BekaBOY 0.2 (@barackmtulo) header
BekaBOY 0.2 (@barackmtulo) profile picture

Don't see others doing better than you, Beat your own records everyday because, Success is a fight between YOU & YOURSELF #FeelTheDiffelence

Joined December 2014
Photo by BekaBOY 0.2 (@barackmtulo)Photo by BekaBOY 0.2 (@barackmtulo)Photo by BekaBOY 0.2 (@barackmtulo)Photo by BekaBOY 0.2 (@barackmtulo)Photo by BekaBOY 0.2 (@barackmtulo)Photo by BekaBOY 0.2 (@barackmtulo)Photo by BekaBOY 0.2 (@barackmtulo)Photo by BekaBOY 0.2 (@barackmtulo)Photo by BekaBOY 0.2 (@barackmtulo)Photo by BekaBOY 0.2 (@barackmtulo)
Watanzania Tuna Deni kubwa na huyu mtu. Huenda mtu kama huyu hakutakiwa kuzaliwa Tanzania🙏🏾
26
212
8
1,044
51,090
BekaBOY 0.2 retweeted
Replying to @akilichache
Ukianza kujenga uhusiano mzuri na Mungu huwezi kupinga ndoa, watu wamjue Mungu kwanza kabla ya kukimbilia kupinga na kukataa ndoa.
3
3
20
453
“Today the High Court has confirmed what we have said from day one: the treason charge was a political fabrication. The prosecution failed to prove any intention to intimidate the government. Instead of ordering my release after 577 days in detention, the court has convicted me of an offence I was never charged with and never given a chance to defend. This is not justice. This is damage control. History will record how the court searched for a lesser charge simply to keep me in prison.” Tundu Antipas Lissu November 6, 2027 —Admin.
64
1,154
15
3,575
63,569
BekaBOY 0.2 retweeted
Wakati Lissu anafanya mitigation alianza kwa kusema; “Historia haijawahi kuwa nzuri kwa Majaji wanaowaonea wasio na hatia” na akamaliza kwa kusema “Mimi siombi msamaha kwa kuwa sio mkosaji, kwa sasa nimemaliza, toeni huo uamuzi mlioelekezwa” 💪🏿💪🏿💪🏿
25
375
11
1,539
36,221
“Waheshimiwa Majaji, naomba nimalizie. Uamuzi wa kunitia hatiani kwa kosa ambalo sikushitakiwa nalo, na ambalo sikupata fursa ya kujitetea dhidi yake, kwa lengo la kubalansisha tu, una athari kubwa. Athari yake ni kwamba mmewapa kinga wale waliohusika na mauaji, kwa sababu watasema kwamba wale waliochochea wamekutwa na hatia. You are covering mass murderers. Serikali hii imeua watu wengi kuliko serikali zote zilizowahi kutawala nchi hii. Mara ya mwisho mauaji ya halaiki kutokea kwa kiwango hiki ilikuwa wakati wa Vita vya Majimaji. Mmewapa sababu ya kusema kwamba mkosaji aliyesababisha mauaji hayo amekutwa na hatia. Kama mnafikiria kwamba uamuzi huu utawasaidia, hautawasaidia. Watawajibishwa mahali pengine. Serikali ya Nyerere iliua watu 37. Wakati huo, Mwinyi alikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na alijiuzulu. Shahidi alikuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) na alijiuzulu. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Peter, naye alijiuzulu. Leo hii, serikali imeua watu ambao idadi yao, kwa makadirio ya chini kabisa, ni 500, lakini hakuna aliyejiuzulu. Uamuzi wenu hautaficha ukweli huo. Nimewakumbusha, Waheshimiwa Majaji, kwamba katika Sentencing Guidelines, kipengele cha kwanza kinaelekeza kwamba adhabu ya faini itolewe isipokuwa pale ambapo kosa ni kubwa. Uchochezi, ambao sikushitakiwa nao, hauna adhabu maalumu. Ndiyo maana Wakili Mkuu wa Serikali anakwenda kwenye General Provisions. Waheshimiwa Majaji, namalizia kwa kusema: TOENI HUKUMU AMBAYO MNAYO, AMBAYO MMEAGIZWA KUITOA.” Tundu Antiphas Mughwai Lissu, 6 Novemba 2026, Mahakama Kuu ya Tanzania, katika hukumu ya kesi yake ya uhaini.
