Gerald ™🇰🇪 retweeted
Wanaume wakiwa hurt aki wanahurumisha😅😂I know for a fact we have good men and they deserve good women like me😅😂 nyinyi wengine mpendane pia
Gerald ™🇰🇪 retweeted
Walala hoi ndio tunageuka side ya pili on our half inch mattress ndio kunguni zipate another fresh side to suck blood.Harufu ya Omena tulipika sapa still imejaa kwa nyumba .On my side ni mama Liam anangorota na na kutoa sauti kama ya tingatinga . Swali bado ni moja, itajipa lini
Gerald ™🇰🇪 retweeted
Agîkûyû twaugire matigîrwo agikuyu wenzao na nyang'ori ici mûtiiguaga,nî ûhoro ûrîmûkora 😂
Gerald ™🇰🇪 retweeted
It's the year 2033 and Ruto lawyer's (Al ShaaBabu Jangili) has won an appeal to reduce his jail term from 250 years to 248 years, what a win!
Gerald ™🇰🇪 retweeted
Another advantage of signing Caicedo's is that you don't have to pass through medical. Sign an Olise without passing through medical and your club will be battling religation 😂
Gerald ™🇰🇪 retweeted
Uganda nliwapea over 1.5 na hawafungi
Sjui niongee na my kamba girlfriend nifly Kampala njufungie hizo bao mbili nirudi nilale
Juu nlikuwa nimepromise Caicedo out
Gerald ™🇰🇪 retweeted
Mimi naye kama sio mamangu ningekuwa nilishawachana na hii kazi kitambo. I give up daily but a call from her restores my peace.
Gerald ™🇰🇪 retweeted
Naskia huko central, (za ndani) vijana w a sai penile size anaku!! Itabidi nirudi huko Nyanza buana to get someone I can sire with, heri mjunior akue Sura ngumu but akue Na punisher enough.
Gerald ™🇰🇪 retweeted
It's been a while since niguse Konami, Leo nkachangamka na tweep flani apa kumbe bado skills ni za navy army. He will live to praise my name 😂😂
Gerald ™🇰🇪 retweeted
Mwanaume kukosa kujua parts za nyama is a bitch ass thing.
Unaenda tu kwa butchery unasema tu uuziwe nyama just like your woman.


























