BEBERU BIDEN (@WemaKako) header
BEBERU BIDEN (@WemaKako) profile picture

Advocate| Traveller| Challenger| Music Addict. Being myself is all that matters. I never look down on people coz I'm not the author of my path. 🇹🇿 by birth|

Dar es Salaam, Tanzania
Joined June 2012
Photo by BEBERU BIDEN (@WemaKako)Photo by BEBERU BIDEN (@WemaKako)Photo by BEBERU BIDEN (@WemaKako)Photo by BEBERU BIDEN (@WemaKako)Photo by BEBERU BIDEN (@WemaKako)Photo by BEBERU BIDEN (@WemaKako)Photo by BEBERU BIDEN (@WemaKako)Photo by BEBERU BIDEN (@WemaKako)Photo by BEBERU BIDEN (@WemaKako)Photo by BEBERU BIDEN (@WemaKako)
So one day, I'm going to raise a girl child who's an orphan, make her see the truest dad in me and make her feel no lesser to my biological children. Then I'll have my happiness fulfilled on this earth. Help me God.
76
173
27
1,284
Acha usenge. Wamefaidika au wametendewa walichotakiwa kufanyiwa miaka 60 iliyopita?
Wananchi zaidi ya 8,757 kutoka vijiji vya Esilalei, Losirwa wamenufaika na mradi wa maji ulioghatimu shilingi bilioni 1.9 wilayani Monduli mkoani Arusha. #TikiKwaSamia #MamaYukoKazini
9
8
108
7,416
BEBERU BIDEN retweeted
Ukipata nafasi wikiendi hii kamsalimie SC Tundu Lissu gerezani Ukonga. Atafarijika sana. Utabarikiwa🤲
17
143
2
1,251
20,770
Nchi imefika mbali. ... Tutafika tu. 🤲🤲
4
8
82
3,744
“Stop lying. You abducted Ndiang’ui Kinyagia,” Man interrupts court proceedings to blast DCI lawyer for claiming they did not abduct the missing blogger
350
3,642
185
9,152
440,656
"Nikitoka ni mchaka mchaka." Mhe. @TunduALissu
10
164
3
741
11,374
Replying to @citizentvkenya
There is no way Ndiang’ui Kinyagia can leave his home and simply vanish from this world without a trace - Justice Chacha Mwita. nitter.cf/Nairobi_Leo/status/194…
There is no way Ndiang’ui Kinyagia can leave his home and simply vanish from this world without a trace - Justice Chacha Mwita.
3
18
122
16,007
“I am not interested in your drama. Produce Ndiang’ui Kinyagia, whether dead or alive,” Justice Chacha Mwita tells IG Kanja and DCI boss Amin Mohamed
400
6,014
269
14,834
555,927
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
LISSU BALAA! ATAMKA 'HAWATUWEZI' MBELE YA MAWAKILI WA SERIKALI NA POLISI, AWAACHA HOI KWA KICHEKO: youtu.be/J4BcX2S-WnU
2
3
28
1,780
Dakika tano zimeongezwa kukamilisha mchezo. #NBCPremierLeague #NguvuMoja
98
22
15
644
52,429
Waswahili walisema, "Ukichamba sana..." Anyway, shamba boy yake maelekezo. Mimi naelekezwa tu, hata nani awe boss wangu nitafuata. Karibu kamanda. Siku hizi nimegeuka kuwa mtazamaji hadi litimie ninaloliona. 🙏
5
9
58
2,576
BEBERU BIDEN retweeted
Nawaona, ila mkilinganisha elimu ya Tundu AM Lissu na elimu ya mama yenu.. sitaki kusema, Lissu is a G!! Na pia, hawezi kubali kushindana na Lissu kidemokrasia sababu ya uwezo mdogo. Yes, ana uwezo mdogo sana! Poleni. #NoReformsNoElection
40
200
3
1,503
46,689
