As a doctor If you sabotage a life at these critical moments in one way or the other, You need to re-evaluate your choices in this medical field, and more important your humanity.
The decision to treat lies in your hands and no one else - Stay safe, strong and save lives🇹🇿❤️
5
1,269
Dr. Yasini Mustafa Joshua retweeted
Replying to @chapo255
Everyone is a boss at some capacity somewhere, But No one is a boss everywhere,
The question is how long do you drive or walk to realize you are no longer in control - you are in other bosses territory, and how you behave in and outside your bosshood.
To manimize effects of not being a boss and extending your bosshood influence, we have ‘partnership’ and ‘alliances’
That may come in many forms including working for another boss.
It should not be mistaken as weakness or submission, it is survival through strategic parnership and alliances.
Naomba kuwasilisha ndugu @chapo255
When people’s lives are at stake, there’s no room for doubt.
We are trained to save lives. it’s what we do best. Anyone who snatches a life in cold blood stands against us and the very duty we uphold.
Dear colleagues on ground, save those innocent lives when they reach you.
3
574
Dr. Hashimu Titho hatunae tena.
Ni huzuni na masikitiko makubwa sana kumpoteza daktari kijana, mchapakazi katika mazingira mabaya na ya kikatili kiasi hiki.
Allah amsamehe dhambi zake na awape kilicho bora zaidi familia yake.
Sisi ni wa Allah, na kwake Tutarejea
Baba Mzazi wa Daktari Aliyepotea na Mwili Kupatikana Coco Beach Azungumza
Dokta Hashimu Titho Kilosa alikua ni mwanafunzi wa udaktari bingwa katika Chuo cha Muhimbili na pia ni mtumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini (Mtwara).
Juhudi za kumtafuta Dk.Hashimu zilianza mwanzoni mwa mwezi wa tano baada ya kutopatikana kwa takribani wiki moja, ambapo baba yake, mzee Titho Kilosa ilimbidi kufika Dar es Salaam kufuatilia kilichojiri.
Siku ya Juni 04, 2025, iliweza kuthibitika kuwa mwili wa Dr. Hashim kuwa uliokotwa mnamo Aprili 24, 2025, maeneo ya Coco Beach, na taarifa hiyo kutolewa na Polisi siku hiyo hiyo.
Dk.Hashimu ni mtoto wa tatu katika familia ya watoto sita wa Mzee Titho Kilosa ambaye makazi yake yapo mkoani Morogoro.
1
715
Naungana na @association_mat kupaza sauti kusaidia upatikanaji wa taarifa zozote zitakazoweza kusaidia kupatikana kwa mpendwa wetu Dr. Hashim Titho Kilosa.
Uzima na heri ziwe nae na familia katika kipindi hiki kigumu - Ameen.
Kundi hili la wagonjwa wa Kisukari lina HATARI KUBWA kuafya hivyo HALITAKIWI KUFUNGA RAMADHAN
Hata hivyo linawajibika kufidia kila siku isiyofungwa kwa kulisha Masikini (kama wana uwezo huo)
@wizara_afyatz @samsiria @FrankFedric @Nehemiah_mtitu @BDonD_ @kisukari_com
Kundi hili la wagonjwa wa Kisukari HAWALAZIMIKI kufunga mwezi wa Ramadhani.
Endelea kutufuatilia
@wizara_afyatz @samsiria @Nehemiah_mtitu @BDonD_ @kisukari_com @FrankFedric
Kufunga Ramadhani kwa Kundi hili la Wagonjwa hawa wa Kisukari ni SALAMA na LAZIMA ikiwa watazingatia maelekezo kutoka kwa timu zao za Afya.
@wizara_afyatz @samsiria @Nehemiah_mtitu @FrankFedric @kisukari_com
#kisukari #Ramadan_2025 #RamadanMubarak
Ushaenda kliniki ya maandalizi ya Funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani?
Yajue makundi matatu ya hatari kwa wagonjwa wa Kisukari - Sehemu ya Kwanza.
@wizara_afyatz @samsiria @BDonD_ @Nehemiah_mtitu
#kisukari #diabetes #afya #diabetesawareness #ramadhan #ramadan #ramadankareem
Maandalizi ya mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa mgonjwa wa kisukari
🌙🌙🗓️
@wizara_afyatz @samsiria @kisukari_com @Nehemiah_mtitu @FrankFedric @BDonD_
Je mgonjwa wa kisukari anaweza kufunga mwezi wa Ramadhani?
