Warren Kilemile (@Prof_KILE) header
Warren Kilemile (@Prof_KILE) profile picture

Academia. Wabi Sabi.

Tanzania
Joined March 2016
Photo by Warren Kilemile (@Prof_KILE)Photo by Warren Kilemile (@Prof_KILE)Photo by Warren Kilemile (@Prof_KILE)Photo by Warren Kilemile (@Prof_KILE)Photo by Warren Kilemile (@Prof_KILE)Photo by Warren Kilemile (@Prof_KILE)Photo by Warren Kilemile (@Prof_KILE)Photo by Warren Kilemile (@Prof_KILE)Photo by Warren Kilemile (@Prof_KILE)Photo by Warren Kilemile (@Prof_KILE)
Pale SUA semester 2 huwa kuna ile course ya Statistics mnasoma chuo kizima...huwa panachangamka sana 馃槀
79
47
13
1,080
84,099
Njia ya kila siku ya Lubasha na Mfinanga 馃槀
1
3
14
8,331
Hivi kuna ruti ndefu zaidi ya Mbeya-Mwanza via Iringa? 馃檶
13
8
7
14,067
Send off, harusi zote zinahitaji pesa nawewe hauna. Achana na kusumbua watu kama haujajipanga. Nasisi tuna plans zetu.....
1
9
407
Rafiki yangu amepata promotion from Senior Lecturer to Associate Professor...nimefurahi sana.
1
9
236
Lubasha hela ngumu yani kama mimi natamani sana...hizi laki 5, 2, 3, 1 na nusu hamchukui hadi namaliza? 馃槑
Nimewaletea viwanja vya Dodoma hamtaki tena vya milioni 4. Inasikitisha sana. Hiyo hela umeficha utaila kidogo mpaka iishe, tena mjomba atameza panga hivi karibuni.
1
2
6
511
Kuna mtu mmoja yeye mali zake zote wameandikisha watoto wao na wanajua kabisa. Ila saivi sababu wapo hai yeye na mke wake ndio wanacontrol. Wakifariki hakuna kitu ndugu wataambulia.
7
234
Ushawahi kutamani kuacha kazi uliyonayo? Napitia sana hii hali saivi 馃槑
4
2
2
20
1,070
Hizi kazi mnatuahidi Ijumaa jioni muache 馃槀
1
5
273
Mtu akijipambania usimbanie rizki yake...tuhurumieni wakuu nasisi tuna watu nyuma.
1
6
207
Mungu anisamehe tu jamaa nimempa 2k nimenunua jojo za 1k kanipa 9k chenchi na nimepita nayo 馃槀馃槀馃槀
2
1
13
544
Bado siamini amini 馃檶
J'mosi ya leo nimepigwa na butwaa! Haya bwana nimtakie ndoa njema tu 馃槀
4
7
431
Gate valve vs ball valve...haya wazee mje hapa mtumwagie madini.
As the service provider between A and B which one is the best for your client
5
276
Jirani yangu ifike saa 12-1 asubuhi asiposikia nimepiga Attente ya Fally Ipupa lazima anipigie kuniuliza kama nimeamka salama 馃槀馃槀
1
6
252
Bajaj 3000 mpaka town. Boda buku jero mpaka mazimbu road pale then bajaj jero hadi town...kupanga ni kuchagua 馃槀
Kuanzia kesho September 15, 2025 mkishuka stesheni ya SGR ya Morogoro na Dodoma mtakuta Coaster za Special Hire za Kampuni ya Faima ambazo zitawatoa watu stesheni apo kuwapeleka stendi, mfano Morogoro mtapelekwa hadi Msamvu. Nauli ni shilingi elfu 5000. Hapo mnasemaje wakuu
7
358
J'mosi ya leo nimepigwa na butwaa! Haya bwana nimtakie ndoa njema tu 馃槀
16
18
35
16,033
Haya matamasha tunashindwa kutazama na familia zetu, kuna baadhi ya maudhui hayako sawa. Acha tusogee bar 馃槀
9
389
Acha nitulie nisuke keka la kesho 馃槀
5
284
Si mnamuonaga Msaki ni kichaa humu 馃槀
Nilijuaga safari lager ni bia ya kawaida mpaka nilipokunywa kubbke馃槶馃槶
1
1
5
489
Ninachopenda kuhusu shida zina tabia za kukurudisha kwa mtu yule yule uliyemkosea
1
9
312
Kuna watu ukipokea tu simu au sms zao umeisha 馃槀
6
207