NYANDA (@R00dger) header
NYANDA (@R00dger) profile picture

ishi ukiamini Mungu atakubariki 🙌

Tanzania
Joined April 2020
Photo by NYANDA (@R00dger)Photo by NYANDA (@R00dger)Photo by NYANDA (@R00dger)Photo by NYANDA (@R00dger)Photo by NYANDA (@R00dger)Photo by NYANDA (@R00dger)Photo by NYANDA (@R00dger)Photo by NYANDA (@R00dger)Photo by NYANDA (@R00dger)Photo by NYANDA (@R00dger)
Some time unaweza kukufuru kwa kuzani kwamba Muumba hatendi haki kabisa, na kusahau kwamba anatenda kwa wakati sahihi... #USICHOKE👊🏼
6
16
33
1,662
Wenzio wanapewa bure ukienda kuomba wewe unaambiwa mpaka unioe"😂
1
1
7
335
Upo kwenye sex na mtu lakini kwa jinsi anavyo lia mpaka unajiuliza huyu anahisi raha au anaumia😁
46
Kuna mzigo wa THE TERMINAL LIST season 2 . Kumbe walikuja mpaka Tanzania bhan 🙆🏿‍♂️
6
9
144
7,447
Hili ni taifa gani mzee🤣?
1
1
2
135
Umaskini Tuukemee kwa nguvu zotee🙌
7
8
115
Wanasema kila kitu kina sababu, hakikisha sababu ya machozi yako kutoka iweke ni mapenzi.😎
40
NYANDA retweeted
14/11 Mungu amenipa kibali cha kuongeza Mwaka Mwingine🙏 HAPPY BIRTHDAY TO ME 💜
304
196
39
1,279
50,228
Limvunje mgongo afe kabisaa 🤣
Siku moja nitamnunulia HOWO , bebi wangu🥰
1
1
42
Sio watanzania sisi wa temeke tunatumia dakika 5 kutongoza alafu tunapiga mzingo mataa😁
unaambiwa watanzania ndio watu wanao ongoza kufanya mapenzi kwa muda mrefu zaidi. Yani dakika 55 hutumika kubembeleza mwanamke na dakika 5 kwa ajili ya kufanya tendo.💔😁.
33
Hiyo HESLB ni nini tukakope na sisi Maan hali ni mbaya😁
Hivi ikitokea mdaiwa wa HESLB hajawahi kuajiriwa mpaka maisha yake yote anazeeka lile deni inakuwaje..😂🤔
21
ondoa chuki maishani mwako. Mambo hayo yanachelewesha baraka. Hii utofundishwa kanisani 😁
3
9
88
Mimi ndio yule jamaa wananisema sana mabaya yangu lakini nikitokea tu wanakaa kimya, mimi ni nani?😎
1
4
63
Mwanamke kama huyu unakuta kuna mwamba kafa kaoza na anataka kuoa, ila wanaume sometimes tunalogwa sio bure 😁
Anko zangu Kifua Tu 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
1
1
44
Kwa kuwa hizo Dhahabu zinagawiwa bure kama salamu au sio mwanetu, sawa
Unatoka Geita Kwenye Dhahabu Unaenda Kariakoo Kuuza Chupi
24
Endelea kusubiri labda mwakani
Eti Pesa na Mali ni Vitu vya kupita, Sasa mbona kwangu havipiti? 🤔😂
1
1
1
46
Wanaweza kudhani ni waganga wa kienyeji 😪
Watoto wa kishua hawawezi kuelewa haya mambo
1
2
2
72
Hawa watu wanao vaa Madera na vikuku mguu sijui ni kabila gani🙆🏿‍♂️😁
Ni mtu wa kabila Gani huwezi kuwa nae kwenye Mahusiano hata Iweje...?? 🙌🏾😅💔
27
Kwa hali nilionayo hivi sasa sihitaji mwanamke wa namna hiyo naitaji mwanamke flan mshamba mshamba ambaye ajui ata kutumia smart phone nimfungie ndani😂
Hapa unaondoka na yupi mkali?😂
2
3
76
Kama unaishi mkoani na unademu wako anasoma chuo dar na mnampango wa kuoana baadae, oa tu mzee endelea na maisha yako. Utanishukuru baadae
2
7
13
343
Yule binti alisema nani vile ni bibi yake !?😅
15