30
300
6
1,409
50,729
Mimi sio mtu wa emotions sana ila leo niko very emotional, I hope tutapewa dhamana au tutapewa fine, binafsi niko tayari kulipa hata yote peke yangu, I hope TAL atarudi nyumbani leo inshAllah.
13
69
3
576
12,188
TUNDU LISSU ; Waheshimiwa Majaji toeni hukumu ambayo mnayo. TOENI HUKUMU AMBAYO MMEAGIZAWA. Nimemaliza . Asante.
26
265
20
1,130
65,195
“Waheshimiwa Majaji nashukuru kwa fursa ya kuzungumza. Naomba mnisikilize kwa makini kama ambavyo mmenisikiliza kwa makini mwaka mzima. Naomba pia m’rekodi proceedings kama mlivyo’rekodi vizuri mwaka mzima na nusu. Leo Waheshimiwa majaji ni siku ya 577 nikiwa gerezani kwa kosa la uhaini. Ndiyo kosa kubwa Kuliko yote katika Jamhuri ya Muungano. Ndiyo kosa pekee lililotamkwa katika katiba, kosa la uhaini. Kwa siku 577 nimeitwa mhaini. Kosa ambalo kwa mujibu wa kifungu cha 39(2)(d) ambapo adhabu yake inaeeza kuwa ni KIFO. Baada ya siku 577 baaada ya wingu jeusi la adhabu ya kifo kuning’inia juu ya kichwa changu. Leo Waheshimiwa Majaji mmeniita MCHOCHEZI. Kosa ambalo wala halijapangiwa adhabu. Unaona hapa, wakili mkuu wa serikali anahangaika kutafuta hii adhabu yake ni nini., anasema nipewe adhabu kali ili iwe fundisho kwa wengine, nihukumiwe kifungo cha miaka mitano gerezani. Hii maana yake ni nini Waheshimiwa Majaji? Waheshimiwa majaji mmesema wenyewe hakukuwa kosa. Kwa hiyo nimekaa gerezani siku 577 bila kosa lolote. Kuna kitu kimoja hamjakisema nitakisema kwa ajili ya kumbukumbu za Mahakama. Ushahidi wangu umethibitisha kwamba hii ilikuwa kesi ya kisiasa. Kugeuza Mahakama kuwa uwanja wa mapambano ya kisiasa, it’s an obvious political persecution. Kwa sababu ni political persecution inabidi vi’sababu vitangenezwe vya kumfunga huyu mgomvi wetu. Vi’sababu vya kumfunga huyu mpinzani wetu. Hili kosa la UCHOCHEZI ni kisa ambalo ninyi Waheshimiwa Majaji mmelitengeneza. Mimi nilishitakiwa kwa UHAINI na kusambaza taarifa za uongo. Mmetafuta kosa ambalo halikuwepo, mmenipa. With all due respect mmefanya hivyo kwa sababu za kisiasa na kwa maelekezo ya kisiasa tu. Ni kama mmeambiwa, huyu mtu hana kosa lakini tafuteni kosa lingine dogo, isije ikaonekana serikali imepata aibu. Mimi ninajua mtani’hukumu. Na mnaonekana tayari mnayo hukumu, l feel it in my heart.” Tundu Antiphas Mughwai Lissu, O6 November 2026, Mahakama Kuu ya Tanzania katika hukumu ya kesi yake ya uhaini.
