Festo (@dicksoni96) header
Festo (@dicksoni96) profile picture

Entrepreneur | Brother | Dad | Liverpool| Trust is a great asset.๐Ÿ”—

Ruvuma, Tanzania
Joined October 2017
Photo by Festo (@dicksoni96)Photo by Festo (@dicksoni96)Photo by Festo (@dicksoni96)Photo by Festo (@dicksoni96)Photo by Festo (@dicksoni96)Photo by Festo (@dicksoni96)Photo by Festo (@dicksoni96)Photo by Festo (@dicksoni96)Photo by Festo (@dicksoni96)Photo by Festo (@dicksoni96)
Weka Akiba #Roadtodecember2026๐Ÿ’ต๐Ÿ’ณ God is so good๐Ÿคฒ Bado siku 22.... โ€“ at Tanzania
3
5
147
Ukiachana na propaganda za humu kuhusu ndoa, kijana ukimpata mke wako sahihi husiache kuoa. Milango mingi sana ya riziki inafunguka ukioa. Mimi binafsi nilivyooa tu kuna vitu vingi sana vimefunguka aseee namshukru Mungu..๐Ÿ™
Wanangu wengi walio OA ndio wana mafanikio na maendeleo zaidi kuliko wale ambao hawajao tusiache kuoa ndugu zangu ndoa ni baraka.
1
1
4
108
Mzee niliweka notification kwako Kwa sababu ya hii weka akiba road to December ilikua inanipa moto wa kuweka akiba nikiiona na nimeenda nayo naona imelipa..๐Ÿ˜‚
Weka Akiba #Roadtodecember2026๐Ÿ’ต๐Ÿ’ณ God is so good๐Ÿคฒ Bado siku 23....
1
1
1
50
Jukumu la kufuatilia mzigo ni la aliyekutumia mzigo mpaka unafika kwako,vinginevyo na yeye kuna namna inabidi ujue kuna kitu hakipo sawa.Yeye aende Kwa aliowaagiza mzigo ajue mzigo uko wapi?, unaitumia njia ngumu we deal na mtu wako @45MinStore ili ndo apambane na waliosafirisha.
Mara nyingi huwa sipendi kuharibu biashara za watu ila kuna mda inachosha kinoma. Nilichukua Jezi kutoka kwa @45MinStore mwezi wa 9 tarehe 3. Nikalipa chap bila longo longo na akatuma risiti ya "Kampuni" aliyotuma huo mzigo kwenda Arusha. Siku zimepita kama mbili, nikapiga simu kwenye namba za ile risiti, ila hawapokei. Nikatuma Vijana wangu waende Stendi, nako kimya. Nikamrudia @45MinStore baada ya siku 5, akaniambia watanipigia. Nikasubiri, kimya tena. Ila kila nikipiga namba alizonipa, jamaa hawapokei. Na wala hawa reply missed calls. Mwezi mmoja ukapita, nikamcheki tena jamaa, kumjulisha hawapokei simu wala hawasemi walipo. Jamaa akanipa story kuwa wako poa,watanicheki. Nikaenda mwenyewe stendi, piga sana Simu, hawashiki. Leo, miezi miwili baadae, nikaenda tena, hawashiki simu wala texts hawajibu. Mnaowajua, nitajieni tu walipo nataka nikawasalimie. Maana hizi ni dharau. Imagine ingekuwa ni medication au kitu kinacho expire? Na it's not about the money, it's about integrity na uaminifu.
62
Pressure cooker 2pots, 6L Tsh 120,000 Unapika kila kitu Kwa haraka, rahisi kutumia 0755693113 ๐Ÿ“ Riverside, Mikoa yote tunatuma
3
57
1
52
2,216
Mmeamkaje my ๐Ÿ˜˜ PRESSURE COOKER SUFURIA MBILI, 6L Tsh 120,000 ๐Ÿ“ŒUnapika kila kitu Kwa haraka Sana, nyama, ugali, kyuku, harage, unga mboga mboga humo, kande, n.k 0755693113 ๐Ÿ“Duka lipo Riverside, Mikoa yote tunatuma @Sativa255
10
58
1
57
819
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mwakimi anafaa kutumika kwenda kuomba misaada nchi za Jumuiya ya Ulaya ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ
18
Babu doto magari amtolea uvivu Dominick wa room of jeans.๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Sema babu ana chamba sana aisee.๐Ÿคฃ๐Ÿ™†๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ
10
32
1
291
28,758
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Watu wa Dar es Salaam tumekosewa sana heshima kwenye hili jibu ๐Ÿ˜†๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
1
1
38
5UJE15
EUROLEAGUE is back ๐ŸคŸ๐Ÿคพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿ€๐Ÿ€ My favorite competition ๐Ÿคพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿคพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿคพโ€โ™‚๏ธ
6
11
34
1,741
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kennar to the world ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚โœŒ๏ธ
11
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Team yangu daah๐Ÿ˜ญ๐Ÿ’” #manutd #mufc #ucl #sirtiva #tutakuwepo๐Ÿซต๐Ÿพ๐Ÿ˜Ž
12
Multi cooker imebaki moja ๐Ÿ“ŒInapika wali, beans, nyama, ugali yaani kila unachokula Tsh 65,000 Lita 5 0755693113
Mambo my Je wajua kwamba hii glass Unaweza tumia si tu Kwa ajili ya maji/ juice?...hata ugimbi inaleta mzuka humo๐Ÿ“Œ 6 glasses Tsh 25,000 0755693113
4
38
1
33
3,791
Festo retweeted
๐ŸšจTAARIFA Mwanangu @Thereal_taivina kaibiwa Simu yake maeneo ya BUGURUNI na VISHANDU. Wamekuwa wakitumia watu jumbe za KUOMBA PESA. Naomba usitume pesa yeyote kama ukitafutwa kwa namba ya Taivina. REPOST 200.
26
231
8
1,336
99,472
Mithali 18:22..โค๏ธ
303
223
64
1,343
76,930
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hawa wamehoji mbona wabunge jana hawajakimbia Bunge kuangalia mechi ya Finale iliyochezwa Dar. Ila wakisikia Morocco wanataka usafiri wa bureee?
1
1
69
Mmmmh qmmk..
๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
45
Ila @chiefodemba ๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿพ
33
Hizo bookmark..๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿพ
Kama hauna leseni za madaraja yetu hapa hautoboi ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ
1
1
1
391
Huyu ni muuaji mzoefu, huwezi kunyonga hivi kama ni mara ya kwanza aseee..๐Ÿšฎ
Hata kama kala Mboga jamani..๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Ž
1
1
1
100