Je, unawafahamu hawa jamaa wanaotembea na maroba wakiokota chupa na taka zingine? @Mtawada_tz wanatuambia kila tukiwaona tusimame na kuwaambia asante kwa kuokoa uhai wetu. Wanaokoaje? Soma tamko la @Mtawada_tz khs #MeiMosi2025 hapa chini 👇🏿
This Post is from an account that no longer exists. Learn more
Mwandishi wa kitabu husika andai kuwa kitabu chake cha awali ndicho kilichoibua akina Traore kuongoza mapambano dhidi ya ukoloni mambo leo wa Ufaransa 😂😂😂🙌🏿.
Replying to @EduTalkTz
Kwenye kitabu cha “Wavujajasho dhidi ya Soko Huria” niliandika utangulizi uliofasiri wito wa Che Guevara: “Be realistic, demand the impossible.”
Kutoka ‘Baba Kabwela’ hadi ‘Mama Anaupiga Mwingi’: Hatma ya Wavujajasho Chini ya Utawala wa Kibwanyenye… ✍🏾
“Mimi bado natembea nalo [Azimio la Arusha]. Nalisoma tena na tena kugundua kama kuna cha kubadili. Labda ningeboresha Kiswahili nilichotumia lakini AZIMIO LENYEWE BADO NI THABITI. Nisingebadili hata neno moja.” - Mwl J.K. Nyerere (1999)
“It fills me with indignation to think of the Palestinians, who an inhuman humanity has decided to replace with another people - a people martyred only yesterday… [They] remind every human conscience of the moral necessity to respect the rights of a people” - Thomas Sankara
“Does the world expect us to be well-behaved victims while we are being killed, for us to be slaughtered without making a noise?” - Yahya Sinwar
“MTAWADA kirefu chake ni Mtandao wa Waokota Taka Rejeshi Dar es Salaam” - mratibu wa @Mtawada_tz akifafanua khs malengo ya mtandao huo kwa waokota taka rejeshi wa Kigamboni.
#TakaRejeshiNiAjira
#UtuNaUhaiwaMazingira
My brother and friend @IsaacSsemakadde is being sworn in today as President of the Uganda Law Society overcoming all stumbling blocks put by the powers that be. Hongera kaka. I hope you will team up with TZ’s legal rebel @Mwabuk2Boniface who was recently elected TLS President.