67
433
15
1,979
101,828
FREE ,FREE TUNDU LISSU NOW KUTOKA MOZAMBIQUE MAPUTO. ASANTENI SANA WATU WA MOZAMBIQUE
2
107
1
534
5,841
BekaBOY 0.2 retweeted
‼️UJUMBE KUTOKA GEREZA LA UKONGA‼️ Anaandika @Advocate_Kisabo Nimetoka Ukonga kuzungumza na Mhe. Lissu, he is fine na anawasalimia wote, amesema "I remain optimistic about tomorrow but am also prepared for the worst, so if the best comes, I will go straight to Arusha to take my brother home. If the worst happens, then the struggle will continue. It will not be the end of the world; it will just be a new chapter in the struggle for justice and democracy in this country" akaongezea kuwa I am sustained by the line of a famous Kenyan freedom fighter Koigi wa Wamwere who authored the autobiography I Refuse to Die: My Journey for Freedom na Mhe. Lissu amemalizia kuwa TL insoumiese "
41
351
4
1,368
62,355
BekaBOY 0.2 retweeted
Tundu Lissu: Mambo 7 yanayomtambulisha mwanasiasa huyu wa Tanzania mwenye misimamo mikali bbc.in/4sAJOak
3
87
386
7,882
Coletha Clavery Ntidyicha (31) ni Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa wa Kigoma. Alikamatwa 14 Oktoba 2026, Kwa Aziz Ally, Temeke. Leo, baada ya siku 21, ameshtakiwa kwa makosa ya ugaidi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam - Kisutu. Hati ya mashtaka inaeleza kwamba, kati ya 01 Agosti 2026 na 23 Oktoba 2026 ndani ya Jiji na Mkoa wa Dar es Salaam, alitoa ushauri kwa umma kushiriki katika kutenda vitendo vya kigaidi.
29
116
8
586
25,491
BekaBOY 0.2 retweeted
RAMBIRAMBI KWA FAMILIA YA LISSU — HAYA NI MAMBO YA KUMUACHIA MUNGU. Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Wakili Mwandamizi Alute Mughwai Lissu, kaka mkubwa wa Mheshimiwa Tundu Lissu, aliyefariki tarehe 1 Novemba 2026. Natoa pole za dhati kwa familia nzima ya Lissu, watoto wa marehemu, ndugu, jamaa na marafiki zake. Kwa namna ya pekee, ninampa pole Mheshimiwa Tundu Lissu, ambaye yuko gerezani akisubiri hukumu ya kesi yake ya uhaini tarehe 6 Novemba 2026. Inasikitisha kwamba msiba huu unatokea siku chache tu baada ya kuchapishwa kwa mahojiano ya Wakili Alute na The Chanzo, ambamo alieleza kwamba familia ilikuwa imeombwa kuandika barua ya kuomba kesi ya ndugu yao iondolewe kwa misingi ya kibinadamu. Alieleza kuwa familia haikufanya hivyo kwa sababu haikuamini kwamba Tundu alikuwa ametenda kosa la uhaini. Siku chache baadaye Alute ametangulia mbele ya haki, wakati hukumu ya ndugu yake ikiwa imekaribia. Hakika haya ni mambo ya kumuachia Mwenyezi Mungu. Pamoja na kutambua uhuru wa mahakama, Msimamo wangu kuhusu kesi ya Tundu Lissu nimeueleza mara nyingi, nikishauri Serikali itafute njia halali ya kuhitimisha shauri hili na kumwachia huru. Kwa mtazamo wangu, kesi hii haina manufaa kwa juhudi za kujenga maridhiano ya kitaifa. Badala yake, inaongeza ugumu katika mazingira ya kisiasa ambayo tayari yana changamoto nyingi. Nimesoma mahala familia ikieleza kuwa Marehemu Alute alikuwa akiumwa kwa muda na pia kwamba ujumbe wake wa mwisho kwa familia yake ulikuwa wa kuhimiza upendo, umoja na mshikamano. Huo ni ujumbe wenye maana kubwa si kwa familia ya Lissu pekee, bali kwa Taifa letu. Tuuzingatie. Katika yote haya, tuige maisha mema ya Mzee Alute, katika shida na kadhia kubwa zinazoweza kutukabili tusipoteze utu wetu. Tuombe hekima, haki, huruma na maridhiano ya kweli. Namuomba Mwenyezi Mungu ampe Tundu Lissu nguvu na faraja katika wakati huu mgumu sana. Aifariji familia nzima na amjalie marehemu Alute pumziko la milele katika Kristo. Hakika amevipiga vita vilivyo vizuri. Mwendo ameumaliza. Imani ameilinda. 2 Timotheo 4:7 RIP. Amina.
