amdully (@amdully) header
amdully (@amdully) profile picture

|Researcher |Facilitator| Sociologist Immitation is the highest form of flattery.

Tanga
Joined May 2011
Photo by amdully (@amdully)Photo by amdully (@amdully)Photo by amdully (@amdully)Photo by amdully (@amdully)Photo by amdully (@amdully)Photo by amdully (@amdully)Photo by amdully (@amdully)Photo by amdully (@amdully)Photo by amdully (@amdully)Photo by amdully (@amdully)
See No Evil, Hear No Evil, Speak No Evil.
4
4
43
7
72
3
610
22,847
😅
109
2,031
82
26,227
256,416
amdully retweeted
You are not politically neutral You are just a coward comfortable with injustice that doesnt affect you
9
209
10
513
13,590
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo November 6, 2026 Last time tuliishia part 493 so leo tunaendelea na -; Part 494. Karani amewasha kipaza sauti kutoa Tangazo kuwa watu wakae kwenye viti vyao na simu zao wahakikishe zinatolewa sauti na milio ya aina yote. Waandishi wa Habari na wao wako wakutosha sijawahi kuwaona Mahakamani kwenye kesi yoyote wakiwa wa idadi hii ni wengi sana sana. Hata waandishi ambao huwa hawajagi kabisa naona wamekuja, namuona yule Charles William wa Wasafi nae leo yupo kuna mtiti hapa unataka kutokea, wanataka kumnyayua Mzee Mpoki alienda kukaa viti vya Mawakili wa Serikali 😂😂😂 Wale watoto wa serikali ambao huwa wanakaa kwenye benchi la nyuma ya akina Katuga, leo wamekaa mawakili wa Mhe. wabishi hatari wamegoma kusimama. Ameingia Mheshimiwa Lissu akiwa na vibe na kusema TUTAFIKA! TUTAFIKA! TUTAFIKA! Wameingia Mawakili wa Serikali. MAJAJI walikwisha ingia hata kabla Mawakili wa Serikali hawajaingia. Muda huu wanawasha zile mic zao ili tuendelee. Jaji Ndunguru anasema karani tuendeleeee. Jamhuri dhidi ya Lissu. Anasoma namba ya shauri karani. Anasimama Katuga anajitambulisha niko na wenzangu Job Mrema, Cathbert mbiringe ba Winniwa Kasala Tunaiwakilisha Jamhuri na Mshitakiwa yupo. Shauri linakuja kwa ajili ya uamuzi na upande wa Jamhuri tuko tayari. Mshitakiwa vipi wewe? Mheshimiwa Lissu anasema niko tayari pia. Majaji Wanateta pale kabla hawajaanza kuusoma huo uamuzi. Jaji Ndunguru anasoma, naomba tusikilize Hukumu. Katika shauri hili Mshitakiwa Tundu Lissu anashitakiwa kwa kosa la uhaini kinyume na kifungu cha 39(2)d kanuni ya Adhabu 2023. Maelezo yanasema kwamba Tarehe 03/04/2025 Wilaya ya Kinondoni Dar es salaam mshitakiwa alitengeneza nia ya kuzuia uchaguzi wa 2025 kwa lengo la kuitishia Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Kudhihirisha nia hiyo kwa kitendo cha kutamka maneno ya wanasema kitu kimoja sahihi kwamba msimamo huu unaashiria uasi na tutahamasisha uasi na hiyo ndio namna ya kuleta mabadiliko na huu uchaguzi tutauvuruga. Mshitakiwa alikana hati ya mashitaka na shauri likaanza kusikilizwa. Kama ilivyo kawaida upande wa Mashitaka waliongozwa na Wakili Renatus Mkude na Ajuaye Zengeli na Nasoro Katuga na anawataja Mawakili wote wa Serikali. Upande wa Mashitaka walileta mashahidi 17 na ambao kati yao 17 walikuwa ni mashahidi wanaolindwa. Na mshitakiwa alijiwakilisha Mwenyewe na alileta Mashahidi wanne na yeye alikuwa watano na pia utetezi walitoa vielelezo anbavyo ni 16. Baada ya upande wa mashitaka kutoa ushahidi na mshitakiwa alijitetea na walileta hoja za majumuisho walileta hoja hizo. Mahakama hii iliongozwa na kanuni mbalimbali ni 1. Katika Mashauri ya Jinai mwenye jukumu la kuthibitisha ni Upande wa Mashitaka. 