Mdadisi retweeted
Mtoto aliyepigwa risasi Oktoba 29 Manzese atamani kurudi tena shule, mama awaangukia Watanzania.
Unaweza kuwasiliana na mama yake kupitia 0763747599 (Happyness Julius Melea).
Mama mzazi anasema kwa kipindi chote amekuwa akimuuguza binti yake mwenyewe, na hivi karibuni aliitikia wito wa kufika mbele ya Tume ya Jaji Lila baada ya Mwenyekiti wa Mtaa anaoishi kumtaka aende. Ambapo ameeleza baada ya kutoa maelezo mbele ya Tume, alifika Ofisi za Wilaya kushughulikia taratibu za kupata msamaha wa matibabu kutokana na ugumu wa maisha anaoupitia hivi sasa.
Mdadisi retweeted
Court orders police to produce missing Tanzanian activist Twaha Mwaipaya
eastleighvoice.co.ke/headlin…
Mdadisi retweeted
ABDUCTION: COURT orders IG Kanja and DCI boss Amin to produce missing Tanzanian Twaha Mwaipaya, in court on November 2, dead or alive.
Mdadisi retweeted
Following a petition filed by @VOCALAfrica_ over the abduction of Twaha Mwaipaya, the High Court has ordered Police IG Kanja, DCI boss Amin and Ruai Police Station boss to produce missing Tanzanian activist Twaha Mwaiyapa, dead or alive, in court on Monday, November 2, and present the arrest warrant.
It is a matter of common sense that a foreign militia cannot abduct someone within the Kenyan borders without the knowledge of Kenyan Intelligence.
The abductors were armed and that begs two questions;
1. How did they cross the borders with firearms without the consent of border police?
2. If they crossed the borders without firearms, then who gave them the firearms once they were in the country?
Produce Twaha Mwaipaya @NPSOfficial_KE @DCI_Kenya .
#FreeTwahaMwaipaya
Mdadisi retweeted
#hotoffthebench
The court has ordered the Inspector General of police Douglas Kanja @NPSOfficial_KE and the DCI Boss Mohamed Amin @DCI_Kenya to produce Twaha Mwaipaya or the body and personally appear before court on Monday 2nd November 2026.
@advabner 🫡
Cc @TitoMagoti
Mdadisi retweeted
The High Court has ordered Inspector General of Police Douglas Kanja, DCI Director Amin Mohamed and the Ruai Police Station boss to produce missing Tanzanian activist Twaha Mwaipaya, ‘dead or alive’, following his alleged abduction in Kamulu.
standardmedia.co.ke/crime-an…
Mdadisi retweeted
High Court orders Inspector General of Police and other police authorities to produce Tanzanian activist, Twaha Mwaipaya before the court, alive or dead, after he was allegedly abducted near Kamulu in Machakos County on Sunday.
Mdadisi retweeted
The High Court has ordered Inspector General of Police Douglas Kanja, DCI Director Amin Mohamed and the Ruai Police Station boss to produce missing Tanzanian activist Twaha Mwaipaya, ‘dead or alive’, following his alleged abduction in Kamulu.
standardmedia.co.ke/crime-an…
Mdadisi retweeted
In response to the habeas corpus petition filed by VOCAL Africa and our partners over the enforced disappearance of Tanzanian national Twaha Mwaipaya, the High Court has directed @IG_NPS, @DCI_Kenya and OCS Ruai to produce him, alive or dead in court on Monday, November 2nd, at 11:00 AM, as we stand firm in demanding total state accountability and an end to extrajudicial abductions.
Mdadisi retweeted
Mahakama Kenya Yatoa Amri Twaha Mwaipaya Afikishwe Mahakamani Novemba 02, 2026, Akiwa Mzima au La
Mahakama Kuu nchini Kenya imeagiza mamlaka za Kenya kumfikisha mwanaharakati Twaha Mwaipaya Mahakamani, jumatatu ya Novemba 2,2026, akiwa mzima au la.
Mahakama imetoa amri hiyo kufuatia maombi yaliyowasilishwa Mahakamani hapo na Watetezi wa Haki za binadamu wa taasisi ya Vocal Africa. Katika maamuzi hayo Mahakama Kuu ya Mlimani chini ya Jaji Alexander Muasya Muteti imetaka Polisi Kenya kumfikisha Mwaipaya Mahakamani majira ya saa tano asubuhi.
Mahakama imetoa nafasi kwa mamlaka nchini Kenya kutoa majibu kama kuna jambo ambalo wangetaka kulieleza majira ya tatu asubuhi siku hiyo.
