MMAREKANI MWEUSI πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡ΊπŸ‡Έ (@davitheempire) header
MMAREKANI MWEUSI πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡ΊπŸ‡Έ (@davitheempire) profile picture

Generally talk a lot about #M4C #KatibaMpya #ManchesterCity #HumanRights #ChangeTanzania πŸ† A Business man- -C.E.O of Next Zone Shine Wear Group.

Nairobi
Joined April 2014
Photo by MMAREKANI MWEUSI πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡ΊπŸ‡Έ (@davitheempire)Photo by MMAREKANI MWEUSI πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡ΊπŸ‡Έ (@davitheempire)
"CCM haina uwezo wa kututoa walikotukwamisha":-Hon Freeman Mbowe
22
109
7
959
MMAREKANI MWEUSI πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡ΊπŸ‡Έ retweeted
Majaji wamebakiwa na siku nne; 1. Kutuaminisha kama bado muhimili wa mahakama ni kimbilio la haki 2. Kuamua kama Lissu ataenda kuungana na kaka yake kwa kitanzi au atakuwa huru kwenda kumuaga kaka yake msibani
6
46
407
10,101
MMAREKANI MWEUSI πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡ΊπŸ‡Έ retweeted
Sister alipiga kwenye MshonoπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡β€ΌοΈβ€ΌοΈπŸ’―
1
47
209
4,961
MMAREKANI MWEUSI πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡ΊπŸ‡Έ retweeted
Chadema inapigania rule of law, Lema anasema anapigania uhuru wa Lissu kwa kutumia njia za panya…..
85
270
8
1,598
71,272
MMAREKANI MWEUSI πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡ΊπŸ‡Έ retweeted
Mimi nilifiwa na Baba yangu mzazi nikashindwa kumzika kwa sababu za kiUsalama TanzaniaπŸ‡ΉπŸ‡Ώ Nimesikiliza press yako yote @godbless_lema UMEKOSEA sana kumwambia Maria kama JASIRI si angekuja KUMZIKA Baba yake! Kingine ACHA kum-drag Heche kwenye kila MAZUNGUMZO yako. Jifunze KUTULIA
71
127
9
661
16,789
MMAREKANI MWEUSI πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡ΊπŸ‡Έ retweeted
Kaka wa Tundu Lissu kuzikwa baada ya hukumu ya kesi ya uhaini bbc.in/3Uws6bn
28
317
7,253
MMAREKANI MWEUSI πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡ΊπŸ‡Έ retweeted
"Unaposema kwamba CHADEMA ijitenge na wanaharakati maana yake unasema kwamba CHADEMA ife, kwa sababu CHADEMA inafanya harakati kutaka kuwakomboa wananchi." - Wakili Peter Madeleka
7
72
1
615
10,591
MMAREKANI MWEUSI πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡ΊπŸ‡Έ retweeted
Mungu fundi sana, nawaza tu kama Lema ndo angekua makamu mwenyekiti badala ya Heche sijui leo tungekua wageni wa nani?
2
18
46
800
MMAREKANI MWEUSI πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡ΊπŸ‡Έ retweeted
Sababu saba zinazotufanya tumwone Yesu kama mwanaharakati Rev Msigwa 1. Yesu alipinga matumizi mabaya ya mamlaka. Katika Mathayo 23:4, Yesu aliwakemea viongozi wa dini waliowatwika watu mizigo mizito ambayo wao wenyewe hawakuwa tayari kuibeba. Hapa Yesu anatufundisha kwamba mamlaka hayapaswi kutumika kuwatesa watu, bali kuwahudumia. 1. Yesu alisimama upande wa waliotengwa na jamii. Katika Luka 4:18–19, Yesu alitangaza kusudi la huduma yake: "Roho wa Bwana yu juu yangu, kwa maana amenitia mafuta kuwahubiri maskini habari njema..." Alizungumzia uhuru kwa wafungwa, kuona kwa vipofu na kuwaacha huru waliosetwa. Hii ilikuwa zaidi ya ujumbe wa faraja binafsi. Ilikuwa tangazo la ukombozi wa kiroho lenye athari za kijamii. 