2. Kutiwa hatiani kwa mshitakiwa hakutazingatia udhaifu wa mshitakiwa. 3. Ushahidi utatazamwa kwa ujumla wake na sio vipande. 4. Mashaka yoyote hata kama yana uzito kiasi gani hayabadilishi burden ya kuthibitisha shitaka. Mahakama hii imechunguza kwa umakini hati ya mashtaka, ushahidi na mawasilisho ya pande zote mbili na kuja viini vitatu vya kuthibitisha Moja: Iwapo Mshtakiwa alikuwa chini ya utii wa JMT Mbili: Iwapo Mshtakiwa alitengeneza nia ya kuzuia uchaguzi mkuu wa 2025 kwa lengo la kuitishia serikali. Tatu: Iwapo mshtakiwa alidhihirisha nia hiyo kwa kutamka na kusambaza maneno hayo. Mahakama imeona ni vyema ifafanue kwanza katika hoja ambazo zinaonekana kama mapingamizi wakati wa hoja za majumuisho ya mshtakiwa. Kwa kuwa hati ya mashtaka ndio inayoanzisha shauri la jinai ni vyema tuamue kwanza kuhusu uhalali wa hati ya mashtaka. Mshtakiwa alisema hati ya mashtaka ina mapungufu katika maeneo matatu moja kuwa kwa mujibu wa kifungu cha 39(2)(d) kinazungumzia kuhamasisha kikundi cha watu, pili hati ya mashtaka haikutoa taarifa muhimu ambazo zilipelekea ashindwe kutoa utetezi kamili na tatu hakuna lengo lilioonyeshwa katika hati ya mashtaka. Part 495 itaendele kwenye post inayofuata Naomba Repost yako.
59
615
5
1,619
76,212
It is my honor and privilege to be headed to the US Senate to serve the great state of Michigan.  Michigan, we did what they said couldn’t be done. We won. Together. Now the real work begins.
9,954
33,335
2,485
234,646
3,012,563
‼️🔥MARTHA KARUA JOINS TWAHA’S LEGAL TEAM‼️ Wakili, mwanaharakati wa haki za binadamu na mwanasiasa mashuhuri Martha Karua amejiunga na timu ya mawakili wanaomwakilisha Twaha Mwaipaya leo Mahakama ya Milimani jijini Nairobi! Narudia 🇰🇪 wakenya ni ndugu zetu 🇹🇿wa faida! Wanampambania Twaha kama vile ni ndugu yao wa damu! 😭 Sisi tunashindwaje hata kuandika #FreeTwahaMwaipaya ?! Come on! We can do this! Weka post moja andika #FreeTwahaMwaipaya hadi dunia ikose habari nyingine!
32
301
21
1,085
23,164
amdully retweeted
MAJAMAA, THE FOLLOWING COURT HEARINGS NEED OUR ATTENTION THIS MONTH🔴 1. Twaha Mwaipaya Habeas Corpus hearing - Monday,2nd November 2026, High Court Nairobi. 2. Justice For Boniface Mwangi Kariuki. - 3rd November 2026 - High Court Nairobi. 3. The Inquest into the murder of Rex Masai - 4th November 2026 - Milimani Magistrates Court. 4. Paul Mackenzie and 28 others Sentencing - 6th November 2026 - Mombasa Law Courts. 5. Okoth Obado sentencing - 27th November 2026 - High Court Nairobi.
1
63
1
111
4,818
Mahakama huru kazini
High Court orders Police IG Kanja, DCI boss Amin and Ruai Police Station boss to produce missing Tanzanian activist Twaha Mwaiyapa, dead or alive, in court on Monday, November 2, and present the arrest warrant.
