Wanataka maridhiano sio kubadili yaliyopita bali kuendelea kutawala yanayokuja
Kuridhiana na mtu anayewateka maelfu na kuwaua,ameua maelfu apate kutawala hali yakuwa amekataliwa
Kwahiyo tukamuombe aache kututeka na kutuua?
Kwahiyo tukampe uhalali wa mauaji aliyoyafanya?
ZEE LA GLOVES🧤 retweeted
Hadi watoto, malaika wa Mungu na wajawazito na vichanga tumboni walipigwa risasi na Samia Suluhu October 29 2025……..
Hii nyimbo ya simba ya kiba ni moja ya zawadi kubwa amewaachia wanasimba @OfficialAliKiba
ZEE LA GLOVES🧤 retweeted
Maisha yetu ni fumbo sana dereva kaongea kwa hisia kali hadi wanaume wenzake wamelia💔
Tujitahidi kuishi safi nilichogundua madereva wanapendana sana🙌🏾
ZEE LA GLOVES🧤 retweeted
🚨🚨 أجواء معسكر البرازيل مشتعلة بسبب القميص رقم 10 🇧🇷🔥
أنشيلوتي حسم قراره بإعطاء الرقم 10 لفينيسيوس جونيور، بينما سيرتدي نيمار القميص رقم 13 في كأس العالم 😳
ZEE LA GLOVES🧤 retweeted
Izo nguvu walizotumia kupiga makofi ndo watazitumia kusimama kwenye daladala hatuwapishi
ZEE LA GLOVES🧤 retweeted
MAANDAMANO NI DECEMBER 9
MAANDAMANO NI DECEMBER 9
MKUMBUSHE NA MWENZAKO!
MAANDAMANO NI DECEMBER 9
MKUMBUSHE NA MWENZAKO!
MAANDAMANO NI DECEMBER 9
MKUMBUSHE NA MWENZAKO!
MAANDAMANO NI DECEMBER 9
MKUMBUSHE NA MWENZAKO!
Kabla ya kulala Just Retweet ✊️
ZEE LA GLOVES🧤 retweeted
Kwanini kwenye ile orodha ya uharibifu hakuna idadi ya vituo vya kupigia kura?😛
Sababu ni kwamba ukisema vituo vya kura 1000 vimechomwa watu watahoji huo uhalali wa uchaguzi unatoka wapi kama vituo vimechomwa😃
ZEE LA GLOVES🧤 retweeted
Repost 200
NEW - ‘Oh my God, this is our Tanzania’: CNN investigation shows police fatally shooting protesters, signs of mass graves - w/@LarryMadowo @FlorenceDAttlee and help from @BenDoBrown cnn.com/2025/11/21/africa/ta…
ZEE LA GLOVES🧤 retweeted
🧵𝐓𝐨𝐩 25 𝐒𝐞𝐫𝐢𝐞𝐬 𝐀𝐛𝐨𝐮𝐭 𝐆𝐚𝐧𝐠s𝐭𝐞𝐫𝐬 & 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚 ☠️ 10/10
Series ipi Unaipenda Sana?
1.BREAKING BAD
ZEE LA GLOVES🧤 retweeted
Tanganyika itasimama , Tanzania italindwa . Hongera sana kwa Wanajeshi wote wanaelewa hoja za Wananchi
Hongera kwa wanajeshi msiokubaliana na Ukatili, tunategemea kuona kauli zenu nyingi kukemea ukatili na kuunga mkono Wananchi
Wanajeshi wamesema hawatopiga wananchi wala kupambana nao
Nchini Nepal , Polisi Walidhibitiwa na Jeshi kutoua wananchi





