1. Yesu hakunyamaza mbele ya unafiki wa viongozi. Katika Mathayo 23:27, aliwafananisha baadhi ya viongozi wa dini na makaburi yaliyopakwa chokaa, yanayoonekana mazuri kwa nje lakini ndani yamejaa uchafu. Yesu hakufundisha kwamba kumheshimu kiongozi kunamaanisha kutokukosoa matendo yake. 1. Yesu alipinga mifumo iliyoweka taratibu juu ya utu wa mwanadamu. Katika Marko 2:27 alisema: "Sabato ilifanyika kwa ajili ya mwanadamu, si mwanadamu kwa ajili ya sabato." Hii ni kanuni yenye nguvu sana: taratibu zinapaswa kumhudumia mwanadamu, si kumfanya mwanadamu kuwa mtumwa wa taratibu. 1. Yesu alikabiliana na matumizi mabaya ya dini kwa masilahi binafsi. Katika Mathayo 21:12–13, Yesu aliwafukuza waliokuwa wakifanya biashara hekaluni na kukemea kugeuzwa kwa nyumba ya sala kuwa pango la wanyang'anyi. Hakubaki kimya kwa kisingizio cha kulinda heshima ya taasisi ya dini. 1. Yesu alifundisha kwamba uongozi ni utumishi, si ubwana. Katika Marko 10:42–45, Yesu alitofautisha namna watawala wanavyotumia mamlaka na namna wanafunzi wake wanavyopaswa kuongoza. Alisema mwenye kutaka kuwa mkubwa lazima awe mtumishi. Kwa hiyo, kwa Yesu, ukubwa wa kiongozi haupimwi kwa uwezo wake wa kutawala watu, bali kwa kiwango anachowatumikia. 1. Yesu alikuwa tayari kulipa gharama ya kusimamia ukweli. Katika Yohana 18:37, mbele ya Pilato, Yesu alisema alikuja ulimwenguni kuushuhudia ukweli. Hakuuacha utume wake kwa sababu ya vitisho, kukataliwa au uwezekano wa kuuawa. Changamoto kwa Kanisa la leo Hapa ndipo tunapopaswa kujiuliza maswali magumu. Ikiwa Yesu alikemea unafiki wa viongozi, kwa nini Kanisa liogope kukemea unafiki wa wenye mamlaka? Ikiwa Yesu alisimama na waliotengwa, kwa nini Kanisa lisimame na wenye nguvu pekee? Ikiwa Yesu alitangaza uhuru kwa waliosetwa, kwa nini Kanisa lionee aibu kuzungumzia haki za wanaokandamizwa? Na ikiwa Yesu alifundisha kwamba ukweli humweka mwanadamu huru, kwa nini kusema ukweli mbele ya mamlaka kuonekane kuwa kosa? Kanisa halihitaji kuwa chama cha siasa ili kutetea haki. Na mchungaji hahitaji kuwa mwanasiasa ili kukemea uovu. Lakini pia Kanisa linapaswa kupima kila harakati kwa misingi ya ukweli, upendo, haki na kutokufanya ukatili, badala ya kuunga mkono kila jambo linaloitwa harakati. Hitimisho langu la kiteolojia ni hili: Yesu hakuwa mwanaharakati aliyekuwa anatafuta madaraka. Alikuwa Mfalme aliyekataa kutumia mamlaka kwa namna ya watawala wa dunia. Hakupigania kiti cha Kaisari, lakini alifundisha ukweli uliotia changamoto namna mamlaka yalivyotumiwa. Hakutafuta kuanzisha serikali ya kisiasa, lakini alitangaza Ufalme wa Mungu unaodai haki, rehema na uaminifu. Swali kubwa si kama Yesu alikuwa mwanaharakati. Swali kubwa ni hili: Je, Kanisa la leo lina ujasiri wa kusimamia ukweli na haki kama Yesu alivyofanya, hata pale ambapo kufanya hivyo kuna gharama?
5
43
1
152
4,954
MMAREKANI MWEUSI πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡ΊπŸ‡Έ retweeted
231
46
17
503
116,266
MMAREKANI MWEUSI πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡ΊπŸ‡Έ retweeted
πŸ‘‡
33
164
10
952
85,461
MMAREKANI MWEUSI πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡ΊπŸ‡Έ retweeted
I rushed to court this morning after my earlier engagement at Aga Khan University to attend to the pressing matter concerning Tanzanian activist Twaha Salim Mwaipaya. The danger with injustice is that, if we allow it to happen often enough, we begin to accept it as normal. We must never get so used to abductions that we stop asking questions. Today it is Twaha; tomorrow, it could be any one of us. No one is safe when the rule of law is treated as optional.
83
553
20
1,943
171,015
MMAREKANI MWEUSI πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡ΊπŸ‡Έ retweeted
Tanzania, Mtu kama huyu amewekwa gerezani!
