Mwenyeji (@PapaaMandevu) header
Mwenyeji (@PapaaMandevu) profile picture

Am not genius am using common Sense.! I believe in God #YNWA #STRIVEFORGREATNESS #DAIMAMBELENYUMAMWIKO

Tanzania
Joined February 2013
Photo by Mwenyeji (@PapaaMandevu)Photo by Mwenyeji (@PapaaMandevu)Photo by Mwenyeji (@PapaaMandevu)Photo by Mwenyeji (@PapaaMandevu)Photo by Mwenyeji (@PapaaMandevu)Photo by Mwenyeji (@PapaaMandevu)Photo by Mwenyeji (@PapaaMandevu)Photo by Mwenyeji (@PapaaMandevu)Photo by Mwenyeji (@PapaaMandevu)Photo by Mwenyeji (@PapaaMandevu)
Huna tofauti na mashabiki wa diamond.!
Breaking: After 20 years together, Temidayo has left Portugal as a fan.
1
174
It wasn’t only Barcelona that was bribing referees, sir Alex Ferguson of Manchester United was also involved in it during his time in the Premier League. We know these things.
7
22
1
43
1,018
Arteta nae anahusika.! Alikua house girl wa jamaa pale city
Nah, Arteta and Klopp are the best managers this league has seen. Enough of the rubbish.
186
Kocha wenu alikua house girl wake usijisahaurishe.!
So is Pep Guardiola the face of two of the biggest scandals in Football history?
165
Mchome mapovu ni living legend.! Fuck kisugu
Historia imeonyesha mara nyingi kwamba hatari kubwa kwa taasisi yoyote haitokani na wakosoaji wa wazi, bali kwa wale wanaovaa vazi la uaminifu huku kwa siri wakipinga misingi yake.
1
187
Anae umia sio vyama vya upinzani ni mwananchi
Majuzi niliyasema haya kwamba, vyama vyetu vya upinzani hutuma ripoti za utendaji wa kazi zao kila siku. CCM sio wajinga kama mnavyodhani. Kosa kubwa vyama vingi vya upinzani vinafanya ni kudhani CCM ni wajinga. Hawa watu wanajua kila wanachofanya, very calculated.
146
Ulitaka kusema nini.? Mwaka wa 26 huu naishi huku..!
Imagine unaishi mkoani Rukwa 😂😂😂😭😭
1
196
Makalio ya akina atuganile 😍
Hivi MBEYA ukiondoa VUMBI na BAJAJ wana kitu kingine cha kujivunia?
106
Hivi MBEYA ukiondoa VUMBI na BAJAJ wana kitu kingine cha kujivunia?
50
25
13
252
13,489
Alikiba VS diamond
🚨 Paul Scholes on England vs Spain: 🗣️ “Tonight, in the England vs Spain game, the players playing in La Liga had 7 goal contributions, while the England players had just 1. That really shows the levels of both leagues. ⚽️ 🗣️ “We can do all the marketing we want, but football-wise, La Liga is far superior to the Premier League. That is also one of the reasons behind our failures as the English national team. 👀 🗣️ “We need to learn a lot from La Liga and implement those things into the Premier League so both our league and national team can improve. 🗣️ “Even the best players on our team were Anthony Gordon and Jude Bellingham — and they both play in La Liga. That tells you the complete story. 🗣️ “Right now, Spain’s league and national team are both the best in the world.” 🇪🇸🔵🔴
86
Unaweza nipa chanzo na kiini cha vita ya kagera.? Na umri wangu huu..nachosikia na kusoma ni propaganda zaidi ya facts kuhusu hiyo vita..! Kama unajua chochote please nijuze.!
Pro-Free Palestinian wamesikia leo kuhusu Palestinian kuside na Iddi Amini na kuua watanzania wakutosha 1978 wanashangaa. Palestinian waliside na Sadam Hussein kuivamia Kuwait 1990. Hii tuiache kwanza. Ule ukuta waliojenga Egyptians pale Gaza, hii story ya siku nyingine.
86
Udini na ukabira vipo ila tunaogopa kivizungumza
Ni kweli ukabila umekwisha au bado tunaishi nao bali tunaona aibu kuuzungumzia?
125
Miaka yote zinapigwa sema miaka hii kampeni wanapiga wachezaji wenyewe moja kwa moja..!
Ballon d'or ya mwaka huu zinapigwa kampeni 😂
122
Mwenyeji retweeted
Ki-utaratibu, na zaidi nafikiri kikatiba, ningetegemea Makamu wa Rais alie jiuluzulu, Dr. Emmanuel Nchimbi akikabidhi ofisi kwa Makamu wa sasa. Lakini mpaka sasa tokea atangaze kujiuzulu, Dr. Nchimbi hajaonekana hata uraiani. Tatizo kubwa zaidi lipo CCM na Serikali ya JMT.
Nimemsikia mara mbili, Tundu Lissu akimtaka Makamu wake Heche kupeleka salamu za pole kwa Mhe. Rais kufuatia msiba wa mwenza wake. Lakini ajabu, hadi sasa sijamuona Heche kufika Kizimkazi ili kupeleka ujumbe huo wa Mwenyekiti wake TL. Liko tatizo kubwa CDM!!
3
12
87
4,568
Mungu wako anakuamulia kila kitu 🙌🙌
Sometimes unamuuliza Mungu why uliruhusu nisapoti hii timu😂
190
Wazenji uwa wapo wazi namna wanaweka nchi yao mbele.
Mapenzi yetu yataendelea, Zanzibar, Kupitia ndoto zilizoibwa na miaka iliyopotea. Katika macho ya watoto wetu, Katika machozi yasiyopata majibu. Unaishi mioyoni mwetu, Zanzibar, Katika ukweli tunaoutetea. Hadi heshima itakaposimama tena, Mapenzi yetu hayatakoma. #ZanzibarDaima
24
5
2
100
15,908
Siasa safi ni msingi wa umoja na mshikamano katika taifa lolote..kama hakuna siasa safi hakuna maendeleo ya watu.! Haya yote unayoyaona leo hii chanzo chake ni siasa. Siasa ni msingi wa kila kitu katika taifa. Utanaka kutuaminisha siasa ni jambo la hovyo.?
Kwahiyo Mange anataka watu wasizikane wasioleane sababu ya siasa?🤷🏿‍♂️Why so serious?
174
Michael owen
Liverpool fans, name that one player that made you fall in love with the club! Me : Steven Gerrard #lFC
78
Ubora je.? 🤣
This quoted post is unavailable.
1
1
57
Wine ina kilevi kuzidi bia halafu unasema sio kilevi 😂 ndugu wewe ni mlevu mbobevu na mwandamizi
Wakuu tukubaliane kwamba wine sio pombe.
121