissu hakutoa picha ile ya kiongozi anayesimama mbele ya mahakama na kutangaza kwa ujasiri falsafa, dhamira na responsibility ya mapambano yake. Badala yake, niliona kujitetea na kujitenga na tuhuma.
Mandela hakujifanya kwamba hakuwa na msimamo. Rawlings hakuficha dhamira yake.
Kiongozi wa mapambano anapaswa kuwa tayari kutetea msimamo wake kwa ujasiri, si kutafuta tu kuondoka kizimbani akiwa hana hatia.
Hatuwezi kuwalinganisha viongozi wa kihistoria kwa majina tu. Ujasiri, conviction na sacrifice lazima viwe sehemu ya kipimo.
TUNDU LISSU SI MANDELA, NA SI RAWLINGS
Mandela aliposimama kizimbani katika kesi ya Rivonia, hakutumia muda wake kuomba huruma. Alieleza alichokiamini, alichokifanya, kwa nini alifanya hivyo na kwa nini alikuwa tayari kufa kwa ajili ya msimamo wake.
Jerry Rawlings alipokabiliwa na court-martial kwa uhaini, alitaka kueleza kwa nini aliamua kuasi mfumo aliouona umejaa ufisadi, dhuluma na unyonyaji wa wananchi. Hakukwepa kueleza dhamira yake.
Ndiyo maana historia inawakumbuka kwa namna tofauti.
Ujasiri wa kiongozi haupimwi kwa maneno ya mikutano pekee. Unapofika wakati wa kukabiliana na mamlaka, hukumu na hatari ya maisha, ndipo msimamo wa mtu unapojaribiwa.
Kwa mtazamo wangu, Tundu Lissu hakutoa picha ile ya kiongozi anayesimama mbele ya mahakama na kutangaza kwa ujasiri falsafa, dhamira na responsibility ya mapambano yake. Badala yake, niliona kujitetea na kujitenga na tuhuma.
Mandela hakujifanya kwamba hakuwa na msimamo. Rawlings hakuficha dhamira yake.
Kiongozi wa mapambano anapaswa kuwa tayari kutetea msimamo wake kwa ujasiri, si kutafuta tu kuondoka kizimbani akiwa hana hatia.
Hatuwezi kuwalinganisha viongozi wa kihistoria kwa majina tu. Ujasiri, conviction na sacrifice lazima viwe sehemu ya kipimo.
Nani analinda wezi kutumia simu?
Bila ya shaka ni @ConsumerCcc
Kampuni za simu na @tanpol
Na Serikali.
Leo tunazindua @NIDA_Tanzania ID mpya tumambia hizi ni smart card ya Data zetu.
Lakini matapeli wanaongezeka .
Kukiwa na uwajibikaji hakuna haya matapeli.
Mfano namba yoyote itayosajiliwa bila NIDA hio mobile company inatozwa faini ya 50m .
Hakuna hata kampuni moja itaruhusu.
99
The 6th Estate retweeted
Eee ndio hivo Mwinyi kaajiri ndugu zake na kupewa vyeo wazaliwa Wazanzibari wapo nje wanazururaa madakari wanafikia 20 wapo bench wamefukuzwa huu ndio ukoloni wa siku hizi
The 6th Estate retweeted
Revolutionaries Declaration.
"Homeland or Death"
Declared first by by Che Guevara in 1962 at UN speech.
Later Thomas Sankara used it and now Ibrahim Traore affirm it with addition of slogan " We shall overcome"
Eee ndio hivo Mwinyi kaajiri ndugu zake na kupewa vyeo wazaliwa Wazanzibari wapo nje wanazururaa madakari wanafikia 20 wapo bench wamefukuzwa huu ndio ukoloni wa siku hizi
Revolutionaries Declaration.
"Homeland or Death"
Declared first by by Che Guevara in 1962 at UN speech.
Later Thomas Sankara used it and now Ibrahim Traore affirm it with addition of slogan " We shall overcome"
Hukumu inaweza kukosewa na kufutwa na uamuzi mwengine .
MADELEKA, UCHOCHEZI NA UHAINI HAWANA UHUSIANO? JAMANI, SHERIA ISOMEWE KWA MAKINI! 😂
Section 39(2) ya Penal Code inataja wazi maneno instigate, persuade, counsel or advise katika kueleza nia inayoweza kuunda kosa la uhaini.
Kwa hiyo, uchochezi unaweza kuwa na uhusiano wa moja kwa moja na vitendo vinavyounda uhaini.
Angalia pia precedents:
- Robert Ndecho v R (1951) 18 EACA 171.
- Elmi bin Yusufu v Rex, TLR 269.
- Richard Estomih Kimei v Republic (2018) TZCA 210.
- Charles Ambrosi v Republic (2023) TZCA 174.
- Shamnsaheb M. Multtani v State of Karnataka (2001) 2 SCC 577, India.
Ndiyo, kosa dogo lazima liwe cognate na kosa kubwa. Lakini swali ni kama viambato vya makosa hayo vina uhusiano wa kisheria katika mazingira ya kesi husika.
Kusema hakuna uhusiano wowote kati ya uchochezi na uhaini ni hitimisho linalohitaji kutetewa kisheria, si kutangazwa tu.
Tujadili sheria, si uchawi! 😂
TAL, Habibi! 😂
You demanded No Reform, No Election! Now reforms are taking their own sweet time.
Don't worry, habibi, keep the slogan alive maybe the reforms will arrive before the 2030 elections.
Even reforms need a little political freedom!
99
The 6th Estate retweeted
Mwabukusi, kazi yako ni kuhakikisha Lissu anapata haki ya rufaa na dhamana. Lakini swali ni hili Akirudi uraiani na kuanza tena mikutano na kauli za “Tutakinukisha” na “Tutaitisha uasi”, akajikuta tena Mahakama ya Kisutu, utarudi tena kumtetea?
Au TLS itakuwa na jukumu la kumfundisha pia kwamba uhuru unaambatana na uwajibikaji?
Tusije tukawa na mchezo wa kuachiwa, kuchochea, kukamatwa, kutetewa na kuanza tena kampeni ya #FreeLissu!
VIDEO:
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, ametoa wito kwa viongozi wa dini kuacha kuwapa sakramenti watu wanaojihusisha na ukandamizaji na badala yake waanze kuwafukuza kanisani na misikitini.
Mwabukusi ametoa wito huo leo mkoani Singida alipokuwa akitoa salamu za rambirambi katika msiba wa Alute Mughwai Lissu.
Ameeleza kuwa kanisa limekuwa mwepesi kuwahukumu watu wanaotenda dhambi zingine kama vile uzinzi, lakini wanaowakandamiza wenzao wamekuwa wakiachwa wakiendelea kupata huduma za kiroho bila kukemewa.
Katika hatua nyingine, Mwambukusi amesema chama hicho kinashirikiana na mawakili wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kwa kuzingatia maelekezo ya Lissu mwenyewe ili kushughulikia kwa haraka maombi yake ya dhamana na usikilizaji wa rufaa dhidi ya hukumu yake.
"Sisi kama TLS tutaendelea kuwasiliana na familia yake kwenye hatua zingine zinazofuata lakini vilevile tutashirikiana na mawakili kwa kuzingatia maelekezo ya Tundu Lissu mwenyewe. Sisi Baraza la Uongozi na mawakili wake Tundu Lissu kushughulikia swala la rufaa kwa haraka lakini vilevile maombi yake ya dhamana huku tukisubiri usikilizwaji wa rufaa," ameeleza.



















