
Generally talk a lot about #M4C #KatibaMpya #ManchesterCity #HumanRights #ChangeTanzania ๐ A Business man- -C.E.O of Next Zone Shine Wear Group.
Nairobi
Joined April 2014
- Tweets212K
- Following1.9K
- Followers27.9K
- Likes269K
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweeted
Majaji wamebakiwa na siku nne;
1. Kutuaminisha kama bado muhimili wa mahakama ni kimbilio la haki
2. Kuamua kama Lissu ataenda kuungana na kaka yake kwa kitanzi au atakuwa huru kwenda kumuaga kaka yake msibani
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweeted
Sister alipiga kwenye Mshono๐๐๐๐โผ๏ธโผ๏ธ๐ฏ
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweeted
Chadema inapigania rule of law, Lema anasema anapigania uhuru wa Lissu kwa kutumia njia za panyaโฆ..
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweeted
Mimi nilifiwa na Baba yangu mzazi nikashindwa kumzika kwa sababu za kiUsalama Tanzania๐น๐ฟ
Nimesikiliza press yako yote @godbless_lema UMEKOSEA sana kumwambia Maria kama JASIRI si angekuja KUMZIKA Baba yake!
Kingine ACHA kum-drag Heche kwenye kila MAZUNGUMZO yako. Jifunze KUTULIA
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweeted
Kaka wa Tundu Lissu kuzikwa baada ya hukumu ya kesi ya uhaini
bbc.in/3Uws6bn
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweeted
"Unaposema kwamba CHADEMA ijitenge na wanaharakati maana yake unasema kwamba CHADEMA ife, kwa sababu CHADEMA inafanya harakati kutaka kuwakomboa wananchi." - Wakili Peter Madeleka
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweeted
Mungu fundi sana, nawaza tu kama Lema ndo angekua makamu mwenyekiti badala ya Heche sijui leo tungekua wageni wa nani?
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweeted
Alute Lissu, Veteran Constitutional Lawyer and Tundu Lissuโs Brother, Dies After Long Illness
thechanzo.com/2026/11/02/aluโฆ
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweeted
Sababu saba zinazotufanya tumwone Yesu kama mwanaharakati
Rev Msigwa
1. Yesu alipinga matumizi mabaya ya mamlaka.
Katika Mathayo 23:4, Yesu aliwakemea viongozi wa dini waliowatwika watu mizigo mizito ambayo wao wenyewe hawakuwa tayari kuibeba.
Hapa Yesu anatufundisha kwamba mamlaka hayapaswi kutumika kuwatesa watu, bali kuwahudumia.
1. Yesu alisimama upande wa waliotengwa na jamii.
Katika Luka 4:18โ19, Yesu alitangaza kusudi la huduma yake:
"Roho wa Bwana yu juu yangu, kwa maana amenitia mafuta kuwahubiri maskini habari njema..."
Alizungumzia uhuru kwa wafungwa, kuona kwa vipofu na kuwaacha huru waliosetwa.
Hii ilikuwa zaidi ya ujumbe wa faraja binafsi. Ilikuwa tangazo la ukombozi wa kiroho lenye athari za kijamii.
1. Yesu hakunyamaza mbele ya unafiki wa viongozi.
Katika Mathayo 23:27, aliwafananisha baadhi ya viongozi wa dini na makaburi yaliyopakwa chokaa, yanayoonekana mazuri kwa nje lakini ndani yamejaa uchafu.
Yesu hakufundisha kwamba kumheshimu kiongozi kunamaanisha kutokukosoa matendo yake.
1. Yesu alipinga mifumo iliyoweka taratibu juu ya utu wa mwanadamu.
Katika Marko 2:27 alisema:
"Sabato ilifanyika kwa ajili ya mwanadamu, si mwanadamu kwa ajili ya sabato."
Hii ni kanuni yenye nguvu sana: taratibu zinapaswa kumhudumia mwanadamu, si kumfanya mwanadamu kuwa mtumwa wa taratibu.
1. Yesu alikabiliana na matumizi mabaya ya dini kwa masilahi binafsi.
Katika Mathayo 21:12โ13, Yesu aliwafukuza waliokuwa wakifanya biashara hekaluni na kukemea kugeuzwa kwa nyumba ya sala kuwa pango la wanyang'anyi.
Hakubaki kimya kwa kisingizio cha kulinda heshima ya taasisi ya dini.
1. Yesu alifundisha kwamba uongozi ni utumishi, si ubwana.
Katika Marko 10:42โ45, Yesu alitofautisha namna watawala wanavyotumia mamlaka na namna wanafunzi wake wanavyopaswa kuongoza.
Alisema mwenye kutaka kuwa mkubwa lazima awe mtumishi.
Kwa hiyo, kwa Yesu, ukubwa wa kiongozi haupimwi kwa uwezo wake wa kutawala watu, bali kwa kiwango anachowatumikia.
1. Yesu alikuwa tayari kulipa gharama ya kusimamia ukweli.
Katika Yohana 18:37, mbele ya Pilato, Yesu alisema alikuja ulimwenguni kuushuhudia ukweli.
Hakuuacha utume wake kwa sababu ya vitisho, kukataliwa au uwezekano wa kuuawa.
Changamoto kwa Kanisa la leo
Hapa ndipo tunapopaswa kujiuliza maswali magumu.
Ikiwa Yesu alikemea unafiki wa viongozi, kwa nini Kanisa liogope kukemea unafiki wa wenye mamlaka?
Ikiwa Yesu alisimama na waliotengwa, kwa nini Kanisa lisimame na wenye nguvu pekee?