78
Salamu za faraja kwa wote mliopoteza wapendwa wenu. Nguvu, Upendo na Matumaini viwe nanyi. Zaidi jamii.app/RmbrncOctDths #JamiiForums
6
148
1
497
7,343
amdully retweeted
I watched Cardi B’s Tiny Desk concert. She did an outstanding job, and I can tell she’s been working on her live performances. From her time at Love and Hip Hop until now is amazing, and she’s due a documentary.
8
65
2
460
5,331
I hope they will not bother Susan with threats
Replying to @jahman_adamski
He’s actually going to die in a plane crash. Save this post.
1
182
ukitaka kujua sisi hatuna viongozi bali watawala, tena wakikoloni, angalia serikali, ikiwemo polisi, wanavyo-respond kwa malalamiko ya w'nchi. hakuna uelewa wala busara. ni vitisho na makaripio. ukoloni unapenda stability, wenyewe wanaita 'amani,' maana chaos hutishia uhai wake!
16
212
8
854
11,103
Everyone got a handshake until the black person came along. Keep being Christian though.
Readers added context they thought people might want to know
The video has been edited. Just before that, the pope shakes hands with priests and nuns of color. In other shots, you can see the Master of Ceremonies speaking to him, probably to tell him that he needs to greet the politicians. Full video and images x.com/PrinceDesPoete…
1,896
5,045
760
19,358
1,628,938
Historia imeonyesha mara nyingi kwamba hatari kubwa kwa taasisi yoyote haitokani na wakosoaji wa wazi, bali kwa wale wanaovaa vazi la uaminifu huku kwa siri wakipinga misingi yake.
86
278
27
1,824
56,520
amdully retweeted
no matter how much potential you have, if you don’t lock in fully and take charge of your life, you are going to eventually end up as the guy who had potential without having anything to show for it
99
1,041
20
5,263
48,678
Ktk submission inayoendelea kwenye kesi ya Uhaini ya Mhe. Lissu, kwa ninavyoona na kufikiri, Serikali haina njia ya kushinda kesi hii kwa hoja na ushahidi uliowasilishwa. Haiwezekani Majaji wafumbe macho mbele ya mapungufu makubwa sana ya kisheria na hoja zinazowekwa sana wazi katika hoja za majumuisho upande wa Utetezi. Sio aibu hata kidogo haki kushinda. Aibu na fedheha itakuwa pale ambapo dhuluma na uonevu vitaendelea kuwa na nafasi katika Taifa letu. Hili si jaribu kubwa, litakuwa kubwa tu kama uoga utapewa nafasi mbele ya haki na kweli. Sasa ni wakati wa Mahakama kusimama upande wa sheria, haki na kweli. Heshima ya Mahakama inalindwa si kwa maneno, bali kwa uamuzi unaosimamia haki bila hofu wala upendeleo. Taifa linaitazama Mahakama na historia itaandika uamuzi huu.
39
126
2
744
39,800
Am dead 💀 🤣🤣🤣😂😂
President Trump Explains Trade Deficits: “If we buy 2 billion dollars worth of Bananas from Brazil, we’re actually losing 2 billion dollars. So if we stop eating bananas, we actually save 2 billion dollars”. It’s just simple Economics.
208
amdully retweeted
The last US strike on an Iranian oil tanker was 8 days ago, on 9 September. Shortly therafter, Iran launched 20 ballistic missiles at a US base in Jordan. Jordan/US fired 70+ air interceptors. At least a few Iranian missiles got through, damaging 9 US aircraft. There have been no US attacks on Iranian oil tankers since.
89
902
65
5,499
373,558
amdully retweeted
We are joining Macklemore in donating to the people of Palestine with another $10,000 to the Palestine Children’s Relief Fund, which will help aid families amid the ongoing genocide. We encourage our followers & anyone with the means to join if they can: pcrf.net
1,386
35,165
762
302,827
4,185,968