3
27
1
81
1,233
MMAREKANI MWEUSI πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡ΊπŸ‡Έ retweeted
My Brother, Godbless Lema No form of slavery is better than another. A slave is a slave, whether domestic or plantation slavery. As leaders, reformists and activists who believe in diversity, we must be prepared to accept criticism, whether expressed positively or negatively. Our differences in the approaches we adopt in the struggle for democracy are not a weakness; rather, they reflect the reality of our different perspectives and levels of understanding. Everyone has a role to play and a contribution to make, despite the shortcomings inherent in each of our approaches. Our strategic differences are, in themselves, part of our humanity. Even among the disciples of Jesus, there were those who were more inclined towards engagement and outreach, such as Philip, while others, like Simon Peter, were more conservative. That is why the Greeks who came from Bethsaida approached Philip to connect them with Jesus rather than going to Peter! Disagreements and differences between activists at home and those in the diaspora must never make us lose sight of the bigger picture. We must not lose our direction because of our differences. Our priorities must remain 1. FREEDOM AND JUSTICE FOR TUNDU LISSU. 2.Β  JUSTICE FOR ALL VICTIMS OF POLITICALLY MOTIVATED CASES. 3.JUSTICE FOR ALL VICTIMS OF INJUSTICE AND OPPRESSION BEFORE, DURING AND AFTER THE GENERAL ELECTION OF 29 OCTOBER 2025. In the face of these common struggles, where, then, is the justification for all this infighting? My brother with all due respect Let us engageΒ  through ideas and arguments, embrace our differences, respect one another, and never allow personal disagreements to distract us from our common mission. TRUTH, JUSTICE AND ACCOUNTABILITY ARE THE ONLY PATH TO HEALING OUR NATION. BAK MWABUKUSI
120
375
16
1,649
104,765
MMAREKANI MWEUSI πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡ΊπŸ‡Έ retweeted
Hii familia hatoki fala.
VIDEO: Familia ya Lissu imesema kuwa Marehemu Alute Mughwai Lissu atazikwa mara baada ya hukumu ya kesi ya ndugu yao Tundu Antiphas Lissu ambaye ni Mwenyekiti wa @ChademaTZ2 Hayo yameelezwa na Dkt. Vincent Lissu Mughwai leo Novemba 1, 2026 akitoa msimamo wa familia juu ya msiba wa kaka yao Alute ambaye amefariki usiku wa kuamkia leo. "Tunategemea mazishi yatafanyika Singida...tutasukuma mbele mazishi ili ijumaa(Novemba 6, 2026) tuweze kuwepo Dar es Salaam kuhudhuria hukumu ya kesi ya ndugu yetu Tundu." amesema Dkt. Vincent. Hata hivyo ameeleza kuwa Alute alikuwa akiugua kwa muda mrefu ambapo alilazwa katika Hospitali ya Selian jijini Arusha na kuanzia juzi alizidiwa. Ikumbukwe Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imepanga kutoa hukumu katika kesi ya uhaini inayomkabili Lissu siku hiyo ya Novemba 6, 2026.
2
9
42
1,409
MMAREKANI MWEUSI πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡ΊπŸ‡Έ retweeted
Mbona sisi tupo apa kariakoo
Ni bora unyamaze na kuonekana mjinga kuliko ufungue mdogo na kuondoa mashaka yote β€” Mark Twain.
3
5
45
1,021
MMAREKANI MWEUSI πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡ΊπŸ‡Έ retweeted
POLENI FAMILIA YA MWL. LISSSU MUGHWAI: Kwa TUNDU LISSU, VINCENT MUGHWAI LISSU, Mchungaji ROSE MASASE na Wakili IKOTI MUGHWAI LISSU, poleni sana kwa MSIBA MZITO kwenye FAMILIA na UKOO wenu, kwa KIFO cha Wakili ALUTE LISSU MUGHWAI. Mwenyezi MUNGU awajalie SUBIRA na USTAHIMILIVU.
3
48
426
8,467
Kwahiyo yule MTU wa SERIKALINI alie msema ALUTE ni Dr. NCHIMBI na yule MTU wa CHAMA ni Mhe. LEMA ILA nchi hii mnakatisha sana tama CHADEMA ifike mahala mtupumzishe sasa
1
4
19
552
MY TAKE CCM wanajua sana propaganda nchi hiiπŸ™Œ Na sisi wananchi tulivyo WAJINGA kwa UPUMBAVU walio u store ccm kwenye nchi hii tumejikuta tumeingia kwenye 18 zao TUNASHAMBULIANA Tunasahau kuwa CHADEMA na WANAHARAKATI sisi sote lengo letu ni moja Nani mwenye HEKIMA atuokoe
3
470
MMAREKANI MWEUSI πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡ΊπŸ‡Έ retweeted
33
16
5
264
28,833