24
214
5
968
28,222
Hii CLIP inaumiza sana 😭😭😭
11
110
3
639
15,328
Kivipi?
Replying to @mangekimambi
Mbona ni picha mbili tofauti hizi, watch closely,,,,,!!!
16
BekaBOY 0.2 retweeted
Replying to @barackmtulo
Kutokana na tweets zako: ▪️Mwanasiasa: Tundu Lissu (unamsaidia sana CHADEMA) ▪️Dictator: Hapana, una free mind ▪️Dini: Mkristo (unazungumza kanisa na dini) ▪️Msanii: Comedian wa mtaa ▪️Mtu maarufu: Activist wa social media ▪️Chama: CHADEMA ▪️Masikini ordinary (sio flashy)
1
16
MARIDHIANO BILA UKWELI NA UWAJIBIKAJI NI USALITI. Historia haina huruma kwa watawala katili. Historia inatunza kumbukumbu za sauti zilizopazwa mchana, lakini zikamezwa na giza totoro. Leo watawala wanazungumzia maridhiano, neno tamu vinywani, lakini lenye makovu makubwa moyoni Humphrey POLEPOLE Mwanachama mwandamizi wa CCM, alisimama, akanyoosha kidole hadharani akasema: “Tupatane kwanza kabla ya uchaguzi” Akatekwa, akapotezwa. Alipotea kwa hiari au alipotezwa kwa lazima? Sauti yake ikawa kama mwangwi uliopotea bondeni Jaji Joseph Sinde WARIOBA Mzee wetu wa heshima, akapaza sauti: “Tusikimbilie sanduku la kura bila maridhiano.” Badala ya kumsikiliza, mawe yakawa majibu yake. Mzee wa heshima akazuiwa, akawa mfungwa wa mawazo yake mwenyewe ndani ya kuta za nyumbani kwake Askofu Josephat GWAJIMA, Mtumishi wa Mungu akajitokeza, akashauri CCM na watawala, nchi inahitaji uponyaji, majadiliano kabla ya kwenda katika uchaguzi. Akashauri, uchaguzi huru na haki ni tunda la amani. Hakusikilizwa. Akapuuzwa. Akatukanwa. Akashambuliwa Fr. Dr. Charles Hugo KITIMA, Mwanatheolojia, alipojaribu kutoa ushauri wake wa busara kuelekea uchaguzi mkuu akiwa salama ndani ya makazi ya Maaskofu, alivamiwa na maharamia. Alishambuliwa. Akaonewa sana. Akayaona mauti moja kwa moja usoni kwake. Mbaya sana Captain John Charles TESHA? Askari wa JWTZ, alisema mengi, akataka maridhiano ya dhati. Akasema mifumo imeharibika na inahitaji marekebisho. Leo, sauti yake imekuwa kama redio iliyozimwa ghafla katikati ya msiba mzito. Tesha na wengine, walioona mvua kabla ya mawingu Tundu Antiphas Mughwai LISSU Mwanasheria mashuhuri, Mwanasiasa nguli, na Mwenyekiti wa CHADEMA, alizunguka kuwaeleza wananchi kuhusu umuhimu wa ‘NO REFORMS, NO ELECTION”, hakuvumiliwa, akakamatwa akiwa katika ziara za CHADEMA, ameshtakiwa kwa UHAINI Na wengine wengi, waliotekwa na kupotezwa. CHADEMA hatuwezi kusahau. Chini ya jua kali na mvua za EL NIÑO, ngurumo na radi, tulipita katika matope tukidai kitu kimoja: Mageuzi ya msingi kabla ya Uchaguzi. Lakini majibu yalikuwa ni kutekwa, magereza na kuzuiliwa