
Son & Hubby n Dady Educator, Preacher, Charming Open-hearted & Minded #Unpredictable
Shinyanga, Tanzania
Joined May 2011
- Tweets15.8K
- Following2.1K
- Followers1.9K
- Likes7K
Tutulie tuwe watazamaji, wakati WA Carrick watu wakipiga kelele nyingi zenye matarajio mengi lakini Leo tupo pale pale na tumerudi hatua nyingi nyuma zaidi ya Amorim alipotuacha
38
Wakati yanatokea mlikaa kimya Leo ndio mnakumbuka kuwa taifa lilikosea na Mungu alikosewa? Acheni hizo mambo
Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) imetoa wito wa kitaifa kwa makanisa yote wanachama nchini kuungana katika maombi maalum ya toba, rehema, amani na haki, kuelekea kutimiza mwaka mmoja tangu kutokea kwa matukio ya mauaji na umwagaji damu wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025.
Wito huo umetolewa katika taarifa rasmi iliyosainiwa na Mwenyekiti wa CCT, Askofu Dkt. Stanley Hotay ikielekezwa kwa Maaskofu, Viongozi Wakuu, na Wakuu wa Makanisa yote wanachama wa CCT nchini.
Katika taarifa hiyo, CCT imebainisha kuwa ni wajibu wa Kanisa kumwomba Mungu kulirehemu taifa na kuponya majeraha ya matukio yaliyopita, ili kuzuia kujirudia kwa umwagaji damu na kuvunjika kwa amani.
"Wote tunafahamu kuwa ni takribani mwaka mmoja tangu matukio ya mauaji, umwagaji damu na uvunjifu wa amani kutokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025, hivyo kama Kanisa ni wajibu wetu na inafaa tumwombe Bwana, Mungu wetu; Aturehemu na kutusamehe kwa dhambi na makosa wetu kama taifa na kwa kumwaga damu isiyo na hatia katika Taifa". Imeeleza taarifa hiyo.
Dkt. Hotay ameongeza kuwa maombi hayo yanadhaniwa kuwafariji waliofiwa na kuleta uponyaji kwa waliojeruhiwa, akisisitiza"Tumwombe Mungu atulinde dhidi ya kurudia matukio kama hayo na atujalie amani, haki, umoja na maridhiano ya kweli katika Taifa letu la Tanzania".
Akinukuu Neno la Mungu kutoka 2 Mambo ya Nyakati 7:14, Dkt. Hotay ameitaka jamii kujinyenyekesha mbele ya Mungu, kuacha njia mbaya ili Mungu aisikie nchi na kuiponya.
Mbali na maombi ya amani na haki, taarifa hiyo ya CCT imegusia pia utabiri wa hali ya hewa uliotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) unaoonesha uwezekano wa mvua kubwa na maafa, ikihimiza waumini kuomba Mungu kuepusha mafuriko, uharibifu wa mali, mazao, miundombinu, magonjwa, na kupoteza maisha.
Dr. Hotay ameeleza kuwa waumini wanapaswa kuomba ili Mungu ajaalie mvua za wastani zitakazosaidia kilimo na ustawi wa taifa, pamoja na kupewa hekima ya kuchukua tahadhari zinazostahili.
Akinukuu Maandiko Matakatifu ya Isaya 43:2 na Zaburi 46:1, Dr. Hotay amesema, "Kitabu Cha Zaburi 46:1 kinatukumbusha kuwa: 'Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso.' Kwa hiyo, sisi kama Kanisa na viongozi tuendelee kumtegemea Mungu kwa imani, hata katika nyakati hizi za matetesho ya Maafa na majaribu ya amani na haki katika Taifa Letu, huku tukiendelea kutenda kwa upendo na kujenga amani katika jamii zetu".
CCT imewataka viongozi wote wa makanisa wanachama kuongoza maombi hayo katika ibada, mikutano ya maombi, na vikundi vya waumini kote nchini.
44
Exactly
Replying to @Thomas_Vera_
This didn't happen. They've had a Convo and Tywin noticed that Arya is not a low born girl but he didn't know that the girl is from the north.
26
You reminded me of 1 servant of God, who said. Be aware of people they have tendency of crucifying their Messiah's.
