Vee_Gaby (@Vee_gabby) profile picture
Tanzania
Joined November 2018
Photo by Vee_Gaby (@Vee_gabby)Photo by Vee_Gaby (@Vee_gabby)Photo by Vee_Gaby (@Vee_gabby)Photo by Vee_Gaby (@Vee_gabby)Photo by Vee_Gaby (@Vee_gabby)Photo by Vee_Gaby (@Vee_gabby)Photo by Vee_Gaby (@Vee_gabby)Photo by Vee_Gaby (@Vee_gabby)Photo by Vee_Gaby (@Vee_gabby)Photo by Vee_Gaby (@Vee_gabby)
Vee_Gaby retweeted
Saluti kwa Amiri Jeshi Mkuu
9
10
407
馃搷 Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar. Tanzania ni salama. Tanzania ni moja. Tanzania ni yetu.
16
16
233
饾悓饾悡饾悢 饾悥饾悁 饾悐饾悁饾悪饾悎. 饾悓饾悢饾悆饾悁 饾悥饾悁 饾悐饾悁饾悪饾悎. Rais na Amiri Jeshi Mkuu, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan yupo katika Shule ya Kijeshi ya Ulinzi wa Anga (SKUA), Tanga. Leo anafungua kikao cha ndani cha viongozi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).
14
16
556
Jumatatu njema ya kazi katika Shule ya Kijeshi ya Ulinzi wa Anga (SKUA) mkoani Tanga, kufungua Mkutano wa 9 wa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Makamanda.
10
152
12
715
51,427
Basi msiandamane ili muwakomoe.
Wameandaa Mamia Kwa Maelfu Ya Vijana Wa UVCCM,Mikoa Yote,Ili Disemba 09, Wavunje Maduka Na Kupora Ionekane Kwamba Waandamanaji Ndiyo Wameiba Na Kufanya Uharibifu Wa Mali Za Watu.
91
Replying to @lifeofmshaba
kila siku nasemaga we jamaa huwa unakurupukia habari sana mpk unakera hapa ni kambi ya wakinbizi hawaruhusiwi kumiliki pkpk
1
52
Replying to @lifeofmshaba
Nyie nae mnatumia propaganda za kizaman kuwaaminisha Watu upumbavu mbona hizi picha na VIDEO za September
2
1
1
229
Swali la kujiuliza, mtu anayesema uongo ili wananchi waandamane, Je kweli anawatakia mema wananchi? Lengo lake ni kutetea haki au ana malengo na maslahi binafsi?
Replying to @lifeofmshaba
Nyie nae mnatumia propaganda za kizaman kuwaaminisha Watu upumbavu mbona hizi picha na VIDEO za September
1
79
Replying to @lifeofmshaba
You mean government can come and take your property for no reason hii imezidi sisi kama wakenya haturuhusu hayo estafrica lazima tuanguke naye tarehe ni 9 total shutdown all border no exit only entrance for Gen z SOT
49
Replying to @lifeofmshaba
Tutapatana na hao 9-12. . Wafanye wanachokitaka
48
Septemba 30, 2025.
Replying to @lifeofmshaba
A whole government and this is what's they're thinking will stop the demonstrations it's like blocking diarrhea with your hands 馃様
39
Tumieni hata asilimia moja ya akili zenu.
This post is from a suspended account. Learn more
41
Video ya miezi miwili iliyopita.
Replying to @lifeofmshaba
Wanafanya vizuri Mno! Wanasaidia kuchochea zaidi #D9 inanze mapema
35
Acha kuamini kila unachokiona.
Replying to @lifeofmshaba
Mwigulu alijidai kuwa pikipiki ziliharibiwa wakati Jeshi la Police lilikuwa na msako kuwauwa boda boda na kuchukua pikipiki zao. Shame
31
Video ya miezi miwili iliyopita, Wanadanganya wananchi.
Replying to @lifeofmshaba
Vijana waliokuwa wamejiajiri kupitia hizo pilipili watatafuta plan B. Unalijua hiyo plan B?
26
UONGO. Video ya zamani.
Replying to @lifeofmshaba
Hata Arusha kabla Mwigulu hajawahutubia USA River waliwakamata bodaboda na kuwaweka ndani juzi. Liganga/USA river ndiko chanzo cha maandamano kwa huku Arusha. Na Nahisi sehemu kadhaa hali ni hii
21
Video ya tangu mwezi wa 9, mnaletewa leo na ninyi mnaamini.
Replying to @lifeofmshaba
Wanapeleka wapi pikipiki za watu? Ndo sasa mnafikiri mmewaweza? Vitu kama hivi ndio vunasababisha tudai Haki alafu mseme kuna Amani. Bila Haki hakuna Amani
25
Acha kuamini kila unachokiona. Tumia akili kidogo kujiridhisha kama taarifa ni sahihi.
Replying to @lifeofmshaba
Huu uhuni utakomeshwa kwa watu kutoka December 9th, hatuwezi kuishi kwenye nchi inayoongozwa na wahuni namna hii, yaani tunaishi kwa wasiwasi, muda wowote tunawaza kutekwa, halafu wanaotuteka wanaogelea kwenye maisha mazuri, ni ussenge yaani
23
Video ni ya Septemba 30, 2025. Naona mmepaniki baada ya kuona Watanzania hawadanganyiki, sasa mnatafuta sababu za uongo ili kuwaingiza barabara. cc @Getrude_mollel @RashdaZunde
Hii sasa ni paniki kubwa sana kuna uhuni mwingi sana unafanywa
29