
Blackvibez๐Itโs all fun nothing serious |Fan @SimbaSCTanzania| @ManUtd.
Tanzania
Joined June 2021
- Tweets66.1K
- Following1.1K
- Followers5.4K
- Likes69.1K
Unapovaa kutoka kwenye mizunguko yako, ni ngumu sana kuonekana nadhifu unapokosa pochi nzuri. Onekana nadhifu na mrembo, pochi ni bei rahisi na nzuri mno. iG @styleheaven
Whatsapp +255 692 107 449/+255 686 897 536
Special one ๐น๐ฟ๐จ๐ฆ retweeted
๐จ BREAKING: Lionel Messiโs father, Jorge Messi, has passed away. ๐๐๏ธ
Our deepest condolences to Messi and the entire family.
Special one ๐น๐ฟ๐จ๐ฆ retweeted
#OnThisDay in 2โฃ0โฃ1โฃ9โฃ we visited Tanzania to face Simba SC in a friendly ๐น๐ฟ
An unforgettable experience sharing football and friendship with our Tanzanian friends โค๏ธ๐ค
Special one ๐น๐ฟ๐จ๐ฆ retweeted
Tunaomba msaada wako wa dhati kwa mdogo wetu ambaye anahitaji kufanya dialysis kwa ajili ya kuendelea kuishi. Kwa bahati mbaya mashine ya kutolea damu/sumu inayotumika katika matibabu yake imeharibika hivyo imesababisha ashindwe kuendelea na huduma hiyo muhimu.๐๐พ
Special one ๐น๐ฟ๐จ๐ฆ retweeted
๐๐๐๐๐ ๐
๐๐ ๐
๐๐
๐ ๐๐๐๐ร๐ ๐๐๐๐๐.
Dunia imeona bao bora zaidi mwaka huu ni kutoka kwa Mwamba wa Lusaka, Clatous Chota Chama. Utamu wa bao hili zaidi ni kumfunga mtani na kuchangia mtu kuliwa kichwa.
Jambo la kufanya kwa Mwanasimba ni kutag akaunti ya @FIFAcom ujumbe uwafikie mapemaaaaa!!! #NguvuMoja
Special one ๐น๐ฟ๐จ๐ฆ retweeted
๐จ๐จ| MEAN WHILE IN TANZANIA, A PUSKAS WORTHY GOAL WAS SCORED. โฝ๏ธ๐ฅ
Special one ๐น๐ฟ๐จ๐ฆ retweeted
๐ฌ โBao la pili la Simba lilikuwa la video haswa. Ni bao ambalo Simba hawakulitendea haki kwa sababu hauwezi kufunga bao kama lile halafu mechi ikaisha sare au ikaishia katika upande wa timu iliyofungwa. Lingekuwa bao la ushindi lingesisimua zaidi.
Litabakia kuwa miongoni mwa mabao bora kuwahi kufungwa katika mechi za dabi ya Kariakoo nchini.โ
โ Legend, Edo Kumwembe.
Special one ๐น๐ฟ๐จ๐ฆ retweeted
For Clatous Chamaโs stunning derby goal, hereโs how it can enter the conversation for the FIFA Puskรกs Award:
โข The goal must be scored within FIFAโs eligibility window for the year
โข FIFAโs technical panel selects the official shortlist (no public submissions)
โข It must meet key standards: spectacular execution, clean build-up (no foul/controversy) and top technical quality
What really helps goals like this go global:
โข Strong viral visibility across social media
โข Constant sharing and replay value
โข Media and commentator attention
โข Inclusion in major highlight reels monitored by FIFA
This is where fans come in:
If you believe this goal is special, donโt just watch it once but also share it widely, repost it and tag @FIFA multiple times so it reaches the right eyes.
The more it travels, the bigger the chance it gets noticed.
#NguvuMoja
#Chama
#kariakooDerby
#tanzania
#fifa
#fifamedia
#AfricanFootball
Special one ๐น๐ฟ๐จ๐ฆ retweeted
๐น๐ฟ Meanwhile in Tanzania, Clatous Chama just put his name in the ring for the 2026 Puskas award.
The Zambian baller pulled off an absolute MADNESS in the Kariakoo Derby. ๐ฟ๐ฒ๐ฎโ๐จ
Special one ๐น๐ฟ๐จ๐ฆ retweeted
Leo kazaliwa BABA WA WAPENDA HAKI.
Happy birthday Mwenyekiti wangu mimi.
Special one ๐น๐ฟ๐จ๐ฆ retweeted
Tafuta pesa kwa bidii, lakini usimsahau Mwenyezi Mungu maana mbele yake ndipo mafanikio ya kweli huanzia. ๐
Special one ๐น๐ฟ๐จ๐ฆ retweeted
Kadri mahusiano yako na Mungu yanavyokuwa imara,
ndivyo maamuzi yako, mwenendo wako, na kesho yako vinavyobadilika.
Hujachelewa, Anza leo ๐๐ผ
Special one ๐น๐ฟ๐จ๐ฆ retweeted
Mungu wangu natumainia kwako, nitapewa Kwa njia ya Yesu kristo, Neema zako Duniani na utukufu mbinguni, kwani ndiwe uliyeagana hayo nasi, nawe mwamini... Amina๐


