And thats exactly what man utd did
Ruben Amorim to Man United was That kind of situation where God sends you a helper and u kill the person by urself with silly attitudes and antics.
He brought back Culture and Standards at the club.
He taught the players how to be hungry for the game.
He made sure that every place earned his spot on the team
No team has beat Liverpool at Anfield for some years now, but he did it with good football.
But then the English Media, The man United Legends and some stupid fans came for him. Why?
- He isn't English and not a Man United ex-player
- He told Mainoo to train and develop better
- He sent the bad eggs, Rashford and Garnacho out
- He doesn't play the back Four
- He was against entitlement mentality from Academy kids
- He Plays a Back 3 and doesn't have the United DNA
- He calls the board, INEOS and GLAZERS out
It's funny now cos we have Micheal Carrick, who is a Man United ex-player, has the United DNA and plays both Mainoo and Rashford, doesn't talk to the club and even plays a Back 4, but still yet we are loosing.
I don't want Carrick sacked ohh, i want us to enjoy Carrick Ball
1
23
Acha man utd wajifunze kwa somo lenye maumivu maana walionywa, kipindi Amorim yupo wakipiga kelele Sana ooh team hivi team vile kumbe jamaa he was fixing problems to the core,walipoona ahueni wakaanza kumuingilia na mwisho wa siku wakamfukuza aliporeact. Acha wachapike
Kuna kocha atatuacha tukiwa 16th 😂😂😂ngoja niwakumbushe shida mlizosema kipindi kile.
-
FORMATION
STYLE
DNA
YOUTH
6 DEFENDERS
FREE MAINOO
BRUNO DEEPER ROLE
NENO "SUFFER"
MIS-PROFILING
—
MTU WAO KAPEWA PRE-SEASON ILA MISHENYENTOOO INABONDWA NA INAPIGWA KAMA KAWAIDA.
2
4
291
Amorim was scapegoated with this so called leadership, now it's is Carrick's turn but when are they going to be accountable? Wilcox n the rest?
Man United fans, get ready.
We are almost there. It’s coming. And it’s getting closer every single week.
I have never wished for my club to lose games just to get a manager sacked. I still don’t. But I cannot wait for Carrick to be sacked.
This experiment has gone on long enough.
Remember when INEOS kept talking about signing the best in class? About elite standards? About building a world-class football operation?
Was Carrick really the best-in-class managerial appointment? Or was he simply the least qualified option they could find?
Because if they are going to sack him barely six months after handing him a permanent contract, then serious questions need to be asked.
Who approved this appointment?
What was the long-term plan?
What exactly did they see in Carrick that justified making him the permanent manager?
You cannot preach elite standards and keep making decisions that scream incompetence.
And this is bigger than Carrick.
INEOS have turned Manchester United into a circus of their own making. Managers come and go. Executives get appointed and dismissed. Millions get wasted. The standards keep falling.
At this point, I genuinely believe INEOS are no better than the Glazers. In some ways, they might actually be worse. The Glazers destroyed this club through years of neglect. INEOS came in promising to fix it, only to give us more chaos, more questionable decisions, and more reasons to lose faith.
The difference is that INEOS sold us a dream of competence. That makes this failure even more embarrassing.
And when the inevitable sackings come, I hope Wilcox is on that list too.
You cannot keep blaming managers while protecting the people who make the appointments, build the squad, and set the direction of the club.
If Carrick goes, the people responsible for putting him there must answer for it.
Manchester United do not need another scapegoat. They need an entire leadership reset.
INEOS out. Wilcox out. Enough is enough.
Victor Masatu retweeted
Viongozi wa Tanzania, tujifunze kuwa na kiasi na kutosheka wakuu, mnakula mnoo aisee.
Bro, kuna tales za kuhadithia kwa mapito tumepita anyway life is for the living let's live it
hmm....kuna demu nlimnunulia necklace wakati namvisha akasema " una mpango gani na mimi mbona unanijali sana " sikujibu kitu nlivomaliza kumvisha ndo ikawa siku ya mwisho kuonana nikakumbuka ile verse ya jermaine " don't save her , she don't wanna be saved"
1
1
53
Victor Masatu retweeted
Kushindana na ubaya kuna maana zaidi pale wema unapohubiriwa kwa sauti kubwa kuliko ubaya. Tusiupe ubaya jukwaa kubwa kwa kana kwamba una nguvu kuliko wema au kuna mashindano kati ya wema na ubaya. Wema unapoongezeka, ubaya hupoteza nafasi kabisa.
