
Supporting small businesses with expert insights, practical resources, and growth strategies. Your partner in entrepreneurial success. #SmallBusinessMatters
Joined November 2024
- Tweets3.5K
- Following59
- Followers13.1K
- Likes6.4K
Pinned Tweet
Kama wewe ni mtu unayependa haya mambo hapa π umefika nyumbani!
- Business
- Marketing
- Branding
- Sales
- Growth Mindset
- Personal Development
Follow account yetu sasa hivi, maana hii ndiyo community yako sahihi!
Ukiiona tweet hii, retweet kisha tufollow β tusonge pamoja!
Sio kwa ubaya, lakini nenda ukajifunze kwa nini baadhi ya watu waliofanikiwa huweka mipaka na hata kujitenga na wanafamilia zao. Na hata wanapowapa nafasi, si lazima wawaruhusu kuhusika kwa asilimia 100 kwenye biashara zao. Kuna sababu za msingi zinazowafanya wafanye hivyo.
5
423
Moja ya tabia nzuri zaidi unazopaswa kujifunza ni kujizoeza kutokuzungumza sana. Matatizo mengi na makosa mengi tunayofanya huanzia kwenye maneno yetu. Jifunze kunyamaza pale ambapo si lazima kuzungumza, maana si kila jambo linahitaji maoni yako.
Umeshawahi kujiuliza kwa nini benki nyingi zinapenda kusubcontract huduma badala ya kujenga internal capacity?
Kwa mfano, badala ya kuajiri wafanyakazi wao wa usafi, zinahire kampuni maalumu kwa ajili ya cleaning services.
More: π
1
6
810
Njia rahisi na ya haraka kwa mwanaume kuharibu maisha yake ni kumtegemea mwanamke. Never put your trust in a woman, sio kwa sababu wanawake ni watu wabaya, ila mood swings zao zinaweza kukushangaza siku moja na kukuacha kwenye hali ambayo hukuitarajia.
Lengo la maisha sio kufurahia tu, bali kupitia changamoto pia, kwa sababu vyote viwili ndivyo vinavyofanya maisha yawe na ukamilifu. Haijalishi upo kwenye phase gani ya maisha kwa sasa, just win or lose with grace and dignity.
Kuna mtu aliniambia, βIli kutoka kwenye umaskini, lazima ukosane na mmoja kati ya hawa watatu, Mungu, serikali au wazazi.β How truthful is this?
Ukijifunza zaidi, unakua zaidi.
Ukikua zaidi, unakuwa bora zaidi.
Ukikuwa bora zaidi, unapata kipato zaidi.
Kwa nini baadhi ya watu wana maisha rahisi hata kama hawaombi sana au hawaendi kanisani, wakati wengine wanaomba kila siku lakini hawaoni matokeo?
Ilinichukua muda kuelewa kuwa siwezi kusaidia familia yangu kabla sijajiinua mwenyewe.
Nikijaribu kuwavuta bila kusimama imara, nitabaki palepale kwa muda mrefu zaidi.
Hakuna mtu aliyekua na ndoto ya kukua awe mfagiaji, keshia, mlinzi, dereva wa teksi, msafisha magari, mhudumu wa baa au mfanyakazi wa kawaida dukani.
Sote tulikuwa na ndoto kubwa. Lakini maisha yakabadilika. Heshimu kazi ya mtu.
Kama una miaka 25+ na bado unategemea wazazi wako! Jiite kamkutano kidogo mwenyewe alafu tafuta namna ya kujitegemea! It's getting bad very soon.
Hawa JAMAA kwenye packaging wamekuja vizuri sana β nadhani ni muda wa Kilimanjaro kujitafakari upya, najuwa branding positioning yao inaelekea kule kule waliko Kilimanjaro; executive water! Kwenye boardrooms nyingi kwa sasa nawaona Dew Drop na sio Kilimanjaro kama tulivyozoea.
Kusoma na kumaliza chuo kikuu ni neema lakini kufanya kazi kwenye kile ulichokisomea ni baraka kubwa sana katika maisha.






