Spartha Mantaza retweeted
Kama mdogo wako amesoma PCB akapata ONE ya 3 hadi 5
Aombe Bachelor of Medicine UDOM
Aombe Bachelor of Pharmacy UDOM
Aombe Bachelor of Medicine MUHAS
Aombe Bachelor of Pharmacy MUHAS
Kama hana vigezo apambane na EDUCATION.
Spartha Mantaza retweeted
Charlie Chaplin died in 1977, At the age of 88.
But he was not wrong when he said:
I saw the end before it happen
Now back from where it begun!!
..........................................................................🫵🏻
13
ninayoyapitia na ninayofanya angekuwa ni mwanaume mweupe angelia sana na sifikili kama angetoboa
🫵🏻🫵🏻
20
kwaio mmegoma ku postiana
c mlisema leo mtapost watu wenu
acheni kutuchanganya basi mala oooh I love you my man mala ooh I love you my girl si umpost huyo man au girl tumuone
Jau tu 😂 😂
33
Spartha Mantaza retweeted
Wasanii wa zamani walikuwa Vioo vya jamii aiseee!!
Imagine, nilikuwa naamini kuwa Ferooz alivyosema
"Ninao ninao" alikuwa ano kweli😂😂
Video kwa Comments 👇
Spartha Mantaza retweeted
Huyu ndiye Lucy Shayo anayeandamwa na Jeshi la Polisi kila kukicha.
Kosa lake kubwa ni kujitambua.
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Spartha Mantaza retweeted
Ni zamu yako kupendeza leo
kama huwezi kufika ofsini Sinza nambie nikufate wapi😅
☎️0623014682
#CyproThebarber #KakaKinyozi #KilaMtuApendeze
#RT
nyoeni nipate nauli ya kwenda kwa bibi kijini kesho😂
Spartha Mantaza retweeted
Ukiachana na Movie box na Onstream ni app gani au website gani nzuri ya ku download movie free yani bila kulipia?


























