Zee la X-Factors retweeted
🚨 Winga na Mshambuliaji wa Fc Dallas 🇺🇸 Bernard Kamungo (24) amekamilisha taratibu zote za kuitumikia timu ya Taifa ya Tanzania 🇹🇿
✅ Passport amepata na yupo tayari kuitumikia Taifa Stars kwenye mechi zijazo.
Zee la X-Factors retweeted
Watu wanauliza SIR WICKNELL na GINIMBI ni nani alikua na mkwanja mrefu?
Kiukweli kwa wote wawili hakuna aliewahi kutajwa na FORBES licha ya kua walikua na hela
Lakin kwa mtazamo wa kawaida SIR WICKNEL ni moto mwingine
Circle yake tu na viongozi wakubwa afrika sio mchezo
Zee la X-Factors retweeted
🚨JUST IN: Mshambuliaji wa club ya simba LIBASE GUEYE atakua nje ya uwanja kwa wiki nne hadi tano kama nilivyoripoti mwanzo
Maumivu ya kifundo cha mguu yamekua kikwazo kwake, hivyo ataikosa dabi na kashaaondolewa kambin
Steve backer kwa sasa anamuandaa keltso kwaajili ya dabi
Zee la X-Factors retweeted
🚨Heavy weight dullah kuhusu Libase Gueye:
“Libase ni kama kimbunga kinavyopita kinasomba kila kitu akuna mchezaji anayecheza Ligi kuu Tanzania wakulingana nae mchezaji mzuri ni pamoja na upatikanaji wake.”
Zee la X-Factors retweeted
Hii October sijui itakuwa Ngumu kama September!? 🤔
Mwenyezi Mungu tunakuomba Utufanyie Wepesi🙏
Zee la X-Factors retweeted
❝No matter how big your house is, how recent your car is, or how big your bank account is, our graves will always be the same size stay humble❞
_MIA KHALIFA
Zee la X-Factors retweeted
Mnyonge mnyongeni lakin haki yake mpeni
Aliemleta WAKUMA pepon moja kwa moja
Zee la X-Factors retweeted
🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰
👉 Size S,M,L,Xl,& XXL
👉Bei 25,000/=
Wa.me/+255717251747
Au 0713800448
📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
Zee la X-Factors retweeted
Vitnha nini tena!! wewe unafunga magoli ya vichwa tangu lini!?
Au ndio kutaka kuuonesha umma kwamba Ronaldo alikua tatizo!!? 😒
































