What an iconic picture, especially now that our dear friends Namibia 🇳🇦 are about to build an oil refinery with Botswana 🇧🇼, Her Excellency Netumbo Nandi-Ndaitwahhere in Tanzania, 20 May, 2025, with United Republic of Tanzania 🇹🇿 president Her Excellency Dr SSH.
30
Kenya turns to Tanzania to avoid power rationing
Source: Business Daily
search.app/6g9W8
Shared via the Google App
42
Tanzania sees completion of JP Magufuli Bridge
Source: Daily News Tanzania
search.app/5Q3bF
Shared via the Google App
72
Tanzania reduces fees and charges to boost local investment in tourism sector
Source: The Citizen
search.app/VMBRL
Shared via the Google App
34
Tanzania builds dams in national parks to reduce human-wildlife conflict during dry season
Source: Xinhua
search.app/pD5G9
Shared via the Google App
31
Kenyan tech firms drop off in top ranking of Africa’s fastest growing companies
Source: Business Daily
search.app/bpFqU
Shared via the Google App
12
Adam Dango retweeted
"Kwa Watanzania wanaoishi nje na ni raia wa nchi nyingine wenye asili ya Tanzania (Diaspora), kwa kuwa sasa serikali imewatambua kama wabia muhimu wa maendeleo, karibu nyumbani kwa uwekezaji katika sekta za
Adam Dango retweeted
Mapato ya utalii kwenye uchumi yafikia Trilioni 8.8 kwa mwaka 2024, watalii milioni 2.1.
Nchi zilizoongoza kwa kuleta watalii Tanzania (nje ya Afrika):
1.🇺🇸Marekani- watalii 143,378
2.🇫🇷Ufaransa- 110,431
3.🇮🇹Italia-106,177
4.🇩🇪Ujerumani-102,798
5.🇬🇧Uingereza-88,345
6.🇨🇳China-69,651
7. 🇮🇳India-63,391
8.🇵🇱Poland-55,196
9.🇳🇱Uholanzi-42,007
10. 🇪🇸Uhispania-31,635
Adam Dango retweeted
Marekani inajivunia kushiriki wakati Rais Samia Suluhu Hassan alipokuwa akizindua sera mpya ya mambo ya nje inayotoa kipaumbele kwa diplomasia ya kiuchumi, upanuzi wa uchumi wa bluu, uchumi wa kidijitali na uwekezaji wa diaspora.
Activists gani hawajali kwamba 51% ya urban population ya Kenya inaishi kwenye slums, ambapo Kibera Nairobi ni slum kubwa Afrika, lakini sio slum pekee Nairobi, ila wanajali sana mwenyekiti wa chama kilichoshindwa kuungwa mkono wa sh1,000 na watu laki na nusu kwenye nchi Ya watu millioni 60, isiyokua na slum, na hiyo ni miaka 15 baada ya katiba yao mpya.
Lazima tujiulize maswali ya msingi nini ni muhimu kwa taifa, na nini kipewe kipaumbele.
Pichani ni kibera Nairobi.
Sayansi ni uthibitisho wa matokeo.
Nimesema niko kwenye Twitter Detox na Ibada, lakini siwezi kustahamili na Allah atanisamehe:
Swali:
Huyo anayeona ni BUSARA ku-detain na ku-deport 🇰🇪 observers wa judicial process yetu, ni nani haswa?
Mungu wangu….. madness!!
34
Adam Dango retweeted
Serikali imesema Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii (UN Tourism) limeitaja Tanzania kuwa nchi iliyoongoza Afrika mwaka 2024 kwa ongezeko kubwa la watalii ikilinganishwa na kabla ya janga la UVIKO-19.
Sekta ya utalii Tanzania ilikua kwa asimilia 48, Ethiopia asilimia 40, Morocco asilimia 35, Kenya asilimia 11 na Tunisia asilimia 9.
Kibera, Nairobi, being the largest slum in Africa, but not the only slum in Nairobi ( they have Mathare too) is not shameful?
51% of urban residents residing in slums in Kenya 🇰🇪 is not shameful?
Whilst There are no slums in Tz.
What are you people fighting for really, now that is shameful.
This Post is from an account that no longer exists. Learn more
24
Adam Dango retweeted
Chaos erupts as youths deflate the tires of vehicles belonging to DCI and EACC officials camping at Trans Nzoia Governor George Natembeya's Kitale home.
Photo: Cornelius Ronoh (X)
America loses last AAA credit rating: What happened and what it means
Source: Business Standard
search.app/EHChS
Shared via the Google App
13
Adam Dango retweeted
DAR ES SALAAM: RAIS wa Finland, Alexender Stubb ameipongeza Tanzania kwa juhudi kubwa inazochukua kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji na kusema hatua hizo zinaifanya iwe nchi yenye mazingira bora ya kiuchumi kwa maendeleo ya muda mrefu.
Sambamba na hilo, Rais Samia Suluhu Hassan amemuaga Stubb aliyewasili nchini kwa ziara ya kitaifa ya siku tatu.
Imeandaliwa na Ikunda Erick
Zaidi tembelea: habarileo.co.tz
#HabarileoUPDATES
Adam Dango retweeted
Miundombinu yetu,
Treni yetu,
Fahari yetu.
Leo nimesafiri kwa treni ya SGR toka Dar es Salaam kwenda Dodoma. Hakika Watanzania tunayo kila sababu ya kujivunia hatua kubwa tunazoendelea kupiga kama Taifa.
Nikiwa Dodoma pamoja na kazi nyingine, nitaboresha taarifa zangu katika Daftari la Kudumu la Mpigakura katika Ofisi ya Kijiji, Chamwino. Ninawasihi wananchi wenzangu tuendelee kujitokeza kwa wingi kujiandikisha na kuboresha taarifa zetu, ili tutumie haki yetu ya kikatiba ya kushiriki Uchaguzi Mkuu, Oktoba mwaka huu.
Adam Dango retweeted
Namibia is set to harvest its first locally grown bananas in August despite being desert dominated.
In 2023, over 2,222 banana seedlings were planted in the Zambezi region.
