kufanya siasa Shingo za watawala zilijawa na kiburi, mioyo ikawa migumu, mkiamini ushindi ni kuiba kura na si kuchaguliwa na wananchi. Hamkutaka kuchaguliwa. Mkajitangaza washindi kwa ushindi wa kishindo. Watu milioni 32 walishiriki uchaguzi wapi? Vongozi wa kiroho hawakubaki kimya. Walionya na walisema maridhiano si chaguo, ni hitaji la lazima ili taifa lipumue. Lakini, shingo za watawala zilikuwa ngumu sana. Mkajiona miungu watu msiohitaji ushauri wa ardhi wala mbingu. Mkasonga tu Mdude Nyagali alivamiwa usiku, akatekwa na kupotezwa. Deusdedith Soka alitekwa na kupotezwa. Dioniz Kipanya alitekwa na kupotezwa. Mamia ya vijana wa CHADEMA, watoto wazalendo wa Tanzania, walitekwa na kupotezwa. Hii ni tabia mbaya Baada ya kuitimiza azma yenu na kuwapoteza watu wenye sauti na kuwapiga mawe watu wenye hekima; baada ya kuvuna mlichokusudia kwa nguvu. Mmefikia kile mlichokusudia. Mlichokikinga, mlichokilinda, mlichokitimiza kwa nguvu zote Mnataka maridhiano ya aina gani? Maridhiano ya kumsafisha mkosefu bila kutubu? Maridhiano ya kunyamazisha watu waliojeruhiwa kwa risasi za moto, ili msisikie sauti za maumivu yao? Maridhiano ya dhati yanayoanza na KUKIRI MAKOSA na KUWAJIBIKA? Sasa, tumekataa ulaghai HAKI za watu wote waliouwawa, waliopotezwa, waliofungwa gerezani, na wote waliojeruhiwa. Maridhiano bila ya wahusika kukiri makosa yao ni kiini macho. CHADEMA hatuwezi kutumika katika safari ya wananchi kuelekea kusikojulikana Maridhiano bila haki ni usaliti Maridhiano ya kweli yanahitaji ujasiri kukiri makosa, si ujasiri wa kuficha yaliyopita. Yanahitaji haki, si hila. Yanahitaji sauti zisikike, si sauti za wapinzani kuzimwa ili zao pekee zisikike. Wapinzani waseme wapi panavuja. Watawala wakiri makosa Kama mmetimiza mlichokusudia, angalau kuweni na ujasiri wa kusema: Tulikosea. Msione aibu. MLIUA. MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila
28
187
5
744
26,805
Vipi @grok kutokana na tweets zangu mimi ni: ▪️Mwanasiasa yupi ▪️Dictator yupi ▪️Dini ipi ▪️Msanii gani ▪️Mtu gani maarufu ▪️Chama gani cha siasa ▪️Tajiri au masikini gani
1
16
BekaBOY 0.2 retweeted
Leo Mke wa Mhe. Lissu, Bi Alicia kaongoza maandamano ya Watanzania waishio nchini Belgium katika kuwaenzi na kudai Haki juu ya ndugu zetu waliouwawa Oktoba 29, 2025. Jambo ambalo limeenda sambamba na #FreeTwahaMwaipaya na #FreeTunduLissu
8
237
1
1,235
32,869
BekaBOY 0.2 retweeted
“Mauaji ya Oktoba 29, 2025 hayakuwa bahati mbaya, yalipangwa…”-; Sheikh #Mo29 #TanzaniaMassacre
5
159
709
19,433
BekaBOY 0.2 retweeted
Roma Locuta; Causa Finita est.!
10
143
606
14,362