Salvo🩺 (@salvokenya) header
Salvo🩺 (@salvokenya) profile picture

Patriot🇰🇪 A dream chaser💭 Fitness sometimes😉🏋‍♀️

Joined June 2026
Photo by Salvo🩺 (@salvokenya)Photo by Salvo🩺 (@salvokenya)Photo by Salvo🩺 (@salvokenya)Photo by Salvo🩺 (@salvokenya)Photo by Salvo🩺 (@salvokenya)Photo by Salvo🩺 (@salvokenya)Photo by Salvo🩺 (@salvokenya)Photo by Salvo🩺 (@salvokenya)Photo by Salvo🩺 (@salvokenya)Photo by Salvo🩺 (@salvokenya)
Nani akona mackenzie akujie spotify cracked DM?
11
17
3
43
1,052
Salvo🩺 retweeted
Jana nmeenda kuona beste yangu flani,i guess ni kama aliskia nkifungua gate,ju anawachanga mlango yake wazi,sa kufika apo kwa mlango nka knock ka nmeingia kuingia nkaona ni kama curtain imesonga design kama mtu ameingia apo ndani,na kulikua na food apo kwa meza,
3
22
218
9,582
Nimepata kazi ya kukaa kwa gari ionekane imejaa naanza kesho.
68
246
7
1,709
18,952
Ndio nakumbuka saizi huwa nakua na x account na nafaa kutweet
2
6
16
238
Mbayaa
9
Salvo🩺 retweeted
Kama kuna kitu usiwahinunua second hand ni mattress bwana, hio make sure unashika mpya, juu zile vitu second hand mattress ilinionyesha nikiwa huko 2nd year wacha tu, sasa nikiingia second year niliamua kuhama hostel niende niishe nje sasa kama wanaume wenzangu ndio angalau niachane na restrictions za hostel na nikuwe na freedom kiasi nitafune hawa wasichana wa unifasiti pia, sasa mzazi alikuwa amenipea pesa mzuri ya kuhama but juu ya ujuaji nikaenda kununua mattress second ya 700 ndio nisave some funds za kufund addiction kuna comrade alikuwa njaa akaamua kuniuzia hio mattress, mamayee kumbe nilikuwa nanunua nyumba ya kunguni, bwana zile kunguni zilikuwa hapo zilikuwa kubwa kubwa zinatoshana na mende, hio nyumba haikuwa inalalika hata kidogo, unazima tu light kidogo zishanivamia bwana sasa kazi ni kujikuna tuu eihh asubuhi unaamka unapata kunguni zimefura kama gaitho courtesy of my blood, after wiki moja niliona sieziendelea hivo ikabidi nimeiuza na Mackenzie iende itese comrade mwingine pia, hio sem niliteseka nikilala kwa carpet bwana, sikuwa nakubali mtu akuje kwangu adi venye helb ilifika ndio nikaendea high density nikaanza kusign sasa😂😂
12
26
95
3,021
Ukitaka beans ikue ready in 15 minutes try this
50
68
3
282
8,285
Salvo🩺 retweeted
Aunty yangu ako 35 na hajaolewa alianza tu hivo😂"I want men with goals"💔
103
442
10
1,815
37,934
Salvo🩺 retweeted
Na ukishakuwa na pesa sijui sasa mbona uamue kujitesa na kazi nyingi.Kula hiyo pesa na watu ,na when I say kula pesa na watu I don't mean eti ugawe watu wavivu pesa.Kuwa hata na shamba boy ,jamaa akupigie shughuli zako za mtaa.Weka maid kwa nyumba asaidie mamaa kazi.Wewe ukitoka
10
25
57
849
Naelewa huyu kijana 😂😂😂
101
106
7
1,002
109,873
Salvo🩺 retweeted
I thought a man's happiness lied in women then i discovered drugs and music
3
20
27
335
Salvo🩺 retweeted
Mbona mtu ununue tipper worth 7million alafu uipeleke dandora dumpsite ibebe takataka,after two years imerust inakaa scrape,hii ni economics gani mimi sielewi!!
201
137
14
1,407
212,703
Salvo🩺 retweeted
Unemployed huwa mnafanya aje siku iishe?
40
112
5
280
17,816
Salvo🩺 retweeted
Hakuna kitu useless kama cctv, unaacha toyota Axio yako nje kwa parking inaibiwa na kitu unabaki nayo ni footage ya wezi wakiwa wamevaa balaclava. Ni mzuri tu ikiwa kwa kazi inapea staffs uoga ya kukuibia sana.
19
82
4
651
19,195
Salvo🩺 retweeted
Job hunting is a hell of an activity walai,hadi imebidi ninunue hii kitu ndio kukinyesha nkiwa hunting documents zisinyeshewe,tuff
15
60
2
228
2,268
Ati Shadrack, Meshack and Abednego. 💔😭😭
20
57
3
155
2,956
Salvo🩺 retweeted
How did you meet your wife ? One year after campus sai Naona kupata msichana Mwenye Anaeza kuwa Bibi Ni ngumu sana. Does it get better?
48
120
4
552
14,573
Salvo🩺 retweeted
"I didn’t even know guys like you still existed. You're just different" Me:
23
67
93
783
Hizi tweets za siasa zinanimaliza walai. Nimeona mtu wa ODM akiwa ameuliza 'what has Sifuna done as a senator' akaulizwa what Oburu has done as a senator akaingia nyasi. 😂😂 Hii jeshi ya Sifuna haitaki mchezo this time.
35
182
1
614
6,768
Salvo🩺 retweeted
Moja kwa Moja hadi uwanja wa nyayo kushuhudia ukimwi boy's wakipigwa.....
61
181
6
986
15,695
Kuna bois mahali anadhani kukosa keja ndo inafanya akose mechi, akishapata ndio atajua kumbe ata choo ilikua ni option na Aoko pia ni wengi😂
15
59
243
2,162