Ikiwa Yesu alitangaza uhuru kwa waliosetwa, kwa nini Kanisa lionee aibu kuzungumzia haki za wanaokandamizwa?
Na ikiwa Yesu alifundisha kwamba ukweli humweka mwanadamu huru, kwa nini kusema ukweli mbele ya mamlaka kuonekane kuwa kosa?
Kanisa halihitaji kuwa chama cha siasa ili kutetea haki. Na mchungaji hahitaji kuwa mwanasiasa ili kukemea uovu.
Lakini pia Kanisa linapaswa kupima kila harakati kwa misingi ya ukweli, upendo, haki na kutokufanya ukatili, badala ya kuunga mkono kila jambo linaloitwa harakati.
Hitimisho langu la kiteolojia ni hili:
Yesu hakuwa mwanaharakati aliyekuwa anatafuta madaraka. Alikuwa Mfalme aliyekataa kutumia mamlaka kwa namna ya watawala wa dunia.
Hakupigania kiti cha Kaisari, lakini alifundisha ukweli uliotia changamoto namna mamlaka yalivyotumiwa.
Hakutafuta kuanzisha serikali ya kisiasa, lakini alitangaza Ufalme wa Mungu unaodai haki, rehema na uaminifu.
Swali kubwa si kama Yesu alikuwa mwanaharakati. Swali kubwa ni hili: Je, Kanisa la leo lina ujasiri wa kusimamia ukweli na haki kama Yesu alivyofanya, hata pale ambapo kufanya hivyo kuna gharama?
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweeted
I rushed to court this morning after my earlier engagement at Aga Khan University to attend to the pressing matter concerning Tanzanian activist Twaha Salim Mwaipaya.
The danger with injustice is that, if we allow it to happen often enough, we begin to accept it as normal. We must never get so used to abductions that we stop asking questions. Today it is Twaha; tomorrow, it could be any one of us. No one is safe when the rule of law is treated as optional.
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweeted
My Brother, Godbless Lema
No form of slavery is better than another. A slave is a slave, whether domestic or plantation slavery.
As leaders, reformists and activists who believe in diversity, we must be prepared to accept criticism, whether expressed positively or negatively.
Our differences in the approaches we adopt in the struggle for democracy are not a weakness; rather, they reflect the reality of our different perspectives and levels of understanding. Everyone has a role to play and a contribution to make, despite the shortcomings inherent in each of our approaches. Our strategic differences are, in themselves, part of our humanity.
Even among the disciples of Jesus, there were those who were more inclined towards engagement and outreach, such as Philip, while others, like Simon Peter, were more conservative. That is why the Greeks who came from Bethsaida approached Philip to connect them with Jesus rather than going to Peter!
Disagreements and differences between activists at home and those in the diaspora must never make us lose sight of the bigger picture. We must not lose our direction because of our differences.
Our priorities must remain
1. FREEDOM AND JUSTICE FOR TUNDU LISSU.
2.ย JUSTICE FOR ALL VICTIMS OF POLITICALLY MOTIVATED CASES.
3.JUSTICE FOR ALL VICTIMS OF INJUSTICE AND OPPRESSION BEFORE, DURING AND AFTER THE GENERAL ELECTION OF 29 OCTOBER 2025.
In the face of these common struggles, where, then, is the justification for all this infighting?
My brother with all due respect Let us engageย through ideas and arguments, embrace our differences, respect one another, and never allow personal disagreements to distract us from our common mission.
TRUTH, JUSTICE AND ACCOUNTABILITY ARE THE ONLY PATH TO HEALING OUR NATION.
BAK MWABUKUSI
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweeted
Hii familia hatoki fala.
VIDEO:
Familia ya Lissu imesema kuwa Marehemu Alute Mughwai Lissu atazikwa mara baada ya hukumu ya kesi ya ndugu yao Tundu Antiphas Lissu ambaye ni Mwenyekiti wa @ChademaTZ2
Hayo yameelezwa na Dkt. Vincent Lissu Mughwai leo Novemba 1, 2026 akitoa msimamo wa familia juu ya msiba wa kaka yao Alute ambaye amefariki usiku wa kuamkia leo.
"Tunategemea mazishi yatafanyika Singida...tutasukuma mbele mazishi ili ijumaa(Novemba 6, 2026) tuweze kuwepo Dar es Salaam kuhudhuria hukumu ya kesi ya ndugu yetu Tundu." amesema Dkt. Vincent.
Hata hivyo ameeleza kuwa Alute alikuwa akiugua kwa muda mrefu ambapo alilazwa katika Hospitali ya Selian jijini Arusha na kuanzia juzi alizidiwa.
Ikumbukwe Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imepanga kutoa hukumu katika kesi ya uhaini inayomkabili Lissu siku hiyo ya Novemba 6, 2026.
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweeted
POLENI FAMILIA YA MWL. LISSSU MUGHWAI:
Kwa TUNDU LISSU, VINCENT MUGHWAI LISSU, Mchungaji ROSE MASASE na Wakili IKOTI MUGHWAI LISSU, poleni sana kwa MSIBA MZITO kwenye FAMILIA na UKOO wenu, kwa KIFO cha Wakili ALUTE LISSU MUGHWAI. Mwenyezi MUNGU awajalie SUBIRA na USTAHIMILIVU.
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweeted
Tundu Lissuโs brother, Allute Lissu Mughwai, dies in Arusha thecitizen.co.tz/tanzania/neโฆ