Hi guys, nimefanya maamuzi magumu. Nimeamua kusitisha ajira yangu ya umbea kwa muda wa miezi 5, nitarudi kwenye umbea November 1 2025. Kuanzia leo for 5 months straight nitafanya siasa tupu! I think wito wangu hapa duniani ni huu wa kufanya harakati, nashindwa kulala na kuishi kwa raha knowing I can use my platform to make a change. Najua nitapoteza a lot of money ila naamini nitakuwa sawa tu for 5 months plus shemeji yenu ananisapoti 100% kwenye hii decision. Kaniambia kama hii ndio itakupa amani basi fanya for as long as you need to. Mtakao unsubscribe kwenye app yangu au hapa insta kwenye subscription I understand, kwa mtakaoendelea kulipia Mungu awabariki na ahsanteni na wengine naomba mjiunge kama kuniunga mkono. Kama mimi mmbea mkuu nimefanya maamuzi magumu ya kuacha umbea kwa miezi mitano naomba na nyinyi Watanzania muingie kwenye mfungo wa umbea kwa miezi mitano. Hakuna kuwa distracted na habari za mastaa mpaka uchaguzi utakapoisha, hata wavue nguo wanye barabarani hatushadadiii, hatuna time. Tunawafungia vioo wasaniii na mimba zao za plastic, na mahusiano yao ya plastic, na pete zao kupotea kiplastic, na kuachana kwao kiplastic na kurudiana kwao kiplastic, na beef za kiplastic. Yani umbea wowote au habari yoyote ya mastaaa kwa miezi 5 ijayo hatutaki. Kila ukioa habari ya umbea sehemu kemea kama unakemea pepo. CCM wamefanya investment kubwa ili kupambana na vita ya kwenye mitandao maana mitandao ndio imekuwa adui yao mkubwa ambae wanashindwa kumteka. Wameandaa matukio ya mlolongo ya wasaniii kuhakikisha watanzania wanapata burudani mpaka wasahau mateso yao, maumivu yao, malalamiko yao, haki zao, manyanyaso yao. WATANZANIA for the next 5 months tutadai haki yetu ya uchaguzi wa haki na uchaguzi huru, tutadai reforms ili tupate uchaguzi wa haki. Watanzania tuna haki ya kuchagua Rais tunaemtaka na tuna haki ya kuchagua wabunge tunaowataka ili tupate maendeleo. Tusikubali tena kuchaguliwa Rais na wahuni. Tusikubali kuchaguliwa wabunge na wahuni Sasa tunahitaji content, naomba wote mjitolee kuleta content za shida, mateso na maisha ya wananchi ambayo hawapati kesi ya taifa. Nitalipia pesa kidogo kwa content zenu. Sema NO REFORMS NO ELECTION!!!!!!!!
611
1,251
57
6,098
298,983
Kaswahili bado hapatikani !!😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Who will be the next ? Good guy
55
328
3
1,871
47,941
Seriously, Sina energy ya kupambana na watu wenye negativity. Mnajua nasimama wapi, so niacheni tu. I can't fight you. Washindi ni nyie. TIME WILL TELL🙏🙏
12
1,008
Jamani. Hata sijataka kusoma makala. Huyu ni Mtanzania, Mtanganyika. Alidhulumiwa na fedhuli, karudi kwa shangwe alipoitwa na bedui. Sasa amechoka 🥺🥺
Dr Nyambura Moremi bids farewell to National Public Health Laboratory thecitizen.co.tz/tanzania/ne…
1
2
28
2,320
BEBERU BIDEN retweeted
NAOMBA REPOST 1K🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
101
954
8
2,990
43,558
BEBERU BIDEN retweeted
Kupiga kura ukijua ccm wataiba uchaguzi ni kiwango cha mwisho kabisa cha kutojali utu wako. Jitafakari. #NoReformsNoElection
57
334
9
1,440
30,583
Nabii Samia 🤣🤣🤣🤣
13
7
1
59
4,774