Mwanaharakati Twaha Mwaipaya aliyekimbilia uhamishoni nchini Kenya aliripotiwa kutekwa Jumapili ya Oktoba 25, 2026, huko Kamulu, Kaunti ya Machakos Kenya.
Mdadisi retweeted
High Court orders Police IG Kanja, DCI boss Amin and Ruai Police Station boss to produce missing Tanzanian activist Twaha Mwaiyapa, dead or alive, in court on Monday, November 2, and present the arrest warrant.
Mdadisi retweeted
For context academic books sell like 50 copies in their life time.
You, my friends, helped me sell about 400 copies in the first half of the year. I am so tickled ❤️❤️❤️
Thank you! God bless you. I am happy to send chapters to anyone considering assigning the book.
Replying to @EduTalkTz
@EduTalkTz Profesa wako wa saikolojia ya elimu anakusalimia huku, nakala kwa washunuzi wenzake, @Sajokm @bwaya
link.springer.com/article/10…
Binafsi nafurahi sana wanafunzi wanavyotupostia hizi video.
Nafurahi kwa sababu zinaonesha uhalisia ambao kila mara unapuuzwa kwa nyimbo na mapambio ya watawala.
Kwangu mimi hizi video ni aina ya protest.
Ni kilio cha mamilioni ya wanafunzi waliotelekezwa kwenye mabanda yanayoitwa shule pasipokuwa na uwezo wowote wa kutoa elimu.
Ni ujumbe wa wanafunzi kwa mamlaka na umma kwa ujumla.
Ni barua inayosema “mnavuna mlichokipanda. Ukipanda upuuzi utavuna upuuzi na unapovuna upuuzi usiogope kujivunia mavuno yako.”
Kazi ya shule, among other things, ni kutengeneza character ya mwanafunzi.
Character inajengwa kwa kum-keep busy mtoto na mambo ya msingi, ikiwemo ufundishaji, vitabu, michezo, vilabu vya fani mambalimbali, kazi za mikono, na mengine mengi ya aina hiyo.
Mtoto aliyepo busy kufanya experiments maabara, kujenga kipaji chake kwa kushiriki michezo mbalimbali, kusoma vitabu maktaba, kujihusisha na mashindano mbali mbali ndani na nje ya shule, etc., kamwe hawezi kuwa na muda wa kufanya jambo lolote linaloonekana kuwa la kipuuzi.
Hawezi kwa sababu amefanywa kuwa busy na mambo ya msingi.
Kinyume chake ni sahihi pia. Mtoto anayenyimwa mambo yote haya, ni lazima atafute namna ya kuziba ombwe ikiwemo kwa kufanya mambo ya kipuuzi.
Theory nyepesi ni hii: Mwanafunzi lazima awe busy. Usipomkeep busy na mambo ya msingi na tija, atakuwa kept busy na mambo ya kipumbavu kwa sababu hiyo ni nature yake.
U-busy ndio shule halisi ya mtoto; kinachomkeep busy ndicho kinachomfundisha.
Ni bahati mbaya sana kwamba tuna utamaduni wa kufunika kombe mwanaharamu apite.
Baada ya hizi video kuonekana, ghafla maaskari wa maadili wameingia kazini.
Mara Waziri Gwajima ametoa tamko; Mara Mkuu wa Wilaya amewaita wanafunzi na wazazi na kuwashurutisha kuomba msamaha.
Maelfu ya wanafunzi wa TEMEKE walipopata zero na Div 4 mwaka jana, fasta tukamuona Mkuu wa Mkoa ameita wazazi na walimu na kuanza kulaumu “malezi mabovu.”
Jibu lake? “Tutajenga shule za kijeshi zenye walimu wanajeshi….”
Yani kwa sababu tu una nyundo, basi kila kinachoonekana kwako kinageuka msumari.
Matokeo yake tunafunika kidonda huku tukiamini tumekiponya. Tunaacha tatizo, tunadeal na product ya tatizo.
Uhalisia ni huu: KAMA HATUTOKUBALI KUBADILISHA HAYA MABANDA YA NG’OMBE ILI YAWE SHULE, HAKIKA TUJIANDAE KISAIKOLOJIA.
Niwakumbushe tu kuwa zaidi ya wanafunzi million 3 wanaanza kidato cha kwanza kwa mkupuo January 2028.
Wacha tuendelee kujitekenya na kucheka!!


























