
A BOY HAS NO NAME🧘||HAKUNA MATATA👍||LONDON IS BLUE 💙||HAPA NI NYUMBANI🙂||I'M HIM🌝|| @bettercallgabu.
Joined July 2024
- Tweets69K
- Following2.7K
- Followers2.7K
- Likes159K
Gabu👤🕷️ retweeted
Ninge accept hiyo buy limit… saa hii ningekua nalilia kwa choo. 😭
account imehit two weeks and three days bila ku-blow. Ingeenda ata cjui ,inafaa kusherehekewa. Wapi makofi yangu? 👏🏼😂
But on a serious note, sometimes your instincts know better. Learn to trust them.
Just don't confuse intuition with gambling using full margin. Hapo sasa ni wewe na Mungu wako. 😪😂
Anyways, wacha nielekee nikangoje nadia mukami akuje aniimbie nikiromboseangwa na your burifu wimen 😍
Gabu👤🕷️ retweeted
Kujeni niwaonyeshe kwa shimo kibet anaingianga usiku, alisema ata hio country yenu ni ya matakataka na hamna akili na hajui ata huwa mnatukalia aje ka amekua ana pewa loan 7 years na mnajua leo😂😂
Gabu👤🕷️ retweeted
When I was a rebellious teenager, niliproduce matofali mzae akanijengea a one roomed house hapo nje. Nilikua nimefika stage ingine hapo ukapata hatusikizani na mzae and because I was driving him crazy, akanijengea nitoke kwa nyumba yake.
Hii ni kama ilikua blunder on his side ju I became more reckless than before. Being the only boy in the village with his own “mansion” came with new benefits. Ukapata madem ndio wananitafuta. Leo ungenipata na Mercy alafu kesho upate viatu za carol kwa mlango. I also started hiring out the house kwa maboys wangu wenye hawakua na nyumba but walikua na “form” as we used to call it back in the day. Jamaa alikua anaenda out kwa village zingine, “anaimport” kadem alafu anakaleta kwangu akijifanya ni kwake.
Sasa Kuna haka kadem nilikua nimeangukia nikiwa 19 years kalikua kapetite. Sitasahau she was called Peris. She was petite but figure alikua nayo. One Sunday akakam majioni kama kawaida for some marination sessions and kukaanza kunyesha. Sisi ju mvua ni catalyst ya mechi tukaingia horizontal engineering activities.
Saa zile kamechacha zaidi bois wangu akafungua mlango akaingia bila kubisha. Mind you, we were naked na yeye alikua amekuja na dem yake pia! Vile waliingia tu hivi, Abdallah akazimia na akajikunja kama millipede. Nakwambia sijaiaibika hivo. Si tukaingia ndani ya duvet nikiwa na Peris tukavaa nguo na tukakaa hapo tukiwa wanne mpaka mvua ikaisha. Hata hatukuongeleshana. Relationship yangu na Peris haijairecover since that day.
Gabu👤🕷️ retweeted
Kuna talking stage nimekua na Leo amepost tumjunior tuwili akasema "my small world"
Gabu👤🕷️ retweeted
Next year I'm buying a sewing machine and going to school just so I make my own clothes how I want. We shall be there.
Gabu👤🕷️ retweeted
The past 3 days buana kuna haka kashetani najaribu kutoa kwa akili na hakatoki!!😂
Niko na 10k as we speak and then kuna this voice in my head imeshinda ikinimbia "bro huwezi kosa 5 odds sure bet,hyo ni 50k clean,5 odds pekee,usitafute mingi!"😭😂
Gabu👤🕷️ retweeted
Hakuna wasee huskia smarter kama hawa hukula doh ya Elon musk yaani mshahara inaingia time tu weekend imefika





