Niliwahi kuombwa kusimamia harusi ya rafiki yangu. Nikampa sharti moja, sherehe ifanyike mchana na watoto wadogo waruhusiwe kuhudhuria. Anyway, mpaka leo hii , ukinikaribisha harusini kama wanangu wapo nitakuja nao hata kama kadi imeandikwa “
watoto tunawapenda lakini wabaki nyumbani”
Mchungaji aliniuliza, “Lema, umefikiria nini?”
Nilimweleza kuwa watoto wanahitaji kuona process ya ndoa na familia nzuri ili wajenge taswira chanya na kuzitamani tangu wakiwa wadogo. Mtoto akiona heshima, upendo na furaha ndani ya familia, hujifunza kuwa hayo ni maisha yenye thamani ktk siku za usoni.
Hapo ndipo tunapopaswa kutafakari kuhusu “normalization.” Tunapousema ubaya kwa kuutangaza, kuujadili na kuuonyesha mara kwa mara, bila kukusudia tunaweza kuufanya uanze kuonekana wa kawaida.
Ndiyo maana si kila ushindi dhidi ya ubaya unahitaji kelele zaidi. Wakati mwingine tunahitaji kuupa wema jukwaa kubwa zaidi.
Kama tunataka watoto wapende maisha yenye thamani, tuwaonyeshe maisha hayo. Kama tunataka waheshimu maisha ya adabu na familia, tuwaonyeshe familia zenye heshima. Kama tunataka wachague wema, waone wema ukiishi kupitia sisi.
Tusifanye ubaya kuwa maarufu kwa kuutangaza, tufanye wema kuwa maarufu kwa kuuishi. Wema usibaki kuwa hoja, uwe mfano.
Usibaki kuwa mahubiri, uwe maisha.
Mindset Matters.
Victor Masatu retweeted
Nafikiri, au labda naota, kwamba hata MAJAJI wanaweza kuwa wanafurahia kusikiliza hoja na mawasilisho ya M/kiti Lissu. Natamani kesi hii ingekuwa ikirushwa moja kwa moja, kwa sababu kile kinachoendelea hapa ni somo kubwa sana kuhusu sheria, ujenzi wa hoja, ujasiri, na namna ya kusimamia kile unachokiamini.
Kuwepo hapa mwenyewe ni somo kubwa. Kuna mambo ambayo huwezi kuyaelewa kikamilifu kwa kuyasikia au kuyasoma tu, wakati mwingine ni lazima uwepo, uyaone na uyasikie mwenyewe.
Kwa Mahakama, wito wangu ni mmoja tu, HAKI ITENDEKE.
Kila hoja isikilizwe kwa umakini na kwa haki, kila ushahidi upimwe kwa usawa na kwa mujibu wa sheria, na hatimaye, uamuzi utolewe kwa kuzingatia sheria, ushahidi na misingi ya haki.
Incase elnino don't show up as expected, what's next?
Hii ya kurudisha mitihani nyuma ni heri kwa usalama wa watoto ila nimewaza hizi taarifa za ghafla hivi, watahiniwa hasa kidato cha nne wataweza kuji udjust kiakili kweli? Au mitihani itafanyiwa reviews kidogo manake siku 20 zilizopungua kwa maandalizi ni nyingi sana.
1
1
73
Vijana wa sasa hawawezi kuelewa team imerudi nyuma kiasi gani
This is intensity. Fitness matched with talent and desire. nitter.cf/_Soccerxpress/status/2…
1
30
Victor Masatu retweeted
Nakumbuka "ng'ombe wa maziwa" walivoingia nchini maziwa yake yalipigwa vita, Now tunagonga mtindi na yoghurt bila maswali.
Kuku wa mayai na nyama nao walizua utata balaa, now chips zege kidari zinaliwa balaa.
Wabongo uwa vitu vipya vinatuogopesha sana haswa ushindani wa biashara.





















