
In His will is our Peace | Loyal father to ELNATHAN | @LFC & @SimbascTanzania ❤️ | Team Capricorn ♑
Earth
Joined May 2017
- Tweets49.2K
- Following4.7K
- Followers5K
- Likes144K
Pinned Tweet
Baada ya kipindi kirefu cha kusubiri
Hatmae October 19, 2023 kwa kudra za Mwenyezi Mungu, mke wangu akajifungua salama mtoto wa kiume 🤲
#NewProfilePic
Walaga retweeted
Miaka hiyo hii ndiyo kampuni bora mwanza to Dar es salaam
Majini ya mussa
Wanazi namba E
Mtupishe kidogo.
Walaga retweeted
DAR - SHZ
📍AL-JAZEERA
Katarama 329 EKE 21:38🔥🔥
📍Msimba
Achimwene 702 ESB 21:32
Newforce 191 EQC 21:38
KARIBU KWENYE SHOO ZA EKE
Walaga retweeted
Kuna nyimbo zinakufanya ucheze lakini hii ya Asake inakufanya utafakari maisha. Tangu itoke haijachuja bali inazidi kuwa mbichi Mistari kama “Something must go before something come” na “It is work, no be luck” ni somo kwa kila mpambanaji
Huu wimbo ni maomb matupu🙌
Walaga retweeted
MARIDHIANO}- Mikono miwili, mmoja ukikaribisha, mwingine ukikunja ngumi.
An open letter to Madam President
Dear Your Excellence,
It has taken a while since we last spoke through this venue of X “kwa Musk”
In case you have forgotten me, allow me to again introduce myself as this is a President to President talk.
Walaga retweeted
🎉 Happy New Month! 🙏🏻
Nawashukuru wadau na wateja wote kwa kuendelea kuniunga mkono katika huduma za ukatishaji tiketi za mabasi.
Kwa furaha, napenda kutambulisha rasmi #ManingNice, kampuni ambayo imetuamini kusimamia huduma za tiketi na kuwa wawakilishi wao.
0756 084 459
#ManingNice
New Fleet 🔥🔥
Mega watts
Mega +
Kesho nitawaambia jambo zuri kuhusu hi kampuni.
@PiereTouch 📸
Walaga retweeted
Huenda mdogo wako hata ona maiti yako wala kukuaga, kama ambavo Mwandishi wa Habari Kabendera hakumzika Mama yake,
But I hope you will fly with smile and shine in sky
✨️ 🕊 Home boy R.I.P
Walaga retweeted
Plug Furniture & Decoration ©️🇹🇿
▫️Tv Showcase & Coffee Table
▫️Sprayed Color
▫️Materials: Cypress wood & Softwood
▫️Location: Chang'ombe Area, Keko Ward, Temeke Municipality, Dar es Salaam, Tanzania
▫️Karibu Sana
📞 0754 029480 – at Dar es Salaam, Tanzania
Walaga retweeted
Plug Furniture & Decoration ©️🇹🇿
▫️Wardrobe
▫️Capacity: 4 Door's
▫️Sprayed Color
▫️Materials: Cypress wood & Softwood
▫️Location: Chang'ombe Area, Keko Ward, Temeke Municipality, Dar es Salaam, Tanzania
▫️Karibu Sana
📞 0754 029480 – at Dar es Salaam, Tanzania
Walaga retweeted
Heshimu maoni tofauti na yako.
Kumbuka, unachoona kama namba 6,
mtu aliyekukabili anaweza kukiona
kama namba 9. Pia, kusikiliza maoni
mengine kunaweza kukupa
mtazamo mpya.
…
FRANCIS | ABRACADABRA
Walaga retweeted
Mikoani - Arusha
📍Ngaramtoni ya chini
Shabby Line 0418
Frester 0430
Shabiby Line 0500
Ngasere 0511
Mtei 0515
Nyehunge 0519
Ruksa class 0521
Isamilo 0534
Isamilo 0539
Extra luxury 0544
Kimbinyiko 0553
Kapricon 0555
Walaga retweeted
BURIANI WAKILI ALUTE LISSU MUGHWAI:
Leo tarehe 1 Novemba 2026 majira ya SAA KUMI ALFAJIRI, nilipokea ujumbe wa SIMU kutoka kwa Wakili IKOTI LISSU kuwa, Wakili ALUTE LISSU MUGHWAI, kaka wa TUNDU LISSU 👇 AMEFARIKI DUNIA. Poleni sana familia na Ukoo wa LISSU.🥲
Walaga retweeted
#ManingNice
New Fleet 🔥🔥
Mega watts
Mega +
Kesho nitawaambia jambo zuri kuhusu hi kampuni.
@PiereTouch 📸
Walaga retweeted
#MasaluHighClass
Bookings: 0756 084 459 | 0621 877 523
Walaga retweeted
#SatcoExpress
New Fleet
New routes
@AlexanderAj73 📸
Walaga retweeted
Wagonga ulimbo wenzangu, usiruhusu kushindwa mara kadhaa kukufanye uamini kwamba huna uwezo wa kufanikiwa.
Kumbuka, kushindwa si mwisho wa safari, bali ni sehemu ya kujifunza. Kuna watu leo wanatabasamu kwa sababu hawakukata tamaa jana walipokuwa wanalia kimyakimya.
Hata kama umejaribu biashara ikafa, umetafuta kazi bila mafanikio, umeanzisha miradi ikakwama au maisha yamekupa majibu tofauti na matarajio yako, bado una nafasi ya kuanza upya.
Usijichukie kwa sababu ya ulipo leo. Jipe muda, jifunze kutokana na makosa, rekebisha mikakati na songa mbele.
Wagonga ulimbo hatukubali kushindwa hata siku moja. Tunaweza kuwa tumechelewa kufika, lakini bado tuna safari ya kufika.
Leo inaweza kuwa ngumu, lakini usiache kesho yako ife kwa sababu ya maumivu ya jana.
WAGONGA ULIMBO HATUKATI TAMAA! 🔥🤝








