@wizara_afyatz @kisukari_com @samsiria @BDonD_ @Nehemiah_mtitu @FrankFedric
DALILI ZA KISUKARI: MATATIZO YA NGOZI! 🩺
⚠️Visunzua, weusi kwenye makwapa na singoni, ngozi iliyokauka na machacha sio dalili za kupuuza.
😣Kama unakutana na dalili hizi, ongea na mtoa huduma wako leo kuhusu vipimo vya kisukari. 🩸🔬 Hatua za mapema ni muhimu!
@wizara_afyatz
🔍 DALILI ZA KISUKARI: MAAMBUKIZI NA VIDONDA SUGU ⚠️
🚨 Maambukizi ya mara kwa mara kama UTI sugu, fangasi sehemu za siri 🦠 au vidonda visivyopona kwa muda mrefu 🩹 vinaweza kuwa ishara za kisukari!
⛔ Usitumie dawa kiholela! Zungumza na mtoa huduma wako 🏥
@wizara_afyatz
DALILI ZA KISUKARI - UCHOVU KUPITA KIASI / USIOELEZEKA
🛌😓 Kuchoka baada ya kazi ni kawaida, lakini KUCHOKA KUPITILIZA hata baada ya kupumzika si jambo la kawaida!
🍬⚡ Hii inaweza kuwa dalili ya kisukari, ambapo mwili wako unapata changamoto kutumia sukari kama nishati.
⏳🩺 Ukiona dalili kama hizi, usisubiri! Tembelea mtoa huduma wako wa afya HARAKA kwa uchunguzi na ushauri wa matibabu.
💙✅ Afya yako ni muhimu!
@kisukari_com @samsiria @Nehemiah_mtitu @wizara_afyatz @FrankFedric @BDonD_
Miguu kuwaka moto🔥, kuchomachoma📌, au kuburuzwa🦶 sio kawaida! ⚠️
Dalili hizi zinaweza kuwa ishara ya matatizo ya mishipa ya fahamu yanayosababishwa na kisukari😩
Usikae kimya, chukua hatua mapema! ⏳ Mtembelee mtoa huduma ya afya 🏥 kwa uchunguzi na ushauri wa kitaalamu.
Afya yako ni kipaumbele! 💪❤️🩹”
#kisukari #diabetes #DiabetesCare #afya
@wizara_afyatz @samsiria @Nehemiah_mtitu @rash_mdaki @FrankFedric @kisukari_com @BDonD_
DALILI ZA KISUKARI: Afya ya Kinywa na Meno🦷💉
Je, unajua kuwa matatizo ya afya ya kinywa na meno yanaweza kuashiria magonjwa kama kisukari? 🤔
Ungana nasi leo tukizungumzia dalili muhimu ambazo ni lazima kufuatiliwa kwa karibu na mtoa huduma wako wa afya! 👩⚕️👨⚕️
Dalili za kufuatilia:
•Maambukizi ya mara kwa mara kwenye fizi 🤕
•Kinywa kukauka kupita kiasi 💧❌
•Vidonda vya mdomoni visivyopona kwa haraka 🩹
•Harufu mbaya ya kinywa isiyoisha 😷
💡 Tip: Tembelea daktari wa meno angalau mara moja kwa mwaka 🗓️ hata kama huna dalili yoyote – ni bora kujikinga kuliko kutibu! ✅
Afya bora ya kinywa ni hatua moja muhimu ya kudhibiti kisukari! 🦷✨
@kisukari_com @FrankFedric @Nehemiah_mtitu @samsiria @BDonD_ @KondiBen
#AfyaYaKinywa #Kisukari #DentalHealth #AfyaBora #elimikawikiendi #Diabetes
📈Kumuona daktari wa macho angalau mara moja kwa mwaka ni miongoni mwa malengo ya LAZIMA kila mwaka.
Usipuuze, MUONE DAKTARI WA MACHO LEO🙏
@wizara_afyatz
@kisukari_com
#diabetes #afya #kisukari







