Tanzania Wall Street retweeted
KINEPA AWATOLEA UVIVU WANAHARAKATI UCHWARA NURUVAZI, MANGE KIMAMBI NA MARIA SARUNGI; ADAI KUNA UOZO KIBAO KWENYE HARAKATI ZAO.
Ila @ChademaTZ2 wengine wako msibani Sugu yuko busy akichezea tako. OK, haina shida. Twende mbele turudi nyuma ukipata pesa kajenge kwenu.
Tanzania Wall Street retweeted
TANZANIA YAONGEZA UWEZO WA UZALISHAJI WA MABATI, YAZIDI MAHITAJI YA NDANI
Tanzania inazalisha tani 260,000 za mabati kwa mwaka dhidi ya mahitaji ya ndani ya tani 130,000, sawa na uzalishaji unaozidi mahitaji kwa mara mbili.
Hali hiyo inahusishwa na hatua za kulinda viwanda vya ndani kupitia kuongeza ushuru wa mabati yanayoagizwa kutoka nje kutoka asilimia 10 hadi 35, kuondoa misamaha ya kodi kwa bidhaa zinazozalishwa nchini na kupanua matumizi ya gesi asilia viwandani ili kupunguza gharama za uzalishaji.
Tanzania Wall Street retweeted
BONI YAI AKUMBANA NA AIBU NZITO BAGAMOYO
Picha hii iliyopigwa Bagamoyo Aprili 26, 2026 katika Mkutano wa Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani, Boniface Jacob (BoniYai) inaacha ujumbe mmoja mzito kwamba Vijana wa Tanzania wamechoshwa na harakati za CHADEMA za kuwatumia kuleta vurugu na machafuko huku Viongozi wa chama hicho wakineemeka kwa kupata fedha toka kwa wafadhili wao.
Kwa taswira hii, ni wazi kuwa wananchi wengi hawavutiki kujitokeza kusikiliza sera cha kuleta mpasuko ndani ya Nchi, jambo linaloweza kutafsiriwa kama ujumbe wa kimya kutoka kwa jamii kwamba siasa zisizogusa maisha yao moja kwa moja hazina nafasi kubwa mioyoni mwao.
Huu ni mwitikio hafifu, taswira ya aibu, na ishara kwamba wananchi wanataka hoja zenye majibu ya maisha yao β si maneno ya majukwaani pekee.
#RipotiYaTumeImefichua
#TumeYaUchunguziReport
Wafanya Vurugu Walilipwa
CHADEMA HALI TETE PWANI
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Chama cha Demokrasia na Maendeleo kililazimika kutumia picha mbalimbali za miaka iliyopita ili kuonyesha uwingi wa watu kutokana na uhalisia chama hicho kupoteza ushawishi miongoni mwa watanzania.
Hawa nguchiro boss wao nae ni nguchiro @HecheJohn
nitter.cf/i/status/2048460588867β¦
39
Tanzania Wall Street retweeted
Hili andiko mpaka ripoti ya chande imelitumia.
Mnalolote la kumshauri kapachino.π
These chaos orchestrated by @mangekimambi and @MariaSTsehai are unacceptable
Wanaharamu @mangekimambi @MariaSTsehai wakamatwe haraka kwa kusababisha madhira makubwa nchini kwetu
Tanzania Wall Street retweeted
Replying to @kigogo2014
Jukumu la Jaji Chande katika uchunguzi wa Lebanon lilihitaji uchambuzi wa kutoegemea upande wowote chini ya shinikizo. Utaalamu huo huo utahakikisha ripoti ya Tume ya Uchunguzi kwenye mtukio ya 29 Oktoba sio tu inaaminika bali inatolewa kwa kuzingatia sheria za ushahidi na kanuni za kibinadamu na vigezo vya kimataifa na kuondoa porojo za wanaharakati kutaka wazungu kuja kuchunguza mambo ambayo Tanzania ina uwezo wa kuyachunguza.. #TumeYaUchunguziReport
RipotiYaChande #UkweliOktoba29
Wakamatwe haraka
Ukweli unaanza kufichuka! Vurugu hazikuwa za bahati mbaya zilipangwa, zikarekodiwa, na kusambazwa ili kuwachochea wananchi.
#UkweliOktoba29
Tanzania Wall Street retweeted
Tanzaniaβs Commission of Inquiry : Riots Were Planned, Funded, and Strategically Coordinated
Africa J&L Correspondent, Dar es salaam
A commission of inquiry has concluded that recent riots and demonstrations were not spontaneous, but instead carefully planned, coordinated, and financed. According to the findings, those behind the unrest also recruited and trained individuals to carry out acts of violence.
The report states that vulnerable groups, including youths and motorcycle taxi operators known as bodaboda riders, were paid between TZS 10,000 and 50,000 over a period spanning October 12 to 28. In addition to financial incentives, recruits were reportedly offered training, employment opportunities, and promises of higher income.
In one case cited by the commission, a 16-year-old boy from USA River in Arusha was allegedly given TZS 50,000 and promised up to TZS 5 million in exchange for active participation in the unrest.
Investigators identified at least 16 different tactics used to organize and mobilize participants. These included setting up roadblocks, burning public property, using signals to identify one another, and triggering disturbances in multiple locations at the same time apparently aimed at overwhelming law enforcement.
The commission says the organizers had several objectives, including disrupting the general election process, sending a message to the government, and engaging in looting and theft.
The findings were presented by Justice Othman Chande.
Tanzania Wall Street retweeted
JURISDICTION VS JUSTICE FOR ONLINE CRIMINALS
After orchestrating chaos that resulted in deaths and the destruction of property, including public infrastructure, will @mangekimambi and @MariaSTsehai face justice in a court of law? This is the biggest question in Tanzania today, as the report from the commission of inquiry is set to present its findings to the President of the United Republic of Tanzania.
Following the incident, @rollymsouth publicly acknowledged, albeit mistakenly, the receipt of approximately $2 million from the Ford Foundation, allegedly intended to facilitate unrest. However, no public data is available regarding the arrest of the culprits.
Kila nikifiria hii kauli aliyoitoa huyu mwanaharamu Disemba 2025 @mangekimambi nachoka. Ipo siku haki itashinda, Utafikishwa mbele ya vyombo vya sheria
Tanzania Wall Street retweeted
Samia Suluhu Hassan Stadium π-Arusha.
Maneno tumewaachia upande wa pili, Sisi ni matokeo tu. Kazi Na Utu Tunasonga Mbele.

































