Small Business Elevator (@SB_Ladder) header
Small Business Elevator (@SB_Ladder) profile picture

Supporting small businesses with expert insights, practical resources, and growth strategies. Your partner in entrepreneurial success. #SmallBusinessMatters

Joined November 2024
Kilimo kinaweza kukuhumble mapaka utake kujimaliza.
2
4
42
4,575
Hawa JAMAA kwenye packaging wamekuja vizuri sana — nadhani ni muda wa Kilimanjaro kujitafakari upya, najuwa branding positioning yao inaelekea kule kule waliko Kilimanjaro; executive water! Kwenye boardrooms nyingi kwa sasa nawaona Dew Drop na sio Kilimanjaro kama tulivyozoea.
1
2
3
10
2,520
Nimecheka kama mazuri. Dah biashara uvumilivu lakini. Na huu mwezi January mgumu biashara zote. Kwa nguo ndio zaidi. Wenye pesa na mipango hupenda kwenda vacation tu.
3
1
22
1,451
Retirement life inapendeza zaidi ikiwa nnje ya mji kidogo.
1
14
473
Ukitaka kuamini kwamba market ya Afrika ni ngumu, Uber! Walishindwa kuhudumu kwenye soko la Tanzania, kuna uncertainties nyingi sana kwenye market yetu.
3
3
8
1,424
Hizi ni NGOs nyingi za wazungu huku Afrika 🥹🥹
2
2
1
31
2,961
Hii kitu inaleta hasira sana 🚮🚮
17
9
3
157
15,856
Bajeti ya 1.1M kutoka kwa mdau dsm.
24
7
2
124
14,537
Sawa jana ulikosa basi na leo nenda tena — leo, ni siku yako!
11
40
1,063
Natumai siku moja wote tufike mbali, kwa sababu ya juhudi unazoweka zinastahili matunda. Umekuwa ukitumia nguvu nyingi, akili nyingi na kazi yako ni ngumu lakini bado umekuwa ukiifanya bila kuchoka. Please follow us kwa tips za biashara kila simu. Thank you in advance! End.
4
145